ULIMBOKA: NI SWALA LA MUDA TU?
2:44
3 жыл бұрын
Пікірлер
@macumianitha3638
@macumianitha3638 Ай бұрын
Na mmi najua kucheza ila sijapata bahati ya kupata team ya kuchezea
@frbm1729
@frbm1729 Ай бұрын
Best wishes
@NdagireHasifah
@NdagireHasifah Ай бұрын
Greetings to Nakibinge John ben
@rockcitynative9985
@rockcitynative9985 Ай бұрын
Pamba Mwanza kwanza.
@rockcitynative9985
@rockcitynative9985 Ай бұрын
Mchezaji ninaemkubali kuliko wote ni Mashaka Jr.
@ElishaKitomari-uz3on
@ElishaKitomari-uz3on Ай бұрын
Nakubal🎉🎉🎉
@newtonemtayoba1550
@newtonemtayoba1550 Ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@MalonJr-en4kr
@MalonJr-en4kr 2 ай бұрын
Iyo timu gan
@ShabaniSaleeh
@ShabaniSaleeh 2 ай бұрын
Edga chazi mfamakule vp 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 huyo mtu hatali sana huyo
@philbertcelestin7057
@philbertcelestin7057 2 ай бұрын
Ningelipenda kuonana na George Gole
@admirabisikiduduye1516
@admirabisikiduduye1516 2 ай бұрын
Jeuri sana huyu,siku nyingine alikuwa anaingia uwanjani amekunywa pombe,
@ChanjiCharles-hw1xs
@ChanjiCharles-hw1xs 2 ай бұрын
Nawatakia taratibu njema
@abbasisudi6899
@abbasisudi6899 3 ай бұрын
HIV elimu za ukocha ziko tofauti au zile zile
@abbasisudi6899
@abbasisudi6899 3 ай бұрын
Mmh akiyetoroga nani Niko palee pamba ikitoboa msimu ujao.mbona makocha wazawa wazur tu, mmh HIV hakuna timu kubwa itayowaamin wazawa nchi hii wenzao Kila siku wanafel ngoja tuone Hawa timu ya home....
@jumamangombe6493
@jumamangombe6493 3 ай бұрын
Hivi vitimu vya kisiasa havinaga future... Siasa na mpira ni mbingu na ardhi. Vilikuja vingi vikapotea, na hivi karibuni kamepotea kageita gold.
@mohamedalawy6172
@mohamedalawy6172 3 ай бұрын
TP LINDANDA Wana Kawe Kamo
@clementbulabo7771
@clementbulabo7771 4 ай бұрын
TUNAOMBA JINA LA TIMU LISIBADIRISHWE AISE MAANA ITAPUNGUZA NGUVU YA HISTORIA YA TIMU YETU NA KUPOTEZA MASHABIKI WETU NA NEMBO YETU HARIS
@akenyaahmed7630
@akenyaahmed7630 4 ай бұрын
Tumerudi sasa
@Christopher-ns6cq
@Christopher-ns6cq Жыл бұрын
Poa mzee
@felisterjohn3845
@felisterjohn3845 2 жыл бұрын
Tupandishe pamba yetu itupatie burudani wana Mwanza na kanda ya ziwa pamba tunaipenda
@yahayab4u614
@yahayab4u614 3 жыл бұрын
Dah umli
@rockcitynative9985
@rockcitynative9985 3 жыл бұрын
Pamba nguvu moja.
@christophermasese1086
@christophermasese1086 3 жыл бұрын
Aise huyu alikuwa jeshi
@kassidpandu866
@kassidpandu866 3 жыл бұрын
Mambo ya Michezo yasihusishwe na utumishi wa wachezaji
@othmanmgeni9232
@othmanmgeni9232 3 жыл бұрын
Muoneshe BAC huyo jesh
@raymondkanyama6387
@raymondkanyama6387 3 жыл бұрын
Moo success pamba fc
@sammycharomwalili6728
@sammycharomwalili6728 3 жыл бұрын
Afutwe kazi
@masudimillanzi994
@masudimillanzi994 3 жыл бұрын
Kwan jeshin hakuna mahabusu au mnatafuta kiki mwisho wa siku anakuja kuchukuliwa na Mp wanampeleka jeshin
@hanifawaliya7976
@hanifawaliya7976 3 жыл бұрын
Mahabusu kijeshi ni kwa makosa ya kinidhamu ya jeshini kama vile kutoingia zamu, kutofoleni, kutosalimia, uchafu n.k. lakini kosa likishakuwa la jinai kama hilo la shambulizi unakuwa umevunja sheria ya nchi na unashtakiwa kwa mujibu wa sheria za jinai yani criminal procedure act. Na ili ufikishwe mahakamani. Unafukuzwa kazi kwanza....tuwaombee askari wetu wasifikie hatua hiyo
@masudimillanzi994
@masudimillanzi994 3 жыл бұрын
@@hanifawaliya7976 haipo hyo wanajeshi wote si wangeisha mtaan kwa wanavyozibua watu mitama hao wametafuta kiki tu na jw walishamchukua mtu wao wataenda kumwazibu kwa sheria zao angekuwa ameua ndio haina jinsi lakini ugomvi wa viwanjan ni jambo lakawaida xana apo itamkost kulipa ako kacamera ka mwandishi wa habar
@felisterjohn3845
@felisterjohn3845 3 жыл бұрын
Naipenda sana pamba naomba ipande msimu huu
@kidofongoo1505
@kidofongoo1505 3 жыл бұрын
Mtisha xana arusha
@richardkumyola3771
@richardkumyola3771 3 жыл бұрын
Mimi nimezaliwa Mwanza ni shabiki wa Simba na pia naipenda sana Pamba kila siku naifuatilia natamani siku moja ipande ligi kuu. NITAFURAHI sana
@felisterjohn3845
@felisterjohn3845 3 жыл бұрын
Mwanza rudisheni pamba ligi kuu hiyo ndiyo kipenzi cha wanamwanza
@robertotto9427
@robertotto9427 3 жыл бұрын
Jamaa alikua mzuri sana
@robertotto9427
@robertotto9427 3 жыл бұрын
Mwakatika alikua beki hodari sana, nakumbuka enzi zake na kina Magongo, Beya Simba, Ngasa, Bori, Hiza, Mhina, Issa Meloo walikua hatari sana. Kama shabiki wa Pamba na mzaliwa wa Mwanza inabidi tumsaidie ndugu yetu
@husseinally9883
@husseinally9883 3 жыл бұрын
Naipenda Sana Team yangu PAMBA FC more bless
@husseinally9883
@husseinally9883 3 жыл бұрын
PAMBA FC daima mbele nyuma mwiko
@husseinally9883
@husseinally9883 3 жыл бұрын
Team PAMBA FC naikubali Sana
@johnhosea6389
@johnhosea6389 3 жыл бұрын
Na nguvu kubwa ilitumika pale ila game ya fainali ilikuwa laini sana
@johnhosea6389
@johnhosea6389 3 жыл бұрын
Ila game ya upendo friends sports academy waliielewa
@johnhosea6389
@johnhosea6389 3 жыл бұрын
Mmepambana
@johnhosea6389
@johnhosea6389 3 жыл бұрын
Ila msijali
@nassibumabrouk942
@nassibumabrouk942 3 жыл бұрын
Good Job Pamba
@OnlinewealthTipsforyou
@OnlinewealthTipsforyou 3 жыл бұрын
U 17pamba mnafanyia wap mazoezi katika kiwanja gani.mwanza
@snakefey339
@snakefey339 3 жыл бұрын
Poleni sana team yangu ya Pamba
@johnhosea6389
@johnhosea6389 3 жыл бұрын
Vp shughuli ya Imamu mnaiyonaje?
@johnhosea6389
@johnhosea6389 3 жыл бұрын
Okay sawa
@makaeduelber906
@makaeduelber906 3 жыл бұрын
Mbona goal hamjaonyesha? Mwanzo kujifunza, hongereni sanaaa
@ambakisyeelick4227
@ambakisyeelick4227 3 жыл бұрын
Mbona hajatangaza Charles? Heading haijasadifu kilichomo.
@josephmartin2698
@josephmartin2698 3 жыл бұрын
P1 sana chama letu jiji letu,, keep it up🙌