@itvhabari7272 #reposted
2:19
21 күн бұрын
SHUKRANI KWA RAIS SAMIA
3:01
Ай бұрын
UKARIMU UNAANZIA NYUMBANI
2:08
HONGERENI WALIMU MERU
1:33
2 ай бұрын
Пікірлер
@user-ef8cf4bp3z
@user-ef8cf4bp3z 5 күн бұрын
Vive le Maroc ❤🇲🇦vive Tanzanie ❤️❤️❤️❤️❤️🇲🇦🇲🇦🇲🇦🙏🙏
@simonkaaya1220
@simonkaaya1220 10 күн бұрын
Hongera Sanaa Mhe: DC Arumeru,DED Meru, Mhe: Mbunge kwa utatuzi wa shida za wananchi wa Meru. Mratibu wa Mwenge Mr. Say,Hongera Sanaa kwa Simulizi nzurii Sanaa na hakika unajua Kuelezea Miradi.
@ngurukitv4584
@ngurukitv4584 11 күн бұрын
Looking good follow back done God bless you 🇱🇷 💪 ❤❤❤❤❤❤❤
@ngurukitv4584
@ngurukitv4584 11 күн бұрын
Good job bro follow back 👍 ❤❤❤❤❤❤
@HmidouDadaie
@HmidouDadaie 12 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@HmidouDadaie
@HmidouDadaie 12 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@HmidouDadaie
@HmidouDadaie 12 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@HmidouDadaie
@HmidouDadaie 12 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂
@HmidouDadaie
@HmidouDadaie 12 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@HmidouDadaie
@HmidouDadaie 12 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@HmidouDadaie
@HmidouDadaie 12 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@HmidouDadaie
@HmidouDadaie 12 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@HmidouDadaie
@HmidouDadaie 12 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@simoouissa4901
@simoouissa4901 21 күн бұрын
Vive le Maroc vive tanzania
@ezekielimungure3007
@ezekielimungure3007 23 күн бұрын
Shughulikieni barabara ya king'ori kwenda leguruki kwa kiwango çha lami acheni siasa za magazetini
@gadielmungure9711
@gadielmungure9711 Ай бұрын
Tatizo mmejenga nyumba kwenye eneo la soko watu wanafanya biashara zao barabarani ndani na nje kwasababu hakuna uwanja wa kutosha wafanyibiashara
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 Ай бұрын
Mnapanga soko wakati limeshaharibika tangu mwanzo ,shida ni hivi ,eneo la soko linapotengwa halmashauri inaruhusu na kuwauzia watu wengine viwanja ndani ya soko unakuta maduka yanajazwa ndani ya soko na kufanya eneo la soko kuwa dogo sana ,hilo soko halitapangika labda eneo liongezeke . lakini .Barabarani Kwa biashara haifai
@zainabmakwinya5554
@zainabmakwinya5554 Ай бұрын
Kazi iendelee
@olaislukumay2208
@olaislukumay2208 Ай бұрын
My village
@annamariamakweba7805
@annamariamakweba7805 3 ай бұрын
Muungano wetu tuugumishe. Mungu ibariki Tanzania
@allyramadhan6241
@allyramadhan6241 4 ай бұрын
Wananch hawana uelewa wala hawajui serikali inafanya nini,,nashaur mikutano ya hadhara Kwa wananch ili kama Wana maswali waulize,,uelewa wao ni mdogo ktk miradi mikubwa
@elifasiscawa5698
@elifasiscawa5698 4 ай бұрын
Tunataka mama aweke historia kwenye iyo barabara
@elifasiscawa5698
@elifasiscawa5698 4 ай бұрын
Tunashukuru mama samia , ila kweli bila lami ya kingori leguruki na ngarenanyuki , hapo hatuon kitu
@elifasiscawa5698
@elifasiscawa5698 4 ай бұрын
Mama tufungulie uchumi na lami Kila kitu kitakua sawa
@elifasiscawa5698
@elifasiscawa5698 4 ай бұрын
Tunasubir lami king,or leguruki,ngarenanyuki hadi oludonyosambu, mama Samia afanye kweli
@zainabmakwinya5554
@zainabmakwinya5554 4 ай бұрын
Furaha ni tiba
@allyramadhan6241
@allyramadhan6241 5 ай бұрын
Maa Shaa llah hongera sana waheshimiwa
@zainabmakwinya5554
@zainabmakwinya5554 5 ай бұрын
Kazi iendelee
@allyramadhan6241
@allyramadhan6241 7 ай бұрын
Maa Shaa llah ,, Allah akubariki sana,,na kazi iendelee
@rugendorunene545
@rugendorunene545 7 ай бұрын
Lakini hii ni siasa, lakini hongera!
@mdubashella2913
@mdubashella2913 7 ай бұрын
Hongereni sana Wanameru
@elifasiscawa5698
@elifasiscawa5698 8 ай бұрын
Tengenezeni Barbara acheni projo sisi wananchi tuliahidiwa Barbara za lami ,
@zainabmakwinya5554
@zainabmakwinya5554 8 ай бұрын
Kazi iendelee
@allyramadhan6241
@allyramadhan6241 8 ай бұрын
Kongole halshaur ya meru/madam president 👌👍
@allyramadhan6241
@allyramadhan6241 8 ай бұрын
Hongera mkuu
@isayawicklif5224
@isayawicklif5224 9 ай бұрын
Kazi iendelee 🔥
@allyramadhan6241
@allyramadhan6241 9 ай бұрын
Hongera DC,chapa kazi huku meru wamejimilikisha Hadi mito
@allyramadhan6241
@allyramadhan6241 9 ай бұрын
Hongera mh/dc,pongez kwa serikali yetu
@allyramadhan6241
@allyramadhan6241 9 ай бұрын
Hongera h/meru kwani kupokea fedha ni Jambo moja na utekelezaji ni Jambo jengine na utekelezaji ndio haaswaa wameshindwa wengi,, mwenyeenz mungu akudumishen ktk utumish uliotukuka
@ludomkenda5017
@ludomkenda5017 9 ай бұрын
Hakika mama unaupiga mwingi kwa kweli madarasa ni ya viwango nauliza mmeona farniture za Nasholi ni za mambeleee
@zainabmakwinya5554
@zainabmakwinya5554 9 ай бұрын
Meru kazi Iendelee
@sayimanyanda6717
@sayimanyanda6717 9 ай бұрын
Hatari na nusu sio kwa shule hiyo makini aiseeee
@elifasiscawa5698
@elifasiscawa5698 9 ай бұрын
kwa kweli mama Samia akituwekea lami iyo Barbara hata saulika Meru Tena tutaiita mama samia 🛣️ road king,ori to ngarenanyuki
@allyramadhan6241
@allyramadhan6241 8 ай бұрын
Hakuna linaloshindikana kama watu watakua waadilif
@elifasiscawa5698
@elifasiscawa5698 9 ай бұрын
Asante mama ila ilani ya chama ilikua ni miundo mbinu hatuna Barbara ,kwanza Barbara ya kibaoni had ngarenanyuki ,mtangulizi wa mama alisema ataanza nayo kwa lami
@ludomkenda5017
@ludomkenda5017 11 ай бұрын
Hongereni TAKUKURU kwa kutoa Elimu
@lusekeloemmanuel4569
@lusekeloemmanuel4569 Жыл бұрын
Vijana na wanawake ni misingi imara tunakubari ila vipi kuhusu mikopo ya asilimia 10