Пікірлер
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 3 сағат бұрын
Makonda utahukumu laki ini hukumu yako itakutesa sana muda ukufika
@NdiheSigaro
@NdiheSigaro 10 сағат бұрын
Nakuombea makondaa miaka inayokuja ushikilie nch! Naamin wewe unaweza ongoza! Kunyosha wabishi! Pia unamoyo wa huluma sana mngu akusimamie maish
@nicodemashaggite8429
@nicodemashaggite8429 10 сағат бұрын
Unafki ni mbaya sana, siku mama atavyojua ukweli mmmm
@user-pf4ed5ss3j
@user-pf4ed5ss3j 12 сағат бұрын
Nimeipenda hiyo
@user-pf4ed5ss3j
@user-pf4ed5ss3j 12 сағат бұрын
Patam hapo
@user-pf4ed5ss3j
@user-pf4ed5ss3j 12 сағат бұрын
Mi kakili bahati nipo salawe shinyanga, hapo jamn nivizur saana mwanamke alivyofanya ili sisi wanaume wengne tuliooa tujifunze zaid
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 14 сағат бұрын
Unaoa mtoto wa huyu mama muongo namna hii mwenye tamaa ya fedha inabidi ujipange kweli maana alivyo mama ndivyo alivyo binti
@user-cg3vf2bl6b
@user-cg3vf2bl6b 14 сағат бұрын
Ogopa watu wawili hii duniani,mtu anaye omba msamaha kwa haraka na yule anaye lia wakati wa kujieleza
@chrysanthushakaunga6560
@chrysanthushakaunga6560 15 сағат бұрын
Huyo dada ni mwongo sana ana jiliza Kwa makonda
@user-ew7xd1xu3s
@user-ew7xd1xu3s 16 сағат бұрын
❤makonda wimbohuu umenisisimua
@user-ew7xd1xu3s
@user-ew7xd1xu3s 16 сағат бұрын
Jaman wabakaji wahasiwe hawatuon wamama
@rehematemu4420
@rehematemu4420 16 сағат бұрын
Mungu ni mkubwa sana
@rehematemu4420
@rehematemu4420 17 сағат бұрын
Mungu akutunze daima mheshimiwa
@jumannejisena3117
@jumannejisena3117 17 сағат бұрын
Mbona sioni udhalilishaji.,jamani msema kweli anakuwa mbaya tena?? Hii nchi vp😢
@aishamputa7581
@aishamputa7581 19 сағат бұрын
Mung akulind
@norahmogiti6849
@norahmogiti6849 21 сағат бұрын
Makonda Mungu akubariki na akulinde popote uliko
@salvatoresanya9194
@salvatoresanya9194 23 сағат бұрын
Ni kama kudai fidia kwa ndugu yako marehemu aliye gongwa na gari. Je hapa huyu mama amemuacha Mungu? Na anahitaji j
@user-vr6lu8tq1n
@user-vr6lu8tq1n Күн бұрын
Huyu mama amepitia mateso huwezi kumlipa mtu kidogo kidogo
@AmidiShabani
@AmidiShabani Күн бұрын
Kiongozi endelea kupambana ila jua hupendwi
@MerryKashaija-jk9xh
@MerryKashaija-jk9xh Күн бұрын
MUNGU akubariki sana Makonda
@JenniferJenny-wg6ki
@JenniferJenny-wg6ki Күн бұрын
Kutoka Kenya makonda napenda kazi yako
@user-od1qv6ez6n
@user-od1qv6ez6n Күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@mariapendael626
@mariapendael626 Күн бұрын
Asante makonda kutetea wantonge wanyoshe hao mashetani na mungu akulinde
@mariapendael626
@mariapendael626 Күн бұрын
Asante mungu kwa kutupa mwingine tena
@user-od1qv6ez6n
@user-od1qv6ez6n Күн бұрын
Makonda nakupenda bureee Mungu akutunze 🙏
@user-od1qv6ez6n
@user-od1qv6ez6n Күн бұрын
😭😭
@user-iz2dw8rp2i
@user-iz2dw8rp2i Күн бұрын
Nashauri wabakaji wawekewe adhabu za kunyongwa
@claudiajames2003
@claudiajames2003 Күн бұрын
Mmhhh dada km anaigiza hiviii
@christinastephano951
@christinastephano951 Күн бұрын
Unachosema kweli
@NINAZOHABARINJEMA-cd5ke
@NINAZOHABARINJEMA-cd5ke Күн бұрын
Naomba mtu anaemfahamu huyu mama na na huyu mtoto tafadhari
@user-vd1vx1dc8p
@user-vd1vx1dc8p 2 күн бұрын
Hii siyo sawa kabisa hakuna hekima yoyote hapo!
@LetciaAlto
@LetciaAlto 2 күн бұрын
😂😂😂😂Mheshimiwa anamchoraaaa tu
@ShilooAbdallah
@ShilooAbdallah 2 күн бұрын
Pole saan mdogo angu
@Chrisblaze-beats
@Chrisblaze-beats 2 күн бұрын
Huyu mbona anaongea hadi maneno ya mganga. Alikwepo au yeye ndio kaka mwenyewe. Huyu atakua anasimulia movie kumbaf.😂😂
@eddalutumo
@eddalutumo 2 күн бұрын
Safi mdogo wa Magufuli tenda haki mafisadi wajifunze kwako
@MonaMaiko
@MonaMaiko 2 күн бұрын
Mh Makonda Mungu akujalie maisha marefu na uwe rais awamu ya 7
@OnesmoEmmanuel-xr2rf
@OnesmoEmmanuel-xr2rf 2 күн бұрын
𝑳𝒂𝒌𝒊𝒏𝒊 𝒅𝒂𝒅𝒂 𝒂𝒄𝒉𝒂 𝒌𝒖𝒄𝒉𝒆𝒛𝒂 𝒏𝒂 𝑴𝑼𝑵𝑮𝑼 𝒂𝒔𝒆𝒆𝒆𝒆.
@josephmwinuka3982
@josephmwinuka3982 2 күн бұрын
Makonda duuuh uchanganuzi huu makini sana
@saidkanji9882
@saidkanji9882 3 күн бұрын
Mpina muongosana
@UstadhiRai
@UstadhiRai 3 күн бұрын
Makonda wee kiboko
@nadiaouahabi1901
@nadiaouahabi1901 3 күн бұрын
في حد يشرحنا بلعربي😮
@user-bw1wn3sz4z
@user-bw1wn3sz4z 3 күн бұрын
Mchungaji huyu alikutana na jaribu ila Mungu amemuteteya
@user-bw1wn3sz4z
@user-bw1wn3sz4z 3 күн бұрын
Mchungaji huyu alikutana na jaribu ila Mungu amemuteteya
@user-fm5vl1eq1w
@user-fm5vl1eq1w 3 күн бұрын
Una hata haya utaweuka kama mume wapekee uja muona, ndo unakigundu mpenzi wakwanza tu wa mama mwenye nyumba hii pole 👹
@user-fm5vl1eq1w
@user-fm5vl1eq1w 3 күн бұрын
Mtafute waume zenu jamani nyie ndo wanga wenyewe
@StephenPaulo-wf7cj
@StephenPaulo-wf7cj 3 күн бұрын
Ela vijana wanakosa uzawendo kulipigania taifa lao mungu tuongoze😂😂😂😂
@joyceraphael2586
@joyceraphael2586 3 күн бұрын
Jmn ni kweli kbs mh,,,
@joyceraphael2586
@joyceraphael2586 3 күн бұрын
Jmn ni kweli wengi wanalia uongo sasa hivi wanajipanga kuja kulia mh,,, waangalie wako wengi
@pendokatonge3926
@pendokatonge3926 3 күн бұрын
Mungu huinua watu
@magrethmathayo2800
@magrethmathayo2800 4 күн бұрын
huyu mama hana akili natamani niingie kwenye sm nimvute masikio 😢😢