Kijana Bora Hupambwa Na sifa Kuu ya Maarifa kama ndg FarisBuruhan .... Hongera Sana m/kiti-Uvccm mkoa wa Kagera #CCM #SSH
@SudiChima26 күн бұрын
Mwamba ✊🏿 👊🏼 .. Hoja Njema Sana M/kiti FarisBuruhan.. Umekuwa M/kiti Aa vijana wa chama cha Mapinduzi mwenye Maarifa Mengi.. Tunaendelea Kujifunza Kutoka Kwako Cde #SisiNiTanzaniA #MsLACampaign #CCM #SSH
@bahatidaud710727 күн бұрын
Hongera Sana Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa KAGERA Faris Buruhani Kwa Fact ulizozitoa kwenye The Big Agenda. 🙏🙏🙏🙏
@farajaraphael292427 күн бұрын
Fact zimejaa
@shaajunction492928 күн бұрын
Hongera sana Faris , maongezi hayachoshi kusikiliza hakika ametulia katika mazungumzo yake
Huu ndo ufugaji wenye pesa ya haraka! Hongera sana
@ErickSanga-mi7tmАй бұрын
Noma
@saidnoumani72442 ай бұрын
Hata biblia inakataza kula nguruwe fata mafundisho ya Mungu na Yesu sio Paul as 3rd person na huyu paul sio mwisraeli ni mrumi....fanyeni research ndugu zangu.
@GloryIzack2 ай бұрын
💥💥💥💥
@bhwanajoseph67992 ай бұрын
huyu jamaa anakamba nyingi sana
@selestineramadhani73252 ай бұрын
Vanilla imeshamoeleka mahakamani
@selestineramadhani73253 ай бұрын
Tayari watu wameshaibiwa na kutapeliwa tayari wanalia kama mbuzi. Angalia jambo tv ya wiki hii. Huyu jamaa ni mwizi haramia jambazi na tapeli. Tafadhali kuweni macho yaani
@emmanuelmaximilian93 ай бұрын
Mi nikijana wa miaka 18 nawezaje kupinga ukatiri endapo nikiona ukatiri unafanyika nyumbani
@emmanuelmaximilian93 ай бұрын
Naomba kuuliza swali
@aliakrabi83213 ай бұрын
hifadhi zetu kwa wazawa bado 1. Kwanza miundombinu ya barabara ndani ya hifadhi haziangaliwi kwa baadhi ya hifadhi hata serengeti+ngorongoro ambazo ni kubwa. njia mbovu hazifanyiwi ukarabati, rasta, mawe sehemu nyingi. watanzania wengi wanakuja na magari yao, ambayo ni za kawaida 4WD kama Rav4, KLUGER, PRADO, Mazda, Mitsubishi, nissan xtrail, na gari salon. ukipeleka kwenye hifadhi unaharibu gari kutokana na njia. hata hizo gari kubwa Landcruiser landrover utazihurumia zinavyopita na kuharibika ktk njia hizo ambazo hata hivyo watz wengi hawawezi kuzilipia. TANAPA na wenyewe hawana magari yao ya kutembeza watalii wa ndani, inategemea sekta binafsi ambazo ni ghali sana. 2. Huduma za kulipia tozo za hifadhini. kwa huko nyuma mpaka sasa baadhi ya maeneo hakuna njia tofauti za kulipia, wanataka ulipie kwa kadi ya VISA/MASTERCARD ambazo watanzania wengi wanakuwa hawajajiandaa, lakini Mpesa imeanza karibuni-tunapingeza hilo. ila network za shida unaweza kutembezwa kilomita 10 kupata mtandao wa mpesa, lakini na POS mara nyingine hazifanyi kazi au hakuna network. 3. miundombinu ya malazi kwa watanzania baadhi ya hifadhi hakuna kabisa au chache sana. hifadhi kubwa kuna malazi ya wageni ambazo unalipia dola 400-1200 kwa lodge za kati na kati. 4. Huduma za chakula ndani ya hifadhi mpaka uende hoteli za kigeni/zenye hadhi kubwa kwa dola 50 kwa mtu. 5. hakuna michezo za ziada za hifadhini zaidi ya kutembea kutafuta wanyama. mfano zipline, boats, farasi, parachute, balloon, picnic site na mabanda ya kupumzikia n.k. 6. Ushauri, TANAPA wangekuwa wanatengeneza Ratiba ya kuwachukua watz kwa usafiri kwa usafiri wa Tanapa, malazi na chakula, sema kila mwezi mara moja au kila baada ya miezi 2-3, for 3 nights packages na kuwarudisha kwa tozo rafiki ingewasaidia sana watz kujaza mbuga zetu. 7. askari waongozaji mara nyingine ni tabu sana kuwapata getini mpaka usubiri wee huku umelipia huduma hiyo.
@germanakimati69733 ай бұрын
Naombanambaza huyoaliyekupandikizia waarusha
@NgaoKahema-x5g9 күн бұрын
mimi naomba kujua namna ya kuchanganya chakuala cha ziada cha ng'ombe kama pumba
@germanakimati69733 ай бұрын
Dadanatamankupata mbengutokakwako
@vailethbyanjweli40644 ай бұрын
Imekuwa halisi
@NYOTAWAMCHONGOTV4 ай бұрын
Nakuba sana 😂😂
@DavidIssack-vr9om4 ай бұрын
Daah me mwenyewe huwa kinanisumbua sana 😢😢😢
@NathanaelShinyanga-un8ih4 ай бұрын
Powerful!
@thomaskiponda60795 ай бұрын
DUH YERIKO NI MWAMBA KABISA❤❤❤😂😂😂😂😂
@JumaPeter-n2b5 ай бұрын
Hongereni Sana viongozi wetu kwa kazi nzuri
@JimmyMwehutz5 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@gwamagobejosephat43765 ай бұрын
Fpct kagera leo
@JamalyBuhuru5 ай бұрын
Jaman Mimi napenda sana ufugaji huuu ila sijui pa kuanzia naomben msaada wa mawasiliano ya huyo dada
@ishengomanelson5 ай бұрын
Odemba jifunze jinsi ya kufanya interviews. Jifunze kukaa kimya mtu anapojibu hoja ulizouliza ili mradi hajatoka kwenye swali lako. Wakati mwingine unahoji kama amateurs. Pia jaribu kuuliza maswali magumu yenye logic na facts sio rumors na umbea. Hivyo basi, utafiti ni muhimu kabla ya elite interviews.
@ishengomanelson5 ай бұрын
Odemba jifunze jinsi ya kufanya interviews. Jifunze kukaa kimya mtu anapojibu hoja ulizouliza ili mradi hajatoka kwenye swali lako. Wakati mwingine unahoji kama amateurs. Pia jaribu kuuliza maswali magumu yenye logic na facts sio rumors na umbea. Hivyo basi, utafiti ni muhimu kabla ya elite interviews.
@Brunotarimo105 ай бұрын
Kaka chiif Edwin odemba Karibu Crown media
@PaschalSimbakalia5 ай бұрын
Huyu jamaa anajaribu sana kumfanya Lissu asahau mambo ya msingi ktk hayo anayomjibu. Thih is unprofessional, maana hawezi kumhoji kwa style hiyo kiongozi yeyote wa chama tawala au seriksli!
@DavidSam-d4m5 ай бұрын
Jamaa mtangazaji Vumbi sana. Mapepe afu hana utulivu wa akil wala body. Mahojiano ya huyu odemba hayanaga mvuto sijuu mnampaga airtime ya nn . Na saut yake ya kishenz mwenyw anajiona mtu
@DavidSam-d4m5 ай бұрын
Jamaa mtangazaji Vumbi sana. Mapepe afu hana utulivu wa akil wala body
@leodgardotmar71985 ай бұрын
Leo nimejua Tundulisu ana akili sana na well composed!
@albethoildefonce91175 ай бұрын
Mtangazaji jitahidi kumbpa nafasi ya kujieleza mtu ambaye unamuhoji mtu unayemfanyia Interview,usiwe unamuingilia kati kati wakati anapoelezea jambo,ingependeza usubiri amalize ndio umuulize swali jingine maana umekuwa unamuuliza maswali kabla hajamaliza kujibu swali la mwanzo, jitahidi katika hilo bro.
@ipyanamwakitalu99405 ай бұрын
kitu kingine kuonesha kabisa aukujiandaa unasomaje maswali
@ipyanamwakitalu99405 ай бұрын
nilichogundua hii interview ya odemba pamoja na kikeke wote sio wasikilizaji wanauliza swali lakini wanaendelea kumuingilia mzungumzaji juu ya maelezo kwenye maana halisi ya kanuni za usikilizaji wanakosea sana odemba next time uwe mtulivu baada ya kuuliza swali
@bakermusa90335 ай бұрын
Wanakosa confidence na ndo ujue Tundu si wa mchezo mchezo
@George-jz3jg5 ай бұрын
Odemba huwa ni mharibifu pale linapokaribia jibu zuri la kuidhalilisha serikali
@elianyulinyul5 ай бұрын
Nawasikilizaa vizurii nikiwaa bodaa ya wajanja Tunduma mojaaa apaàaaa
@ibrahimally80735 ай бұрын
Dah bila bro k hamna kipindi hapa.. mrudisheni bro k jamani..
@tumainimasige1115 ай бұрын
Hatar sana
@danielmgalla5585 ай бұрын
Lakin Yeriko unajichanganya Sana maelezo yako yaan chadema ichukue nchi 2005?
@danielmgalla5585 ай бұрын
Sasa Mara wanasuka chama, Mara CCM sio chama.. Mbona hueleweki
@amaningobayi71145 ай бұрын
Mko vizuri Ila sauti imekuja na mwangwi
@kevinmary71295 ай бұрын
Akili za chadema huyu jamaa wa iringa huwa nu chawa wa chadema na uroma na ugaga na uchawi
@Richardmathias-i8l5 ай бұрын
Unajua kusoma
@Chapo_ggg5 ай бұрын
Huyu mtoto wa 2000 kapewa vipi u DC,, Yani ni below standard kabisa
@BugangaEdwin5 ай бұрын
Ipo vizuri
@JemeslaizerJemeslaizer6 ай бұрын
Mabukisi ni munjaja kujibu maswali. Iwe vizuri asilambishwe asali. Baadae ili afanye kazi.