Hii ni Chaneli Maalumu ya Kwaya ya Mt. Yosefu Mfanyakazi Parokia ya Nansio Ukerewe
Lengo Kuu ni kushirikishana uinjilishaji kwa njia ya nyimbo za Kikatoliki zinazo/zilizo fanywa na kwaya hii.
Tafadhali usiache kumshikisha mwezio kwa KU-SUBSCRIBE, KU-SHARE, KU-LIKE na KU-COMENT ili wengi iwafikie waweze kuapata Burudani ya muziki Mtakatifu kutoka Kwenye Kwaya Yetu.
MAWASILIANO:
Kwaya ya Mt. Yosefu Mfanyakazi
Parokia ya Nansio
S. L.P 20
Nansio - Ukerewe
Mwanza Tanzania
Email:
[email protected]Phone: +255 755 312 525, +255 783 664 774, +255 787 162 008
KZbin: @MtYosefuNansio
kzbin.info/door/coqcbuP_zuRjHEZ250vb_A