Пікірлер
@daudijisena6110
@daudijisena6110 22 сағат бұрын
Ubaya ubwela
@WilbertChambilo-yl1kc
@WilbertChambilo-yl1kc 2 күн бұрын
Unaeleweka sana mwl wng, lkn tulifanya makosa kutokuchukua Namba yako ya simu coz kunawatu bado wanaenda kinyume na maono yenu Kwa watumishi ngaz ya chini.
@andrewkissava9184
@andrewkissava9184 12 күн бұрын
Eeeeee,Deo limenenepa kwa ubng
@AlexAlex-kf1eg
@AlexAlex-kf1eg 3 ай бұрын
Muheshimiwa mungu akutunze ila kabla hujahama mkoani kwetu tusaidie wana makambako kata ya maguvani tunateseka sana barabara ni madimbwi mtupu tafadhali 😙🙏
@AlexAlex-kf1eg
@AlexAlex-kf1eg 3 ай бұрын
Asanteni kwahili tunamwomba Hanana atukumbuke wapigakura wake wa maguvani barabara mbovu jaman madimbwi tu tafadhali muheshimiwa 🙏
@scorahkuyava1834
@scorahkuyava1834 4 ай бұрын
Dadaangu kipenz
@AlexAlex-kf1eg
@AlexAlex-kf1eg 4 ай бұрын
Nimefurahi Sana Tena saaana nawapenda mnooo
@AlexAlex-kf1eg
@AlexAlex-kf1eg 4 ай бұрын
🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️❤️🙏
@AlexAlex-kf1eg
@AlexAlex-kf1eg 4 ай бұрын
Mimi Neema nakukubali Sana dada Tedy ❤❤❤❤❤❤❤
@Teresiabundala
@Teresiabundala 4 ай бұрын
Asanteee sana Neema
@AlexAlex-kf1eg
@AlexAlex-kf1eg 4 ай бұрын
❤❤❤Hongereni wanawake wenzangu mungu awatunze ❤❤❤❤
@user-ix8qr4bn9z
@user-ix8qr4bn9z 4 ай бұрын
Pambe sana
@epnyagawa
@epnyagawa 6 ай бұрын
Mungu aendelee kukuinua kwa huduma unayoiitoa
@jonathanmlinda2580
@jonathanmlinda2580 7 ай бұрын
Huyu mkuu wa mkoa tumlinde sana, ❤
@davidnyimbo8870
@davidnyimbo8870 2 жыл бұрын
Wengine tupo mbali ila tunapenda kupata updates za nyumbani
@davidnyimbo8870
@davidnyimbo8870 2 жыл бұрын
Kanzi nzuri