🔴LIVE: MISA TAKATIFU LEO JUMANNE ASUBUHI
45:32
UTOTO MT. PAROKIA YA MT. ISDORI BAKANJA  BOKO
28:24
Пікірлер
@AndrewKisava
@AndrewKisava Күн бұрын
Ndugu zangu duniani tu wapitaji ,usije ukajivunia Elimu, mali,hadhi,cheo,mamlaka maana kunakutoa hesabu mbele zake MUNGU jinsi maisha yako ulivyo ishi na kudhamini maisha na uhai wawengine
@norbertjosephat7831
@norbertjosephat7831 Күн бұрын
Apumzike kwa amani Jaji Werema
@kilianchalle-hj6xn
@kilianchalle-hj6xn 3 күн бұрын
Mungu akutie nguvu baba
@johnsonjumanne
@johnsonjumanne 3 күн бұрын
Kazi nzuri wana Iringa
@Saul-r6r
@Saul-r6r 4 күн бұрын
Yesu Kristu yu hai ndani ya maumbile ya mkate na divai. Tumuabudu Yesu wa Ekaristia. Nina ushuhuda.
@augustngallo
@augustngallo 4 күн бұрын
tumsifu yesu Kristu
@MrossoBarth
@MrossoBarth 4 күн бұрын
Mahujaji Wa Matumaini
@paulinef.millanzinana8279
@paulinef.millanzinana8279 5 күн бұрын
Hakika tuliona mkono wa Bwana
@tumainitelevision
@tumainitelevision 4 күн бұрын
Amina Asante sana kwa Kushukuru
@mbiyugobo1031
@mbiyugobo1031 5 күн бұрын
😢mbona mwisho sauti haitoki
@tumainitelevision
@tumainitelevision 5 күн бұрын
Asante sana kwa maoni, ila sauti ipo labda tazama vyema kifaa unachotumia kutufuatilia
@regnaldmbughi6265
@regnaldmbughi6265 5 күн бұрын
Asanteni kwa kuja Tumaini media
@tumainitelevision
@tumainitelevision 5 күн бұрын
Asante sana kwa Kushukuru ni Utume kwetu, endelea kuchangia chombo hiki kwa Hali na mali
@NicholasChacha
@NicholasChacha 5 күн бұрын
🔥🔥
@stellawambura9124
@stellawambura9124 5 күн бұрын
Amina
@SrsalvinaEmilian
@SrsalvinaEmilian 6 күн бұрын
Hongereni.
@avoldwilliam1131
@avoldwilliam1131 7 күн бұрын
Mungu akawaongoze mkayaishi yale Mumefundishwa... 🙏
@devotamutayoba9373
@devotamutayoba9373 8 күн бұрын
Glory to God
@a.faalice
@a.faalice 8 күн бұрын
Am watching from Saudi glory too our messiah us born in our earth 🎉🎉❤hallelujah 🙏🙏💥💥
@BonnaNinga-dx7tj
@BonnaNinga-dx7tj 11 күн бұрын
Ámina ámina barikiwa Sana mtumishi
@piussenga6669
@piussenga6669 11 күн бұрын
Naombeni kama kuna anaejuwa mikitano alio hubiri huyu super anipe jina niutafute,,🙏🙏🙏
@paulassenga7527
@paulassenga7527 11 күн бұрын
Asante Yesu sifa kwako Yesu
@TheophilRomward-FBAttorneys
@TheophilRomward-FBAttorneys 11 күн бұрын
1:58 protocol
@blandinakimbe8910
@blandinakimbe8910 13 күн бұрын
Amina
@EnosNgelela
@EnosNgelela 14 күн бұрын
🙏🙏⛪
@exprodigitaltechtv5571
@exprodigitaltechtv5571 14 күн бұрын
Amina
@alvezog_3836
@alvezog_3836 14 күн бұрын
Rest in peace brother boniface
@PauloNyoni-p1b
@PauloNyoni-p1b 15 күн бұрын
Wana kwaya pongeziii🎉🎉🎉
@tempochoir
@tempochoir 16 күн бұрын
Asante kwa neno Fr.🙏🙏🙏
@tempochoir
@tempochoir 16 күн бұрын
Bonge la wimbo wa mwanzo meimba vizuri sana 🎉🎉🎉
@KulotidaMihambo
@KulotidaMihambo 17 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@KulotidaMihambo
@KulotidaMihambo 17 күн бұрын
Hongereni sana mufike mbali amina
@ponsianonyangachi6805
@ponsianonyangachi6805 18 күн бұрын
Video low quality
@ZenaNdisa-x2m
@ZenaNdisa-x2m 18 күн бұрын
Mimi mwanangu ana miaka mi nne anateseka na macho yanakua mekundu na anajikuna dawa nimetumia rakini haisaidii
@JoackimFrank-o5f
@JoackimFrank-o5f 18 күн бұрын
Daaaa ila Hawa watu Wana kitu didah namuona hapo yaan nataman waje waimbe hata nyumban kwetu kila siku
@danielkavugha189
@danielkavugha189 18 күн бұрын
Ndugu yangu huyo mbona kavaa jezi ya Mnyama. Hata kama Simba chama langu lakini nadhani Sio sawa kutumika kama vazi la muumini kwenye Ibada.
@JeremiaFransisco
@JeremiaFransisco 19 күн бұрын
Better for my life❤❤❤🎉
@asifiwempagama27
@asifiwempagama27 21 күн бұрын
Wenye hekima na busara, wanakushangaa umeanza lini kuwa mwanasiasa.?
@ElitrudaShirima-c6m
@ElitrudaShirima-c6m 21 күн бұрын
Kwenye nyumba ndogo
@HelenNgesela
@HelenNgesela 21 күн бұрын
Asanteni sana tupo pamoja
@Fathasssane-vs2th
@Fathasssane-vs2th 21 күн бұрын
Dokta naomba kuuliza ila kwa sasa sipo tz nina tatizo la kutoa vipande vya makohozi yakiwa njano hadi kua meusi au mchanganyiko kila siku asubuhi lazima kitoke hii kitu bila kutoka siwezi kukaa kwa aman nimetaabika sijapata suluhisho hadi leo ni miaka 11sasa 😢😢hii hali
@jacksonitemba223
@jacksonitemba223 21 күн бұрын
🙏🙏
@LUKIUSJOSEPHATI
@LUKIUSJOSEPHATI 26 күн бұрын
AMINA baba 🙏🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️
@LUKIUSJOSEPHATI
@LUKIUSJOSEPHATI 26 күн бұрын
AMINA baba
@neemaswagara3820
@neemaswagara3820 27 күн бұрын
Amina baba
@Matingapeu
@Matingapeu 27 күн бұрын
Pd. Naomba mada ya "Bikira Maria mkingiwa dhambi ya asili, mpalizwa mbinguni na mwombezi wetu", katika Biblia.
@devotamutayoba9373
@devotamutayoba9373 27 күн бұрын
Hongereni sana viongozi wetu Kwa maandalizi mazuri hakika tumepata baraka nyingi