Ooh jamani, habari za siku ndugu yangu Tutafutane 0745 069443
@VeledianaKalolo2 ай бұрын
Huwa nabarikiwa sana mama namafundisho yako Mungu akubariki sana
@Daughtersandsonsofjerusalem2 ай бұрын
@@VeledianaKalolo Amina Amina
@joycekambuga62862 ай бұрын
Wagalatia 6:7 apandacho mtu ndicho anacho vuna
@judithsalvatory28922 ай бұрын
Barikiwa sana sana tuponye vijana Mungu akubariki sana
@Daughtersandsonsofjerusalem2 ай бұрын
Amina Amina
@JC-lk3me2 ай бұрын
Hongera sana mafundisho safi
@InnocentBadminton-gi9wn2 ай бұрын
asante madam, mungu akubaliki nimefunguliwa sana
@jasperjackson88713 ай бұрын
Barikiwa sanaaa mtumishi wa Bwana Mungu na azidi kukutunza.
@jasperjackson88713 ай бұрын
Kwa mwanaume kujua kuhusu mkewe sio shida sana ila kuhusu mke kujua wengi hukosea kuanza kukupangia kwa kila kijisenti kitu ambacho wanaume huona km tunatawaliwa ktk hilo na sometimes inategemea na huyo mke mwenyewe km anauwezo wa kumanage hali ya kubaki ktk utulivu wa matumizi ya kifedha hata pale ambapo anajua kuna pesa nyingi hivyo ni sahihi kabisa ila inategemea una mke wa aina gani kwasabab wapo wasiokua na uwezo wa kutulia wakijua kuna fedha/money management hivyo basi n vema usemacho ila msome mwenzio n mtu gan kwanza ndipo utafanikiwa eneo hilo.
@minefacechaula3 ай бұрын
❤mom
@halimakikoti23904 ай бұрын
Shalom Mwl. Kisha. Mungu akubariki kwa unayotulishia chakula cha rohoni mabinti zetu.
@MzeeMkoloni4 ай бұрын
Hii shule ni kali na iko vizuri
@WTC4924 ай бұрын
Gharama ni sh ngapi kitabu. Kinapatikana wapi?
@Daughtersandsonsofjerusalem4 ай бұрын
Ni shilingi elfu kumi tu, kama uko nje ya Dodoma kinatumwa kwako Contact: 0745 069443 Barikiwa
@Udindigwa4 ай бұрын
Amina Mama
@Udindigwa4 ай бұрын
Amina Mama
@eunicenjonge22054 ай бұрын
Wawww... Nimebarikiwa
@stephanosospeter17094 ай бұрын
Ameen
@Vanessa_Petro6 ай бұрын
Ubarikiwe sana mwalim nakupenda bureee
@anicethrichard6 ай бұрын
Amina mama❤
@kissamwamunyange10186 ай бұрын
🙏
@minefacechaula7 ай бұрын
❤
@mariasamwel6447 ай бұрын
❤Amina mama
@lisaamos86357 ай бұрын
❤️🔥
@VeronicaMacha-pl3xt7 ай бұрын
🎉
@twinklestartz1838 ай бұрын
kunakitu nimepata hapo Mama!
@dicksonemmanuel21769 ай бұрын
Mama umereza vizuli sana japokua siamini mwanamke kufundisha
@HortenciaKayanda9 ай бұрын
❤
@lisaamos863510 ай бұрын
🔥🔥🔥❤❤
@Daughtersandsonsofjerusalem10 ай бұрын
Amina Mungu akubariki
@cmoshi701410 ай бұрын
DAH BARIKIWA SANA MTUMISHI WA MUNGU NIMEPATA CHANGU HAPO
@Daughtersandsonsofjerusalem9 ай бұрын
Amen and Amen
@jeradmwamba683811 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu Asante Kwa mda wako na kuitikia mwito wa Mungu Kwa utumishi huu, Mungu anisaidie ili namimi nitumie Kwa nafasi ya wito wangu, haki nahitaji msaada wa Mungu nimeokoka ndio ila itakuaje Yesu akirudi na kunipata nimeitika ila sijatekeleza Mona nashindwa! Ee Mungu wangu nisaidie . Nashukuru Mungu Kwa ajili yako Mwl Joyce ukipata nafasi nikumbuke Kwa maombi nami nitaendelea kukuombea , hata watu wasipo comment usiache Wala kulengea nimeona kitu ulichopewa ubarikiwe katika jina la Yesu Kristo
@Roym97 Жыл бұрын
Amen, nimefurahi ujumbe mzuri , lakini hauelezi mizigo ikijaa network huwa inakamata hasa akipita mrembo mzuri, au umeamka zako tu asubuhi mtambo unakuta upo full charge au na enyewe tukimbie?
@HermanMaporloto Жыл бұрын
Gdbless madam somo nzuri sn
@HermanMaporloto Жыл бұрын
Somo nzuri sn madam ubarikiwe sn
@Daughtersandsonsofjerusalem Жыл бұрын
Ameee
@EstherKarambu-e3d Жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi wa mungu
@lisaamos8635 Жыл бұрын
❤🎉
@lisaamos8635 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥❤❤❤
@Daughtersandsonsofjerusalem Жыл бұрын
Asante kwa comments nitafanya hivyo
@JC-lk3me Жыл бұрын
Safi sana mwalimu Joyce wambie pia wazazi waombee watoto wao na familia zao kila wakati ili Mungu awaongoze katika hayo mafunzo
@dianakiwale1058 Жыл бұрын
Ninaomb namba zako za simu
@faithhezron-cs3nw Жыл бұрын
Mungu akubarki mamy
@JC-lk3me Жыл бұрын
Safi sana👍🙏
@edwinurio Жыл бұрын
Mungu akuinue sana
@Daughtersandsonsofjerusalem Жыл бұрын
Amina
@janelamor5667 Жыл бұрын
Congratulations mom🥳🥳🥰
@Daughtersandsonsofjerusalem Жыл бұрын
God bless you my daughter keep watching better is not enough the best is yet to come
@MiraclemirajiMiraclemira-jm1ud Жыл бұрын
🔥🔥
@Daughtersandsonsofjerusalem Жыл бұрын
Ameeen
@blackschooltv Жыл бұрын
Hongera sana Mwl kisha
@Daughtersandsonsofjerusalem Жыл бұрын
Asante sana mentor wangu, Mungu akubariki sana
@lisaamos8635 Жыл бұрын
🥳🔥
@Daughtersandsonsofjerusalem Жыл бұрын
💃💃💃💃💃
@joycemusimbi6773 Жыл бұрын
God bless you. Great teachings
@Daughtersandsonsofjerusalem Жыл бұрын
Amen, God bless you Thank you for your comment
@Daughtersandsonsofjerusalem Жыл бұрын
Thank you, God bless you, please assist by sharing to others
@Daughtersandsonsofjerusalem Жыл бұрын
Ameen
@JoaBarongo Жыл бұрын
Ahsante sana mwalimu Joyce kwa mafundisho mazuri sana kwa vijana wetu. Nikuombe pia semina hizi ufanye na kwa vijana wetu wa kiume.
@Daughtersandsonsofjerusalem Жыл бұрын
Ndiyo kwa sasa najitahidi kuongea nao pia, nitajitahidi wqkati ujao kizingatia hilo maana wengi wananiambia hivyo Ubarikiwe kwa comment yako, tafadhali endelea kiwqjuza na wengine wafikiwe Barikiwa sana