Mashallah shekhe wetu Qutba nzuri ALLaH akulip naakupe mwish mwem mawaidh mazur saaana Allah Akbar
@yigamuzamiru12959 күн бұрын
Asante Sana Shykh Said Bafana
@aminakiure10 күн бұрын
Alahuma.bariky
@halimaissack471912 күн бұрын
Allahuma barik
@AimanMuscaan-qk5kd12 күн бұрын
Shukran shekh nmeji funza mingi alhamdulillah lkn nko na maswali machache
@user-iq1gy7nq2n13 күн бұрын
Sheikh wangu😂😂😂😂 Allah hafidh
@KamwanyaMariam19 күн бұрын
May Allah fulfill our dreams 🙏 ❤
@Amir-Hazsann24 күн бұрын
❤
@ahmedabdalla483624 күн бұрын
Awedhm mwedbm❤😂🎉😢😮😅😊
@mussakatawila940829 күн бұрын
Jazaakallah Khairan Sheikh! Allah atujaalie mwisho mwema.
@ABAELECRTONICSAR-ok5xfАй бұрын
sheihk issa bin maryam hakuacha dini ya kikristo hapo umechemsha
@user-wz5fb3ge8pАй бұрын
Allah akubariki sheikh kila la kheri duniani na akhera
@user-yj5on8cz3eАй бұрын
😂😂nimecheka sana kuna mtu apa kwenye comment ni twarika msufiyya asema aomba munakasha. et mawahab na twarika nani ahlsunna ni maneno yanayozungumzwa na mtu ambae inaonekana kidogo ni jahli katika hii dini hivi wahab hivi twende kiilmu kuna dhehebu linaitwa wahabi? Jibu akuna watu kwa chuki zao kumchukia shekhe Muhammad Abdul wa habbi wakaona wawapachike watu kama dhehebu, mungu anawao ninyi mnaochukia hakki na hii ndo desturi ya watu wa batwili siku zote duniani hata mitume wa mwenyezi mungu walichukiwa kwa vile watu hawataki kweli hasa jina la mtu toka lini likawa dhehebu, tatizo kusoma hii dinni watu hawataki hukalilishwa ujinga tuu na maneno ya chuki na mashekhe zao, hasa hata ukiomba munakasha yupi ahlsuna Kati ya twarika na unapo sema ww wahabi utashindwa Sabu ww twarika unajiita ahlsuna lakini matendo yako mengi ni hayaendani na sunna ni Ahlu bidaa so ahlsuna tena ahsuna ni watu wanafata mwenendo sahihi wa mtume na kufata kitabu na sunna ndo wakaitwa ahlsun,Sasa umeshika itikadi nyngi mbovu za shirki kuabudia makuburi na bidaa ndo sunna kwenu na sunna ndo bidaa kwenu ukaanzisha hizbi yenu ya kisufi bado mkijinasibisha na ahlsuna fatweni sunna kweli ndo mtafaulu lakini kwahivi huwezi shinda mujadala na watu wa hakki
@user-qo3mz3ro9rАй бұрын
Namuomb Allah akubaarik na akuzidishie kila la kher dunian na kesho akhera, aaamin 🤲
@isihakarukebuka55242 ай бұрын
Allah akupe nusulu hatima na umri mlefuu wenye kheeri nyingi
@twahirinajarasmos91842 ай бұрын
Je inatibu vidonda vya tumbo ?
@Aishah-iy8mm2 ай бұрын
Shukran jazila
@mohammedawissa98632 ай бұрын
Mashallah nimejifunza mengi ALLAH akupe afya
@Indiviidual2 ай бұрын
30:43
@FaizahHuncho1-vm7dd2 ай бұрын
Maa shaaAllah
@user-fq7tu8em6q2 ай бұрын
Tnx God I didn’t sweared 😂
@waziriramadhani11862 ай бұрын
Alhamdulilah,mungu,azidi kukupa,wepesi.
@ABAELECRTONICSAR-ok5xf2 ай бұрын
mashallah darasa mzuri sana said bafana
@rk_jabsali67352 ай бұрын
Assalamu Aleikum. Unaweza kunisadia na time na place Ambazo atapeana khutbah InshaAllah.
@user-zx8kl7qi3g2 ай бұрын
Jazzakallahu kheri sheikh
@hassanmwangi65093 ай бұрын
Ma shaa Allah
@saaygaloveofficial8363 ай бұрын
Scw scw scw scw scw scw scw
@Sabraabdallah-eo8ts3 ай бұрын
Mashaallah jazaack illah kher allhamdullialah allah ananifahamisha meng juu ya wew kufanyik Athbabi napenda daras zako
@Hussein-ny8nl3 ай бұрын
MashaAllah
@jamalhassan83083 ай бұрын
JazakaAllah Sheikh...... Allah akuhifadhi tunakupenda sana kwa ajili ya Allah Ni Jamal kutoka Isiolo
@user-ec5gu1kr7m3 ай бұрын
❤❤❤❤
@yusufadanmoha3113 ай бұрын
🤍🤍
@husseinvarvani98233 ай бұрын
Shukran kwa ilmu yako Praying to Allah to bless you more with knowledge
@firegameing33853 ай бұрын
MASHA ALLAH
@raiali51313 ай бұрын
Kweli maalim
@SaumJuma-ng4vj4 ай бұрын
Shukran jazzaka Allah kheir
@dakiarero45264 ай бұрын
Lipa deni kwanza sio kutoroka
@user-ym5hc8kp4z4 ай бұрын
Burundi Alley : shukuran nimenogea kabisa
@fahadhilal16114 ай бұрын
MashaAllah
@ARNOLDKARISA-fs3ht4 ай бұрын
mashaallah
@AnifuMlaponi-ux2mm5 ай бұрын
Allah may protect lovely sheykh
@ARNOLDKARISA-fs3ht4 ай бұрын
amiin
@SalmanHassan-hp3dr5 ай бұрын
Wewe ustdh salim minimum a
@ARNOLDKARISA-fs3ht6 ай бұрын
wallahi nimejifunza mengi Allah akuhifadhi Ustadh wetu
@twalibsaid26146 ай бұрын
Msema pweke hatolewi makosa wapoteze waislam utasimamishwa mbele ya hukmu siku moja , unasema haifai kutoa dhikri kwa pamoja wakati mtume asema inna Allaha malaikatan sayyaratun fudhlaa yabtaghuna majaalisa dhikri faidha wajuu kaaduu maahum wahafa baadhuhum baadha biajnihatim , mungu asema Yadu Allaha maaljamaa ,wewe unataka kutenganisha mpaka watu wasishirikiane katika mungu Yaani mawahabi sera zao ni kutenganisha kutetesha mpaka ibada pia watu wawe mbali mbali
@twalibsaid26146 ай бұрын
Muhamad ibnu wahab na ibnu taimia asema mashia na watu wa bidaa ni waovu kuliko mayahudi na manaswara jee sheikh ni sawa kuamini hivo?
@RamadhaniMussa-xs5uk6 ай бұрын
Mtu wa bidaa anazua jambo halafu anasema hii ni ibada Tena ibada kubwa itakua amemzulia uongo mtume
@twalibsaid26146 ай бұрын
Shida bi kwamba wewe wanazuoni ulotegemea sio hao pekee kuna na wanazuoni ambao wewe wafikra zako hukubaliani nawo wenzako wanakubaliana nao, mfano kusoma juzu mzima kila swala ya tarawehe kisha ramadhani ikiisha kuhitimisha juzu 30 mtume hakufanya nyinyi mnafanya fanya , imam kuswalisha huku ameshika spika na quran huku yuwaswalisha nyinyi mnafanya mtume hakufanya , mashindano ya musabaka ya quran na kulipa washindi pesa mtume hakufanya nyinyi mawahabi mnafanya , bidaa mzuri mtakazo nyinyi mnafanya lakini wakifanya wengine ni bidaa mbaya vipi nyinyi hamueleweki
@user-zl5mt6lk4n2 ай бұрын
ndugu yangu yaan unaelekezwa maana hlo jna lkn bado unalirejea? tumuogope Allah