Kwa sababu inzi huyu haonekani mara kwa mara,(anatawa) angeitwa Inzi tawa. Jina lake kitaalam ni hermetia illucens.
@osodowilberforce2321 Жыл бұрын
Congratulations Madam Stella,for your good explanation.
@josephwilliammnyune5464 Жыл бұрын
Hiyo kilo moja elfu hamsini ni bei ya mayai, au larvae?
@yusuphandrea43622 жыл бұрын
Nawezaje kupata mayai yake / Larvae Kwa Shngap!??
@GOJOINK2 жыл бұрын
WOOW NICE ONE 🐠🐠🐠🐠🐠🐠🐠
@agnesngimbudzi65962 жыл бұрын
Je mnatawi wapi kwa ngazi ya diploma?
@vedastokeya33442 жыл бұрын
Kati ya vitu ambavyo huwa sielewi kabisa kama kilimo ni mkombozi wa mtz Sasa kupima udongo huduma hii kwanini ni ngumu kwanini zisisogezwe kila kata au tarafa
@barakabwire72183 жыл бұрын
Hongereni sana wataalamu wetu. Ningependa tuwe tunaweka mawasiliano ili hata ambao hatukupata fursa ya kufika maonyesho tuwasiliane nanyi
@tabithalucas18313 жыл бұрын
Hongera sana mhandisi Olgen.Pamabaneni maana kilimo kinahitaji hizi teknolojia
@esriesri4 жыл бұрын
Huduma zenu nitawezaje kuzipata Kagera?
@godfridymbepera64424 жыл бұрын
Tunawapataje?
@herrykilele46224 жыл бұрын
kazi nzuri
@fredmyinga90075 жыл бұрын
Honger sana SUA, na hongera Muhandisi Olgen Denis. The works you perform are really value adding and game changing to the smallholder farmers. Big up