Amina ndugu ...Karibu Sana na endelea kuwa nasi daima
@PATRICKMSWAZIАй бұрын
Safi.safi.safi.safi practise makes perfect
@NkomokomoMediaАй бұрын
Hakika
@saralongida34322 ай бұрын
Aweeee💦tumekumis kanisani hujaja muda jamn😢
@MonikaPaulo-jx2jm2 ай бұрын
Camera haiendi Altareni inazungukq sehemu moja tu why
@NkomokomoMedia2 ай бұрын
@@MonikaPaulo-jx2jm Asante Kwa maoni mpendwa tutalifanyia kazi..... Tunashukuru Sana Kwa upendo mkubwa kwetu... Barikiwa sana
@ChristopherMhagama-ls9zd2 ай бұрын
Hongereni kwa kumpokea Kristo ndugu zetu wapendwa. Daima mdumu na kumpenda Mungu katika maisha yenu
@NkomokomoMedia2 ай бұрын
@@ChristopherMhagama-ls9zd Asante sana ndugu Barikiwa pia Kwa kuendelea kuwa nasi Kila wakati
@ignasmarcus48952 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@NkomokomoMedia2 ай бұрын
Thanks alot
@jumbenkomokomo98262 ай бұрын
Wimbo umeimbwa Kwa hisia😢😢 Anyway wimbo mzuri hongeren waimbaj
@NkomokomoMedia2 ай бұрын
@@jumbenkomokomo9826 Asante barikiwa mno...... Ogeda Kama mtunzi alifikiria Sana na kutunga wimbo MZURI namna hiyo
@peterkibasa2 ай бұрын
Daaaaah company hii nimeimiss snaaa
@NkomokomoMedia2 ай бұрын
Hakika ni kampani ya ukweli mno
@Arati32 ай бұрын
Amina 🙏
@NkomokomoMedia2 ай бұрын
Barikiwa Sana ndugu
@LaudisLiveti2 ай бұрын
Safii❤
@NkomokomoMedia2 ай бұрын
Asante ndugu.... Barikiwa
@avitusverus95432 ай бұрын
Namuona kisogole
@NkomokomoMedia2 ай бұрын
@@avitusverus9543 kijna anaupiga mwingi
@isdorykitunda2 ай бұрын
Nabonyeza wapi wimbo huu uwe wangu? Ni mzuri mno. Padre kanogesha video.😂😂😂
@NkomokomoMedia2 ай бұрын
Mkuu hehehehehe wapi Tena.... Au unataman turudi Seminarini ukawe Padre nawe tukutungie wimbo huo.... Au ulitaman mtunzi uwe wewe Isdory Kitunda... Baada ya kuhitimu mafunzo ya Muziki Mtakatifu
@isdorykitunda2 ай бұрын
@@NkomokomoMedia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@isdorykitunda2 ай бұрын
Mmefanya kitu kizuri sana. Kitaalam hapo MMECHOCHEA WITO wake.
@NkomokomoMedia2 ай бұрын
Asante mkuu
@williammanyamamedia30532 ай бұрын
Asante sanaa
@ChristopherMhagama-ls9zd2 ай бұрын
Wimbo mzuri sana Nimeupenda. Na nimefurahi kuwaona wanakwaya wa nyumbani ningali mbali huku nilipo nawatakieni utume mwema daima. Mungu Mwenyezi ayabariki majitoleo yenu na abariki kazi za mikono yenu. Tumwimbie Bwana.....
@NkomokomoMedia2 ай бұрын
Asante Sana kijana pendwa na Mwanakwaya mwenzetu mstaafu Mzee Mhagamaaaaaaa..... Barikiwa sana
@@NISRICHUMA Karibu Sana ndugu.... WhatsApp 0715130606 Calls 0769656867
@vanesaRukia2 ай бұрын
Father you are the best ✌️ ❤❤
@NkomokomoMedia2 ай бұрын
Mungu ambariki zaidi
@melchiorikavishe11223 ай бұрын
Komanya
@NkomokomoMedia3 ай бұрын
Fundi huyo....Yuko vizuri
@josephinemuringo24533 ай бұрын
Awesome ❤
@NkomokomoMedia3 ай бұрын
Thanks
@AnnaJacob-r8j3 ай бұрын
Amen
@NkomokomoMedia3 ай бұрын
@@AnnaJacob-r8j Barikiwa sana mpendwa kwa kuwa nasi
@GYAQU3 ай бұрын
Ila baraka😅😅😅😅😅
@NkomokomoMedia3 ай бұрын
Ni fundi huyo Kaka Hadi balaaaa.... hongeren
@GYAQU3 ай бұрын
Ila mashibeee😂😂😂😢😢😢😢
@NkomokomoMedia3 ай бұрын
Yuko vizuri kwakweli anapiga kinanda haswaaaaa
@TeresiaMacharia-rj7rl3 ай бұрын
Sauti yake Iko fine
@NkomokomoMedia3 ай бұрын
Amina
@ChristopherMhagama-ls9zd3 ай бұрын
Asante sana Baba William kwa tafakari nzuri nimejifunza kuongeza kitu kipya siku ya leo. Ruhusu na wengine wafanye kazi pamoja nami
@NkomokomoMedia3 ай бұрын
Asante ndugu Kwa niaba ya Padre wetu William Kipelelo CSSp
@mutisoveronicah81923 ай бұрын
Hongera sana baba William
@NkomokomoMedia3 ай бұрын
Amina Kwa niaba barikiwa Sana mpendwa
@grolia23793 ай бұрын
Wimbo wangu pendwa, Mungu awabariki waimbaji wote
@NkomokomoMedia3 ай бұрын
@@grolia2379 Amina barikiwa Sana ndugu Katika Kristo
@Emmanuely9723 ай бұрын
🙅🙅🙅🙅
@edwinmborrow80563 ай бұрын
Najivunia kuwa mkatoliki,, Bas baba kwa mafundisho haya yaloshiba,naomba muwaelekeze wana Karismatiki kwauzuri ili waelewe wanapaswa kuwa namna gani kwani siku hizi wamekuwa kinyume kabisa na misimamo na uhalisia wa Kanisa Katoliki...Mungu akutunze Fr Maliva..
@NkomokomoMedia3 ай бұрын
Asante ndugu naamin UJUMBE umefika
@danielemmanuel17583 ай бұрын
Aminaa ubarikiwe sana
@NkomokomoMedia3 ай бұрын
Amina na pia tuzidi kumuombea Apumzike Kwa Amani Marehem Padre Raymond Saba
@AgnesmagdaSyengo4 ай бұрын
Wow🎉🎉🎉 God bless your servant❤❤
@NkomokomoMedia4 ай бұрын
Amen
@AgnesMfyomi4 ай бұрын
Ubarikiwe baba padri....umeimba vyema🙏🙏🙏🙏🙏
@lawrencelawrence33054 ай бұрын
I love you father, May God bless you, and strengthen your vocation
@josephinemuhandare33854 ай бұрын
Wow thanks to God ❤❤
@aidankilapilo96384 ай бұрын
Sawa kak
@NkomokomoMedia4 ай бұрын
Hehehehehe Dr. Vipi Tena..... Asante Kwa kuwa nasi
@emanuelrichard62444 ай бұрын
Mungu akubariki sana kwa kaz yako ya kueneza neno lake padri