Пікірлер
@MankaMasawe-k9e
@MankaMasawe-k9e 10 сағат бұрын
naomba maombiyako baba
@MankaMasawe-k9e
@MankaMasawe-k9e 10 сағат бұрын
baba ninashida yakupugukiwa damu kilasiku sinakazi mwanaume kanikimbiya kanizalilisha kwawatu naitwa Manka purska patiriki masawe
@GraceEmil-w4w
@GraceEmil-w4w 10 сағат бұрын
Mwenyezi Mungu azidi kukubariki Nabii kiboko ya wachawi Nabii malizia wachawi wote. wanaotesa wenzao
@user-op3dl2sr3g
@user-op3dl2sr3g 11 сағат бұрын
Nabii naomba uniombee mimi na familia yangu wote tunasumbuliwa na magonjwa
@richmwaij3368
@richmwaij3368 11 сағат бұрын
Jihadhalini na manabii wa uongo wengi watakuja kwa jinalangu na kusema mimi nikristo watanganya wengi sana watafanya miujiza ya uongo, kuweni makini ndugu zangu unabii wa yesu kristo mwana wa Mungu wa pekee umetumia naiangamie kwa kukosa maalifa
@RehemaKasanga-vu5nj
@RehemaKasanga-vu5nj 13 сағат бұрын
Ameeen amen amen
@RehemaKasanga-vu5nj
@RehemaKasanga-vu5nj 14 сағат бұрын
Naiwe kwangu kwa jina la Yesu kristo
@user-bg9oi1ee3c
@user-bg9oi1ee3c 14 сағат бұрын
Watu wa kongo bna uchawi nnje nnje
@SmilingCake-my6xg
@SmilingCake-my6xg 14 сағат бұрын
Jamani wachawi siwatu
@rojazy54ruhimbasa52
@rojazy54ruhimbasa52 15 сағат бұрын
😂😂😂😂😂
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 16 сағат бұрын
Piga spana Mtumishi.
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 16 сағат бұрын
❤❤❤
@SolomonNyandindi
@SolomonNyandindi 16 сағат бұрын
Wajinga ndo waliwao
@CatherineLukwesaLukwesa
@CatherineLukwesaLukwesa 17 сағат бұрын
Amina unikumbuke namm nabii kiboko wachaw
@AsiaMsemo-ox1tg
@AsiaMsemo-ox1tg 18 сағат бұрын
Kama kunA mchawi anayeroga familia yangu akija hapa nyumbani kwa ubaya apigwe na afe kwa jina la yesu amen
@AsiaMsemo-ox1tg
@AsiaMsemo-ox1tg 18 сағат бұрын
Eee bwana yesu naomba uniponye huu ngjuu wangu na mwili wote kwa jina la yesu amen
@AsiaMsemo-ox1tg
@AsiaMsemo-ox1tg 18 сағат бұрын
Eee bwana yesu naomba msaada wako huyu kijana wangu aache pombe na apate kazi kwa jina la yezu amen
@AnnaLyatuu
@AnnaLyatuu 19 сағат бұрын
Jamani hawa watumishi wa Bwana hawajajiita wenyewe wametumwa na mungo acheni kuwakashifu kikubwa ni IMANI
@AnnaLyatuu
@AnnaLyatuu 19 сағат бұрын
Jamani tuache kudhihaki watumishi wa Mungu
@HadijaRajabu-x6v
@HadijaRajabu-x6v 19 сағат бұрын
Bwana yesu asifiwe mtumishi wa mung anaomba uniombee nipate mtoto
@wiston1kepher11
@wiston1kepher11 20 сағат бұрын
Babaa nabii dominic kiboko ya wachawi naomb uniombee namim mguu wangu unashida ulivunjika
@AsiaMsemo-ox1tg
@AsiaMsemo-ox1tg 21 сағат бұрын
Kama kuna mtu anayemroga mtoto wanga aungue kwa jina la yesu amen
@RaymondMadimo
@RaymondMadimo 21 сағат бұрын
Nisaidie kuniombea mtoto wa kaka yangu kajifungua mtoto ana mezi nane Sasa anastukastuka wakati wote na miguu vidole gumba kama vimevimba naomba unisaidie apone huyo mtoto nabii mtoto huyu apate afya
@irakozemeddy-dv2xo
@irakozemeddy-dv2xo 21 сағат бұрын
Amen
@JuscardTraore-qh8bn
@JuscardTraore-qh8bn 22 сағат бұрын
kazi njema baba wachawi wana tesa watu sana niombeye n'a mimi baba ni Daniel from Congo Drc
@tumsifurudovikoNtakamulenga
@tumsifurudovikoNtakamulenga 22 сағат бұрын
Mtumishi bwanayesu asifiwe sana ninashinda kubwa niombee nipatekufikakanisani
@heriethemanuel5906
@heriethemanuel5906 22 сағат бұрын
Hakiki wewe ni kiboko ubarikiwee Sanaa
@Rehemaomary-t1z
@Rehemaomary-t1z 22 сағат бұрын
Niombee nifunguliwe kiafu
@MwanaharusiKodema
@MwanaharusiKodema Күн бұрын
Nabii najiunganisha kwenye maombi uniombee haya maradhi niliyonayo yaondoke amina
@JingisengeacomSengea
@JingisengeacomSengea Күн бұрын
Niokoe baba pasta dominiki mgongoo unanisumbua sana niokoe na familia yangu
@JingisengeacomSengea
@JingisengeacomSengea Күн бұрын
Pasta dominiki kiboko ya yawachawi niokoe na mimi nasumbuliwa na mgongoo niko singida baba naitwa jingi richadi nisaidie baba
@hansijohnn9623
@hansijohnn9623 Күн бұрын
Nakataa kufa Kwa jina la yesu
@JayMusic-fd7dm
@JayMusic-fd7dm Күн бұрын
Nabii tabiri juuyangu
@JayMusic-fd7dm
@JayMusic-fd7dm Күн бұрын
Nabii tabiri juuyangu
@JayMusic-fd7dm
@JayMusic-fd7dm Күн бұрын
Nabii tabirjuu yangu mimi abraham eliuze mgonja
@JayMusic-fd7dm
@JayMusic-fd7dm Күн бұрын
Naitwa abrahamu eliuze mgonja nimeteseka sana nikipatahela zinaishia kwamagonjwa naamba tabirijuu yangu 🙏🙏🙏
@JayMusic-fd7dm
@JayMusic-fd7dm Күн бұрын
Nabii tabirijuu yangu
@JayMusic-fd7dm
@JayMusic-fd7dm Күн бұрын
Nabii tabiri juuyangu
@LilianMhina-qo9bl
@LilianMhina-qo9bl Күн бұрын
Baba kibok
@LilianMhina-qo9bl
@LilianMhina-qo9bl Күн бұрын
Baba mimi ninaomba uniombee ninakohoa namafua miaka10 nimehangaika
@LilianMhina-qo9bl
@LilianMhina-qo9bl Күн бұрын
Natakakupona kikohozi na mafua nateseka baba
@AngelKifaru
@AngelKifaru Күн бұрын
Baba niombee nipone damuikauke saahii,Amina
@EsterShirima-vr7cv
@EsterShirima-vr7cv 2 күн бұрын
Nabii tunaomba msaada wako
@EsterShirima-vr7cv
@EsterShirima-vr7cv 2 күн бұрын
Namimi mtumishi ni.eibiwa tairi ya bajaji na betrii yake
@valenakomba7686
@valenakomba7686 2 күн бұрын
Msimiuwe jamaani, Sasa akifa atajutaje zambi zake. Kwanza anaonekana kama mgonjwa wa akili.
@shanti-hd7zy
@shanti-hd7zy 2 күн бұрын
Mungu wa haya Madhibau aje anikombowe nimechoka na Maisha magumu🇩🇪
@JonhMboya
@JonhMboya 2 күн бұрын
Naitwa Grace Wa Arusha Nabii Apigwe Huyo Mama Na Watu Wote Wanaoniroga Mimi na Familia Yangu
@BettyMushy-mq6rm
@BettyMushy-mq6rm 2 күн бұрын
Karibu arusha
@StevenMutale-xt9yj
@StevenMutale-xt9yj 2 күн бұрын
Wewe rebeka ndungu yangu iyo sio maubiri iyo nikupotesaa mudaa
@StevenMutale-xt9yj
@StevenMutale-xt9yj 2 күн бұрын
Sawa nendini mtajuta baadae aujawa kuiwona muijisa ya Mungu sio ya Mungu hii wanapotesa watu Mungu ila ngoja tu saa itafika mtafahamu ukweli niupi
@EvaavE-h4b
@EvaavE-h4b 2 күн бұрын
Avenita sina amani sipendwi kazini
@EvaavE-h4b
@EvaavE-h4b 2 күн бұрын
Avenita sipendwi namabosi nawatoto hanipendi niogezewe mshahara