NEW SONG FROM ROBERT ROBERT
5:21
NEW SONG FROM ADONAI ASTONI
6:18
Vijue vituko virivyopo mbeya
2:07
Пікірлер
@aberydanny9608
@aberydanny9608 7 күн бұрын
Huyu ndugu ana kifua kipana sana
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 7 күн бұрын
😭😭😭🙏🙏🙏
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 7 күн бұрын
IT'S 🆗 MR AND MRS MBARIKIWA!!!""IT'S 🆗 "🙏🙏🙏
@EzekielCharles-j8x
@EzekielCharles-j8x 8 күн бұрын
Umefiwa unacheza namna hiyo ulimpenda kweli mnao?
@user-qk9iz5lt8q
@user-qk9iz5lt8q 9 күн бұрын
MUNGU ANA TISHA SANA NIMEKUWA NIMSIKIA MBARIKIWA MWAKIPESILE ANALIA NA MWANAE ILA LEO NA MIMI NIMELIA BAADA YA KUMUONA NA KUMFWATILIA NIKUPE POLE SANA MBARIKIWA NA FAMILIA YAKO PAMOJA NA KIKOSI KAZI INAUMA ILA KAZI YA MUNGU HAINA MAKOSA
@anethjackson512
@anethjackson512 15 күн бұрын
Mungu akutie nguvu mtumishi wa Mungu😭😭
@HadijaJoseph-d1g
@HadijaJoseph-d1g 19 күн бұрын
Mwenyezi mungu awatie nguvu family yote da niuchungu sana
@HadijaJoseph-d1g
@HadijaJoseph-d1g 19 күн бұрын
Pole sana kaka
@user-yg8yo3ul8h
@user-yg8yo3ul8h 20 күн бұрын
Aisee yataka ujasili mkubwa sana na nguvu ya mungu
@user-yg8yo3ul8h
@user-yg8yo3ul8h 20 күн бұрын
Mungu ndie mtenda yote wale wote waliofanya hivi mungu atalipa polen sana
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA 21 күн бұрын
MUNGU NI MUNGU MWENYE WIVU ni VIZURI KUIPISHA GHADHABU YA MUNGU juu ya ALIYEMUUA MTOTO WA MWAKIPESILE MPAKWA MAFUTA WA YESU KRISTO WA NAZARETI.Najiuliza KAMA ASINGEKUWA YESU KUWA MTETEZI WETU TUNGEKUWA WAPI ?
@user-mj9xw3qc3j
@user-mj9xw3qc3j 21 күн бұрын
Aisee... sijawah ona iman ya namna hij😢
@Mwasame_Official1
@Mwasame_Official1 22 күн бұрын
Hakika mtumishi kweli kweli 😢😢😢 lakini jehova mungu anasababu ya haya yatendeke🎉🎉lala kwa amani
@JanethRobati-s2k
@JanethRobati-s2k 27 күн бұрын
Hakuna anaeweza hilo baba unaushujaa wakutosha basi ivoivo mungu akushindie vita hiyo we nyamaza aseme baba pole sana mungu akutie nguvu
@HannahHenry-ox9be
@HannahHenry-ox9be 27 күн бұрын
Nyimbo inaitwa jamani
@user-xh9dm3ni4k
@user-xh9dm3ni4k 28 күн бұрын
Utalipwa na Mungu
@micpaul3542
@micpaul3542 Ай бұрын
Dunia ni Mahali salama kwa wenye haki ikiwa tu kiongozi wao ataisafisha kwa kutenga ngano na magugu ,,, Mapigo ya wadhalimu yatatoka kwa Bwana Hata kama unamchukia mtu haipaswi kufikia kutoa uhai wa mtu Mtu anathamani kubwa sana Machoni pa Mungu alie hai
@Mwasame_Official1
@Mwasame_Official1 Ай бұрын
Huyu ni mtumishi wa mungu kweli kweli ❤
@ShangweWaziry
@ShangweWaziry Ай бұрын
😭😭😭😭kama duh ningum sana bila msaada wa MUNGU ni jambo gum sana Hilo Mungu awape nguvu🙏🎂
@zawadikwalazi6213
@zawadikwalazi6213 Ай бұрын
Nimejijuta nalia..pole sana🙏🙏😢
@zawadikwalazi6213
@zawadikwalazi6213 Ай бұрын
😢😢😢polen sana..❤❤❤
@user-gz2rg3qn3f
@user-gz2rg3qn3f Ай бұрын
poleni sana mungu awatie nguvu
@MamaDieudonne-mq2sq
@MamaDieudonne-mq2sq Ай бұрын
Nambiya jamani Congo tupate watu kama hawa
@MamaDieudonne-mq2sq
@MamaDieudonne-mq2sq Ай бұрын
Pole sana baba
@safarijoseph9591
@safarijoseph9591 Ай бұрын
Hakika Mungu amukumbuke Kwa kazi yake🙏🙏🙏
@adonaiastoni1703
@adonaiastoni1703 Ай бұрын
Ameen Ameen baba
@Janetjanet-ke9fv
@Janetjanet-ke9fv Ай бұрын
Barikiwa Sana mtu wa MUNGU 🙏
@SAUTIYAHAKI
@SAUTIYAHAKI Ай бұрын
wejamaa unaakili sana naona hatanamna ulivyo vaa umevaa kihalakati
@daudirubibi9601
@daudirubibi9601 Ай бұрын
AMINA SANA MUNGU AWE NANYI
@isaacsanga9707
@isaacsanga9707 Ай бұрын
Kumcha Mungu ni mwanzo wa kuirudia asili ya ubinadamu kwa maana huyu wa sasa amekuwa kama hayawani! Mubarikiwe kwa wimbo huu unatupa hamasa ya kuendelea.
@shukranimpomwa7460
@shukranimpomwa7460 Ай бұрын
MUMGU AWE NANYI SANA, MAANA MAISHA YENU NI USHUHUDA, MMEGUSA MAISHA YA WENGI SANA, MUNGU AWE NANYI MASHUJAAA KWA MOYO MKUU MLIO NAO
@komandowainjiliyayesu
@komandowainjiliyayesu Ай бұрын
Halleluya
@alunekyusa4905
@alunekyusa4905 Ай бұрын
Amen
@alunekyusa4905
@alunekyusa4905 Ай бұрын
Amen
@eliudimsyani127
@eliudimsyani127 Ай бұрын
BABA INA MAFUTA HII NYIMBO HEEEEEEEEE
@robertrobert9470
@robertrobert9470 Ай бұрын
Ameni baba
@komandowainjiliyayesu
@komandowainjiliyayesu Ай бұрын
Ameen mtumishi wa MUNGU
@nicholaswaemmanuel7221
@nicholaswaemmanuel7221 Ай бұрын
NI KWELI TENA HAKIKA KABISA BABA. MUNGU AKUTIE NGUVU NA KUKUTUNZA SANA. AMEN AMEN 🙏🙏
@adonaiastoni1703
@adonaiastoni1703 Ай бұрын
Ameen Ameen baba 🙏
@isaacsanga9707
@isaacsanga9707 Ай бұрын
Kweli harakati za ukombozi zinaendelea kwa hamasa kubwa ...Mungu akushike mkono mtumishi!
@aron2346
@aron2346 Ай бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭ee Mungu tusaidie watu wako
@komandowainjiliyayesu
@komandowainjiliyayesu Ай бұрын
Amen
@komandowainjiliyayesu
@komandowainjiliyayesu Ай бұрын
Ameeni Mtumishi
@isaacsanga9707
@isaacsanga9707 Ай бұрын
Mungu tutee sana..
@StevenMutale-xt9yj
@StevenMutale-xt9yj 2 ай бұрын
Haki uko levo ya kiiman ifo inatakiwa wakirsto wate tuwe
@StevenMutale-xt9yj
@StevenMutale-xt9yj 2 ай бұрын
Mungu akusaidie kubariki kama alipo sidii kubariki
@adonaiastoni1703
@adonaiastoni1703 2 ай бұрын
Ameen 🙏🙏🙏
@nicholaswaemmanuel7221
@nicholaswaemmanuel7221 2 ай бұрын
AMINA SANA BABA.. UBARIKIWE MTU WA MUNGU.
@shukranimpomwa7460
@shukranimpomwa7460 2 ай бұрын
Pokea sifa Eeeeeee Mungu
@adonaiastoni1703
@adonaiastoni1703 2 ай бұрын
Ameen Ameen baba 🙏🙏
@GodfreyMakala
@GodfreyMakala 2 ай бұрын
Mungu awatie nguvu