Uzuri ni ubatili lakini mwanamke amchaye BWANA atasifiwa
@MjumbeAganoАй бұрын
Huu ni wakati wa habari njema ya ufalme wa Mungu hapa duniani uingie kwenye ufalme uepukane na dhiki kuu inayoujilia ulimwengu wote fuatilia you tube MJUMBE AGANO upate semina ya ukamilifu wa kristo uone jinsi kanisa halisi linavyojengwa na kunyakuliwa barikiwa sana.
@gekenemwita-nc7veАй бұрын
Safi sana upendo kwaya nawependa sana zaidi aendeleni kuchapa kazi ya Mungu karibu kenya jamaani by materego
@bonifasimichael1320Ай бұрын
Tunataka katiba mpya
@MATIKO9640Ай бұрын
Asanteni watu wa MUNGU swala la mchakato wa katiba mpya lifanywe haraka
@patrickkajuna2518Ай бұрын
Au hilo tamko ni matokeo ya ule mzigo??!😢
@patrickkajuna2518Ай бұрын
Ni malalmiko Gani yaliyosikilizwa?! Ni hatua Gani zilizochukuliwa?! Hao watendaji wanaoitwa wasimamizi wasaidizi walivunja Sheria makusudi tangu uandikishaji, uchukuaji na urudishaji fomu! Mpaka uteuzi Nani aliyechukuliwa hatua?! Hao hao ndo tunategemea washughulikie hizo rufaa na mapingamizi?! UTANI MTUPU!! Tamko la CCT la Nini kama halitoi suluhisho la hayo??!
@SophiaChiloleti-w6nАй бұрын
Mungu ni mwema asanteni viongozi wetu
@jacsonbayyo3482Ай бұрын
Katoliki ndo wanaeleweka ila CCT your are weak
@RespiciusMerithoАй бұрын
Asante sana baba askofu kwa historia nzuri!ubarikiwe sana Amen:
@pendael02Ай бұрын
Wanasema kanisa liingia kwenye siasa hakuna dini hapo ni siasa tu.
@bishopprofvictorchisanga2009Ай бұрын
Haiwezekani kabisa kwamba wapinzani wapoteze "over 60 percent" ya Serikali za mitaa.
@JoelSanka-u3nАй бұрын
Mababa askofu simamieni 10:20 katiba kwanxa
@JoelSanka-u3nАй бұрын
Hongereni maskofu kwa kufualia hakiza watu mbalimbali
@SandeMasawe-j6nАй бұрын
Chiz
@JustineWangi-j2tАй бұрын
Uchaguzi uailishwe na waliouharibu wawajibishwe kwani wananchi hatuhusiki kwenye hili mnatusingizia tu.😂😂😂
@karolikisaka8991Ай бұрын
Matamko tuliyoyataka ni sisi kama viongozi wa kiroho tumeona Hali ni mbaya hivyo uchaguzi uhairishwe
@JumaHeri-v5gАй бұрын
CCT siku zote Huwa wanatoa matamko , rais anapokuwa sio wa Iman Yao,tuliona enzi ya jk ilikuwa kila siku matamko, hakuna awamu iliyokuwa na kuminywa Kwa demokrasia kama awamu wa Tano , kipindi Cha magufuli mbona mlikuwa hamtoi hayo matamko , sijawahi kusikia, huku ni kuingilia michakato ya uchaguzi , kuweni wakweli acheni longolongo
@masanjaelias5829Ай бұрын
Kwani nyie maaskofu mmelogwa kisha kishaharibika alafu waende kuchagua nin tena
@abdullahshekwavi696Ай бұрын
Na hii inatokana na kuja kwa DP WORLD mizigo haipiti bure 😂
@abdullahshekwavi696Ай бұрын
Haya ndo yanayo sababisha machafuko kwenye baadhi ya nchi kwani viongozi hawa wanaonekana kua na lao jambo lakini tutafika kwa uwezo wa mw. mungu.
@reginas1832Ай бұрын
Hivi huyu shoo ndiyo alisema samia aendelee au ni mwingine?
@SeveriniPeterАй бұрын
Hivi ndivyo Tanzania inahitaji viongozi wenye kuongea bila uoga. Pia hawa ndio pia wanaoifundisha jamii nzima kuzingatia UADILIFU, lakini uchafu mwengi uko kwenye maofisi za vyama vya siasa kwa sababu ya UBINAFSI, UCHOYO, NA ULAFI-HARAMU. Hongera sana VIONGOZI WA CCT. Tunasubiri pia maoni na matamko kutoka madhehebu mengine na asasi za kiraia yenye kuelimisha jamii na kukemea watendaji wasio wajibika.
@elishandagala8677Ай бұрын
Ila ni aibu Kwa chama chenye wabunge karibia wote, wenyeviti wote, madiwani karibia wote Kuogopa uchaguzi. Ningelikuwa mimi ndo kiongozi WA chama hicho ningejiuzulu maramoja.
@ezradaudi7024Ай бұрын
Kabisa ni aibu kubwa
@RoseKimishabhalemiАй бұрын
Mh. Father jambo hili ni shida tunachagua jizi linaongoza kwa wizi pia wanaotoa kafara ya kuua watu tuombe Mungu wasipite maana uta wala wao wanakuwa wakatili mno wasiosikiliza wasio sikiliza wanyonge. Yaani wasoo na kipato.
@apollobupolo9884Ай бұрын
Hakuna kitu hapo mmepoteza muda wenu wazee wenzangu
@apollobupolo9884Ай бұрын
Hakuna kitu hapo mmepoteza muda wenu wazee wenzangu
@philomenastephen3364Ай бұрын
PENDEKEZO LANGU, KILA MPIGA KURA AONESHE NIDA YAKE KWANZA.
@JohnMbise-p1oАй бұрын
Ee mwenyez MUNGU gusa wachungaji wote walione ili
@JohnMbise-p1oАй бұрын
Asnt sana mtumishi wa bwana kwa kuliona hili ( tunajua Tanzania yetu ni nchi ya Aman ila Aman imetolewa
@AbasiKatokayembaАй бұрын
Shoo huna mvuto tena.umepoteza dira.wananchi wataamua kama wataacha udhalimu huu uendelee au la!.inatakiwa wananchi wakomae,wakatae uchaguzi kufanyika.siku ya kuamkia uchaguzi piga moto vituo vya kupiga kura,piga moto nyumba za watendaji hao waliohusika kwenye maeneo yote ambayo CCM wanataka goli la mkono.
@JewsJews-c8wАй бұрын
Askofu shoo inasemekana umepita na maokoto kweli Watanzania tulikuamini mtu usiyepondisha
@KwarasiАй бұрын
Hamna kitu hapa mwaka huu hapana kumwachia Mungu kwa sababu hamna haki
@JewsJews-c8wАй бұрын
Inasemekana asikofu shoo ulikua mzabibu mwema ila sasa wewe ni mzabibu mwitu.je ni kweli ?
@GRADISOKIMALALAАй бұрын
Huyu baba kwakweli mie huwa simuelewi ana ndimi mbili tofauti, mara apongeze wenye mamlaka mara akemee......!!!!
@ceciliamagalabajimmy4391Ай бұрын
Walioenguliwa warudishwe woote maana vyama vyao viliwapitisha kwa kuona wanafaa.
@samsonrusagira5168Ай бұрын
Silaha pekee iliyobaki kwa CCM kushinda ni kutangaza matokeo kinyume na matakwa ya wananchi kwenye sanduku la.Watu wasisahau kauli ya Nape Nnauye iliyowavua nguo watawala wetu.
@AlfredAlfred-yd2mgАй бұрын
Ccm Mungu amewakataa Kwa maovu yao,hawana ucha Mungu sawa na firaun.
@teresiagama3578Ай бұрын
Uchaguzi uhairishwe!!!!!!
@MiriamAziz-z5tАй бұрын
ASANTENI SANA JUMUIA YA MAKANISA YA KIKRISTO CCT....MMEKUWA WA KWELI NA KUTAKA HAKI NA AMANI NCHINI....MMEKATAA MUWA WANAFIKI KWA SERIKALI YA MH. RAIS SAMIA NA SERIKALI YAKE YA CCM.... MWENYEZI MUNGU MTUKUFU AWABARIKI.
@hassannuru7399Ай бұрын
Hili tamko tungeliona mwaka 2019 mngeonekana watu wa maana sana.
HUYU ANAE TOA TAMKO SI NDIEEE AMESHA SIDE NA CCM? SASA ANAPATA HAKI GANI KWA TAMKO HILOOO. UCHAGUZI UMESHAAAANDALIWAAA NA WASHINDI WANAOWEZA TANGAZWA HATA MUDA HUU MSITUFANYEE KUKU SISI
@Azikiwe-qi6jdАй бұрын
Huyu sio dr shoo???? Au mimi nimechanganya
@CharlesMisungwi-f8tАй бұрын
Maokoto nimatokeo yakufanyakazi harali si si haramu. bilakazi.yamikonoyako mwenyewe . .Mungu anabariki nakuwapa hekima walewanaotukuka.kwazi zamikono yao na iliyotukuka kwajamii.au.familia.
@johnsonsamwel7207Ай бұрын
Shooo tulikuwaga tunakutegemea sana ututetee lakini siku hizi u abana sana sijui kunanini