Пікірлер
@iddisalimu5028
@iddisalimu5028 47 минут бұрын
Daah huyu mtoto analaaana duniani na ahera
@JohnMashamba
@JohnMashamba Сағат бұрын
Mhes Mpina Mungu Yuko pamoja nawe,maana Mwenyezi Mungu amesema Mteteaji wangu Yu hai.
@MariaCassian-e2i
@MariaCassian-e2i Сағат бұрын
Msukuma wapi unaenda sasa😂😂katika wabunge niliokuwa nawahesabu wasema kweli na wewe ulikuwa kwenye hesabu zangu lakini kwahili 😂😂
@This-f1k
@This-f1k 2 сағат бұрын
Hovyo
@user-kf6tz1px6f
@user-kf6tz1px6f 9 сағат бұрын
Ccm sio chama cha siasa hili haitaki PhD kujua kuw ccm ni chama chama pinduzi kitapindua hataa meza
@user-cp6vt6nd9o
@user-cp6vt6nd9o 9 сағат бұрын
Wewe luhaga no mnyama sana huna tofauti nandugai
@user-kf6tz1px6f
@user-kf6tz1px6f 9 сағат бұрын
Spika wa hovyo
@user-kf6tz1px6f
@user-kf6tz1px6f 9 сағат бұрын
HIVI LAZIMA CCM IONGOZEE HII NCHI MBONA KAMA WALARUSHWA WAMEJAA CCM?
@user-kf6tz1px6f
@user-kf6tz1px6f 9 сағат бұрын
Spika wa hovyo wala Rushwa wakubwa, mapambano ndo yataanza sio chadema si ndo hao hao waluouza bandari
@stevenkajubili
@stevenkajubili 9 сағат бұрын
Upo vizuri
@godblessmbowe317
@godblessmbowe317 10 сағат бұрын
Kweli yajayo yanafuraisha tumuombe mungu atupe maisha marefu tena mchana kweupee
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 11 сағат бұрын
Msukuma na Lusinde hawana kitu hao no shule kwenye uuzaji wa Bandari dpworld walihuaika sanaaaa uchawa wake hamna kitu hao mabomu
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 11 сағат бұрын
Unataka sukari iuzwe 20000
@castorymhoja6050
@castorymhoja6050 12 сағат бұрын
Yafanyeni TU ipo siku mtaangukia pua niliipenda Sana ccm Ila ilishanitoa jiani poleni Sana hizo ndiyo mtakuja kujutia.
@ReginaJoseph-cm3cx
@ReginaJoseph-cm3cx 12 сағат бұрын
Msukuma tatizo lake ni kukosa shule,, yeye anaoperate kwa emotional akili hana
@charlesmpemba9387
@charlesmpemba9387 12 сағат бұрын
Makonda wewe ni kioo Cha jamii .samia akushikirie sana.unamheshimisha sana
@user-tm4bl5tg3t
@user-tm4bl5tg3t 12 сағат бұрын
Dah😭😭😭😭mungu atusaidie sisi wenye watoto wa kike😭😭😭🙌🏽💔
@AzizMangara
@AzizMangara 12 сағат бұрын
🤲🤲🤲
@DottoMussa-ro6rw
@DottoMussa-ro6rw 12 сағат бұрын
unajua hawa wabunge la Saba ni shida sana,,huyu nusukuma ukimsikiliza mara nyingi ni u sure boy tu ma mission town tu ujanja ujanja wa mitaani elimu ziro,,tangu issue ya bandari msukuma ni fata upepo tu,, nyie wanasiasa ,,mnachosha sana,,me nadhani tunaihitaji kubadisha namna ya utawala,,sikubaliani na mifumo ya demokrasia ni umalaya wa kiutawala
@OmarMohamed-bs2hf
@OmarMohamed-bs2hf 12 сағат бұрын
Sawasawa chama kisilinde muhalifi kwakuwa ni mwana chama takukuru ime wekwa kwa kila ambae muhalifu
@OmarMohamed-bs2hf
@OmarMohamed-bs2hf 12 сағат бұрын
Kama sukari nikweli sukari hakina na kama ipo kwanini sukari imefikia kilo 5000 way
@mwaamwetahussain9947
@mwaamwetahussain9947 13 сағат бұрын
Huyu waziri mbona simulewi watu wanakimbiana wakati wakuandaa sio wakati wa kula
@user-es2yt1jc4i
@user-es2yt1jc4i 15 сағат бұрын
Uhakika kwanza waliisha sema marehem wenyewe
@kushcultureralph568
@kushcultureralph568 15 сағат бұрын
Mwizi ni mwizi tu hata akisimangwa ni sawa tu
@bahatjuma7458
@bahatjuma7458 18 сағат бұрын
Ungemwambia pale bungeni, unalia kwa kukosa posho wewe, ungekataa kutoka bungeni Sasa
@bahatjuma7458
@bahatjuma7458 18 сағат бұрын
Sasa wale Kagera sugar hawana kiwanda? Vibari vimetolewa kwenye makampuni yanayozaliza sukari
@salumjabir813
@salumjabir813 18 сағат бұрын
😂😂😂😂😂....tanzania bhana..vituko kwel
@allykassim1120
@allykassim1120 19 сағат бұрын
msukuma kumbe ni Wa hovyo anatetea mafisadi siamini macho yangu walahi mpina big up
@user-jj7qv7kh2s
@user-jj7qv7kh2s 16 сағат бұрын
Yeye mwenyewe fisadi ataachaje kuwatetea.
@user-eh5xn9zm1g
@user-eh5xn9zm1g 19 сағат бұрын
Kwenye inchihii tujitahidi kumwomba mungu na nafanyakazi vizuri ilifamilia zetu zisikose chakula, ila ishu ya siasa niheri uchukue biblia uendeleee kusoma, ilisikuya mwisho ukafrahi pamoja na mungu mbinguni
@user-sc1gx5zi8i
@user-sc1gx5zi8i 20 сағат бұрын
Mungu akupe nafuu amponye mtoto wetu. Tupo nawe. Mungu ambaliki mkuu wa mkoa poul c. Makonda.
@emmanuelbahati6259
@emmanuelbahati6259 20 сағат бұрын
Mama hapo nimemuelewa vizuri,hajakosoa mwenendo wa mwanri,bari ametumia mfano wa viongozi kutegemea sauti kutoka ngazi ya juu kama alivyokuwa anaelekezwa enjinia na mwanri,tufuatilie vizuri,mheshimiwa rais katumia mfano
@user-gn8zs4qx2y
@user-gn8zs4qx2y 21 сағат бұрын
Wabunge wa ndio
@monicachacha455
@monicachacha455 22 сағат бұрын
safiiii
@user-ne5cg4vv1h
@user-ne5cg4vv1h 23 сағат бұрын
Tatizo ndio mnyololo wawalaji pesa za wajinga za wanyonge kwanza Mimi hatasioni hata kinacho endelea zaidi ya madeni kuwa makubwa kuongezeka wamekuto ili usipinge ulaji wao uludi bajet tayali msukuma ndio kinara anajiona yeye msafi Sana MUNGU anawaona
@RBMBAKARI-bv6wn
@RBMBAKARI-bv6wn Күн бұрын
Baada ya mzee kikwete wewe mama ukienda vizuri sisi wafanyakazi tulifurahibsana enzi ya kikwete hakika yule mzee atakumbukwa sana .fuata nyayo zake mama bila kuogopa chochote sisi watumishi tutakukumbuka
@robertgodfrey9869
@robertgodfrey9869 Күн бұрын
One army
@RBMBAKARI-bv6wn
@RBMBAKARI-bv6wn Күн бұрын
Inaelekea huyu yupo na chama bado ila amekosea timing hiki kipindi SI kupingana na serikari . Halafu anasahau uwajibikaji wa pamoja .lakini anaendekea kufanya makosa kuendelea kuongea na vyombo vya habari pasipo kuwasilisha hoja zake katika chama .labda kama amejipanga kuondoka
@allykiparis-ts9nl
@allykiparis-ts9nl Күн бұрын
Lasaba ni labasaba tu
@SanziNzige
@SanziNzige Күн бұрын
Uko SAWA mpina acha wakufanyie ujinga wamezoea hao mafisadi kuficha wizi wao.tunawaambia watakujaga kumfukuza na ujumbe au maksudi ya MUNGU kwa ujinga wao.wanadhani lisisiem la majizi halitakuwa na mwisho litakuwepo TU milele wasahau mwisho wao huooo? tunauona wanautaka wenyewe wanaupata.
@bonifacedanielmwakisunga9638
@bonifacedanielmwakisunga9638 Күн бұрын
Na shida ya msukuma anajifanya kanajua sana kuongea bila point elimu elimu shida yeye na hao la saba ndio wanaharibu bunge kisa ujue kusoma na kuandika basi msukuma ni shida ule ni ujanja ujanja wao Ili waonekane wanatetea chama
@David-uhayi
@David-uhayi Күн бұрын
Samiya akistaff makonda chukuwa
@RashidMohamed-rv2hm
@RashidMohamed-rv2hm Күн бұрын
Mpina karibu chadema ccm wamekuchoka
@marianamontoedi1318
@marianamontoedi1318 Күн бұрын
Tusikubali tena Mpina hana kosa
@AiserAli-mq6sz
@AiserAli-mq6sz Күн бұрын
Congratulations mr msigwa
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf Күн бұрын
Huu mfumo dume sijuwi utaisha lini Tz?. Akina Lazaro Nyalandu wapo wengi ktk nchi hi huku wale wanadiplomasia wakipiga chapuo kana kwamba hawajuwi kilichopo chini ya bahari, ccm bana hatari sana. Kumbatia bomm likubutukiyee 😢😅😢👆.
@sadiqadam7971
@sadiqadam7971 Күн бұрын
Komaa nao mkubwa
@Nehe100Kilindu
@Nehe100Kilindu Күн бұрын
Sikutarajia ukohivi
@JoelisonMakambi
@JoelisonMakambi Күн бұрын
Pole kaka
@GidionBukwimba
@GidionBukwimba Күн бұрын
Mpina kalishitaki Hilo li mwanamke