Nafurahi kumuona mtumishi wa MUNGU producer wangu, GOD bless you MOG, nyimbo kali sana🎉
@huimaband5 ай бұрын
Ubarikiwe sana
@NathanahelNathanaerydamasi6 ай бұрын
Waaaooo hongereni san nabarikiwa sanaaaaaaaa
@huimaband5 ай бұрын
Endelea kubarikiwa mtumishi
@EdimundElias6 ай бұрын
Amina😂😂😂😂😂😂
@huimaband5 ай бұрын
Amen
@douglasmcharo66566 ай бұрын
❤
@douglasmcharo66566 ай бұрын
Mungu awabariki sana
@huimaband5 ай бұрын
Barikiwa pia
@ilambonapius39246 ай бұрын
Hakika hakuna aliye kama MUNGU wetu ,ana sitahili kusifiwa❤
@huimaband5 ай бұрын
Amen hakika
@newgeneration95246 ай бұрын
Daaah jameni naombeni mrekodi hizi nyimbo tena zirudi japo audio tuu
@huimaband5 ай бұрын
Tutazileta mkuu. Endelea kutufatilia
@korneliombonaofficial63006 ай бұрын
Ooooh haleluya , mm niko Fpct sengerema mjini nawafuatilia sana sana, hapa nakubali sana sana na ninatoka nayo Jumapili kwenye sifa 😂
@huimaband6 ай бұрын
Barikiwa sana ukiwa hapo FPCT Sengerema
@adelinasimaluku99936 ай бұрын
Sifaaaa zako Bwana na zivume, Kwa Mataifa yote dunianii!, Yaaweee wastahili kuabudiwa baba uinuliweee🔥🔥🔥🥳🥳🥳🥳🥳❤️💕
@huimaband6 ай бұрын
Amen amen 🙏 tubarikiwe
@basigienathan38646 ай бұрын
Usifiwe aleluya
@huimaband6 ай бұрын
Amen
@godfreyisaac16656 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@huimaband6 ай бұрын
💕
@maendechacha56346 ай бұрын
Glory Glory Glory. Very good song, we honor and glorify our Lord Jesus.
@huimaband6 ай бұрын
Amen 🙏
@barackiadam56116 ай бұрын
usifiwe Mungu wetu mkuu sana
@huimaband6 ай бұрын
Amen
@redemptamuvumu9646 ай бұрын
Usifiwe Mungu wetu Elshadai 🙌🏾🥰❤️
@huimaband6 ай бұрын
Hakika
@emanuelmazigo37306 ай бұрын
Usifiwe Bwana, utukuzwe Mungu wetu❤❤❤❤
@huimaband6 ай бұрын
Amen Mungu atukuzwe
@eagtmwangazachurchdodoma6 ай бұрын
huyu aliimba nimejificha miada hiyoooooo,,,
@huimaband6 ай бұрын
Naam tutaleta wimbo huu hivi karibuni
@eagtmwangazachurchdodoma6 ай бұрын
Mbarikiwe, Huima, Miaka Mingi sana tumewatazama imepita,, kumbe mnaendelea na huduma nzuri. Hakika Mungu ni Mkuu sana
@huimaband6 ай бұрын
Amen 🙏 tubarikiwe sote. Huduma inaendelea kwa utukufu wa Mungu
@elitheservant81827 ай бұрын
zaburi 34.......anasthili BABA......HALLELUYAH
@huimaband6 ай бұрын
Hallelujah hallelujah 🙏
@EcterMpah7 ай бұрын
Utukufu na sifa vina wewe Bwana🙌🙌
@huimaband6 ай бұрын
Hakika
@korneliombonaofficial63007 ай бұрын
Yes, Mungu awainue zaidi , iko vizuri
@huimaband6 ай бұрын
Amen 🙏 tubarikiwe sote
@redemptamuvumu9647 ай бұрын
👏🏽👏🏽🤗
@huimaband6 ай бұрын
🙌
@SomagroupAfrica-eh8uh7 ай бұрын
Wimbo mzuri sana
@huimaband6 ай бұрын
Barikiwa mtumishi
@mtangag7747 ай бұрын
Hahahha mda naingia sikuelewa kumbe ndo ilikuwa inatoka ko mm wa kwanza kuview
@huimaband7 ай бұрын
Hongera kwa kuwa wa kwanza. Hiyo ni live mkuu. Barikiwa sana.
@mtangag7747 ай бұрын
Hii live eee
@huimaband7 ай бұрын
Naam
@imma_billy7 ай бұрын
🔥🔥🔥 kaka Japhet umetisha sana 🔥🔥🔥 Hakika Mungu ametukuka sana.
@huimaband7 ай бұрын
Ubarikiwe sana ndugu
@korneliombonaofficial63007 ай бұрын
Producer aliwanyima reverb!, ☹️
@korneliombonaofficial63007 ай бұрын
Nice song and interesting❤
@korneliombonaofficial63007 ай бұрын
Wimbo mzuri , ila walioimbisha na sound engineeer sijawaelewa, lakini pia kwa mwimbishaji wa kiume naona key imekuwa chini zaidi kwake kiasi cha kushindwa kukamilisha note za chini anapoimba,, Asante
@christopherhinja9207 ай бұрын
Amen
@DeusMatata-ho5zp7 ай бұрын
Amen
@redemptamuvumu9647 ай бұрын
Mungu ni mwaminifu 🙌🏾
@huimaband7 ай бұрын
Hakika
@NeemaMsunga7 ай бұрын
Amen 🙏 Mungu wetu ni mwaminifu sanaa
@huimaband7 ай бұрын
Hakika
@JanethCharles-e6h7 ай бұрын
Safi
@huimaband7 ай бұрын
🙏
@JanethCharles-e6h7 ай бұрын
Powerful ❤
@huimaband7 ай бұрын
🙏
@godfreyisaac16657 ай бұрын
Ameen
@barackiadam56117 ай бұрын
Amen amen
@huimaband7 ай бұрын
🙏
@huimaband7 ай бұрын
🙏
@sophiamwaipopo30728 ай бұрын
Jaman naomba muweke wimbo wa ni agizo pls jaman
@huimaband8 ай бұрын
Stay tuned. Nyimbo zote tutaweka.
@happykailembo76368 ай бұрын
Mkono wa Mungu wetu ndio pekee waeza kuokoa. Twalisifu jina lake
@huimaband8 ай бұрын
Hakika
@georgemathewGM8 ай бұрын
Mzee nakuona uko peaks wengine wa zamani kama wewe wakowapi?
@huimaband7 ай бұрын
Wapo tazama playlist
@ConsolataMedard8 ай бұрын
🎉🎉🎉hakika Yeye ni niko ambae niko hakuna kama Yesu