Пікірлер
@Qqambaa
@Qqambaa Ай бұрын
Kuna kabila kubwa kenya linaitwa kikuyu
@fransicmushenyera9302
@fransicmushenyera9302 Ай бұрын
R.I.P.JPM
@KalistGeorge
@KalistGeorge 2 ай бұрын
❤❤❤❤
@KalistGeorge
@KalistGeorge 5 ай бұрын
❤❤❤❤ nimeipenda sana ihi.
@rafaellastracom6411
@rafaellastracom6411 5 ай бұрын
What a bunch of nonsense. They were and ARE scum, heathen scum.
@JemaElia-np6yi
@JemaElia-np6yi 5 ай бұрын
habari mpendwa naomba ata kazi ya Usafi tu nipo hapa dodoma😢
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 6 ай бұрын
Airport ya Dar es salaam inanuka rushwa, watumishi wamekuwa kama traffic wa Barabarani kutafuta makosa, shida iko wapi? Kwanini watumishi wa Airport wasilipwe hela nzuri ili waondokane na aibu wanazozifanya? Yaani wanavyo tafuta makosa Kinguvu kwa abiria inatia aibu, wanakwamisha watu makusudi ili watu watoe rushwa kuanzia $200 , na mtu akisema jaman Sina cash Nina $50 tu wanasema $50 ndogo Eti wako wengi na wamejipanga may be $150 je tunauliza hizo hela zinaingia Serikalini? Hivi kama kweli tumeshindwa kudhibiti rushwa za wazi pale Airport je tutaweza wapi? Airport Kuna uhamiaji, Jeshi, Usalama, Polisi kwanini watumishi wa pale huomba hela kwa lazima? Na kutafutia watu makosa kwa nguvu? Tunakwama wap? Umeme shida inajulikana mitambo haija kaa Sawa je rushwa za Airport? Msaidieni Mama SSH Kuna kundi la majambazi linamuangusha , mana sidhani kama yanayoendelea Airport ya Dar es salaam IGP, DCI, DG wa idara, CDF hawana taarifa , tunawaomba mumsaidie Mama SSH Hali ni mbaya kwa wasafiri
@johnochora8438
@johnochora8438 8 ай бұрын
Niki book mwezi mmoja mbele ,kutoka Dar mpaka warsaw Poland nitalipa shilingi ngapi ?
@josephhanura4674
@josephhanura4674 8 ай бұрын
Shabby Line Karibu Kigoma bado kidogo barabara yote ikamilike kwa Lami. Bukoba tayari ,bado Kigoma mwisho wa Reli.
@umelamedia
@umelamedia 8 ай бұрын
Let's go
@josemapu5010
@josemapu5010 8 ай бұрын
Naipataje Nina pc
@user-np1px1iy3c
@user-np1px1iy3c 9 ай бұрын
Nice
@vitalisimathew7593
@vitalisimathew7593 10 ай бұрын
🤩
@umelamedia
@umelamedia 10 ай бұрын
Let's go
@umelamedia
@umelamedia 10 ай бұрын
Super
@pmgmedia9166
@pmgmedia9166 10 ай бұрын
Here we go 😀
@mathewlive1372
@mathewlive1372 10 ай бұрын
My best place of knowledge
@vitalisimathew7593
@vitalisimathew7593 10 ай бұрын
😌😌🤪
@user-ru3zq1qr9y
@user-ru3zq1qr9y 11 ай бұрын
Jamani😂😂
@reginarudovick3401
@reginarudovick3401 11 ай бұрын
Hahahaha
@gabrielpeter3979
@gabrielpeter3979 Жыл бұрын
Ahaaaaa
@moseskulola6913
@moseskulola6913 Жыл бұрын
Muchuganji ukovizuri sana
@MagrethLwiva-ik9dl
@MagrethLwiva-ik9dl Жыл бұрын
We unaelekeza viziwi au
@drgeofreykupaza7707
@drgeofreykupaza7707 Жыл бұрын
Kisheria za polisi hutakiwi kumuonea huruma hata mzazi wako maana raia huwa wanatumia kivuri cha ukatibu na polisi kufanya uhalifu uyo jirani hata reseni hana sasa ukiweka ujirani kazini si inasababisha matatizo makubwa
@allymoshi2053
@allymoshi2053 11 ай бұрын
Huo n ujinga na huyo mzazi wako ndio alikusomesha mpka kupata kaz hyo ya upolisi mfano halafu usimuonee huruma wkt hyo serikali ukizingua t kidogo KAZINI WANAKUTIMUA KAMA MBWA
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg Жыл бұрын
Hii imeenda
@danielandrew9892
@danielandrew9892 Жыл бұрын
Ndio zao hao
@zanzibar.
@zanzibar. Жыл бұрын
yni huyo ndio uhalisia wa trafiki wenyewe munakuw marafiki lkn hwn urafiki ht uwafanye vp roho zao mby sana time nyengine asikukamate ww anaweza kukuchomea kwa trafik mwenzake
@johnycavishe5207
@johnycavishe5207 Жыл бұрын
Syo traffic t jeshi lote kwa ujumla awanaga masihara kazn
@AugustineBasil-ok3dg
@AugustineBasil-ok3dg Жыл бұрын
Hahahaha fire extinguisher na triangle hahahahah
@allymoshi2053
@allymoshi2053 11 ай бұрын
Siwapendi mbuzi hawa mm hata kwangu askari hapangi na sina urafiki nao kbsa mbuzi mmoja kma wao alishawahi kunidhulumu pesa yngu kila nikifuatilia wanabebana tu
@emmanuelmambarera141
@emmanuelmambarera141 11 ай бұрын
😂
@Samwel-dz2lt
@Samwel-dz2lt 11 ай бұрын
​@@AugustineBasil-ok3dgp0p
@user-vf5zq5rr4d
@user-vf5zq5rr4d Жыл бұрын
Kazi iendelee
@jameswissa9981
@jameswissa9981 Жыл бұрын
Nye sio vzr we Traffic wa mchongo Unakula bure kwa watu halaf na ww unakaza kisa uko kazini😂
@shadracktangulia643
@shadracktangulia643 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@lilyg2134
@lilyg2134 Жыл бұрын
The best!!!
@NeemaJoseph-vr7vh
@NeemaJoseph-vr7vh Жыл бұрын
😂😂😂
@lullebolle808
@lullebolle808 Жыл бұрын
Huuu mji unaendelea kwa kasi kuliko wakwetu Arusha Arusha ni hovyo kabisa Bora nanyumbu
@LuqmanAlly-if1ry
@LuqmanAlly-if1ry Жыл бұрын
Y.
@smartboytz4724
@smartboytz4724 Жыл бұрын
Hapo shida ni barabara tyu nyembamba sana
@vusumuzimathumo-githendu6949
@vusumuzimathumo-githendu6949 Жыл бұрын
the area looks dry and dusty
@user-vm1db7vr9r
@user-vm1db7vr9r Жыл бұрын
Pazuri sana dom
@jiweg-unit5408
@jiweg-unit5408 Жыл бұрын
Jpm aliipenda Tanzania hakutaka Tz iwe Ya kinyonge hilo jengo la bus terminal ni kama jengo la park station j'burg halifanani lakini ni kubwa yaan ina Ashiria kwamba ni kituo kikubwa cha mabasi
@vitalisimathew7593
@vitalisimathew7593 Жыл бұрын
😎😎
@pmgmedia9166
@pmgmedia9166 Жыл бұрын
🤔
@RobartChuwa-wk3tx
@RobartChuwa-wk3tx Жыл бұрын
💯
@pmgmedia9166
@pmgmedia9166 Жыл бұрын
😁😁😁👏👏
@rosemuhandoofficial5676
@rosemuhandoofficial5676 Жыл бұрын
Weweeee!!!! Dodoma hoyeeee ,Samia woyooooo!!!
@pmgmedia9166
@pmgmedia9166 Жыл бұрын
Anaupiga mwingi😀😀😀
@pmgmedia9166
@pmgmedia9166 Жыл бұрын
Kazi inaendelea... 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@pmgmedia9166
@pmgmedia9166 Жыл бұрын
Asante sana Malkia wa Gospel Music 🎶🎶
@umelamedia
@umelamedia Жыл бұрын
Idodomiaa
@pmgmedia9166
@pmgmedia9166 Жыл бұрын
Nomaaa😀
@stanleymakala5757
@stanleymakala5757 Жыл бұрын
Good job
@haider1997
@haider1997 Жыл бұрын
Imekuja kwa dharura
@umelamedia
@umelamedia Жыл бұрын
Duuuuuuhhh
@pmgmedia9166
@pmgmedia9166 Жыл бұрын
😁😁😁😁😁
@umelamedia
@umelamedia Жыл бұрын
Lets go
@pmgmedia9166
@pmgmedia9166 Жыл бұрын
Great Great 😁😁😁👍👍
@saidhamza5318
@saidhamza5318 Жыл бұрын
Hiv bakhresa hana mzuka wa biashara ya mabasi🧐
@pmgmedia9166
@pmgmedia9166 Жыл бұрын
Labda ana hisa kwenye ma kampuni mengine huwez jua😁
@vitalisimathew7593
@vitalisimathew7593 Жыл бұрын
😉😛😛🤩😎
@pmgmedia9166
@pmgmedia9166 Жыл бұрын
😁
@umelamedia
@umelamedia Жыл бұрын
Love from Tanzania
@pmgmedia9166
@pmgmedia9166 Жыл бұрын
😁😁
@umelamedia
@umelamedia Жыл бұрын
Mwambaaaa 🔥
@pmgmedia9166
@pmgmedia9166 Жыл бұрын
👍💰
@vitalisimathew7593
@vitalisimathew7593 Жыл бұрын
umetisha kk🤩🤩🤪
@pmgmedia9166
@pmgmedia9166 Жыл бұрын
😁😁😁😁😁
@pmgmedia9166
@pmgmedia9166 Жыл бұрын
Education is better than money 🤑💰💵