Thank you DR Mlelwa for making chemistry easy for us
@EnockMemoy4 күн бұрын
Kitu super San I appreciate 👊🏾
@GharibuJuma4 күн бұрын
Samahani lecture naomba uwe unaongea kiswahili sana kidogo ili tufahamu vizuri
@agykway39045 күн бұрын
Docta mm sijasoma physics lkn nimesoma chemistry je naweza kusoma course gan au combi gan
@ZiniraMohamed5 күн бұрын
Show more
@willsontheonest17876 күн бұрын
Sorry sir.. Where is another video,
@DrMlelwaLectures6 күн бұрын
Another video ipo ila vinauzwa 0693662424
@godwinkatemi51576 күн бұрын
thanks
@DrMlelwaLectures6 күн бұрын
Welcome
@EnockMemoy9 күн бұрын
super
@EnockMemoy9 күн бұрын
Well understandable 😎
@EnockMemoy9 күн бұрын
Wow super well understandable
@KalistaMuree11 күн бұрын
Yaa napenda Dana huduma yako sana bro I appreciate you
@MihsinYusuf13 күн бұрын
Best teacher🎉🎉
@DianaMollel-q1y17 күн бұрын
Like this u're doing a great job
@BarakaMohamed-f8v20 күн бұрын
Punguz story nying bro ,,mb🤣🤣🤣
@LuciaJohn-l7r20 күн бұрын
Sor nahtaj current electricity part 2
@DrMlelwaLectures16 күн бұрын
Inauzwa wasiliana nasi Kwa 0714483548 & 0693662424
@JanethArturoBaruti-q2n23 күн бұрын
Better you speak
@JanethArturoBaruti-q2n23 күн бұрын
Is better that you could speak in this question
@AhmedYussuf-lz1cd23 күн бұрын
Kazi nzuri kaka
@ImaDaBoy-z4k24 күн бұрын
Ninapataje sipati continue vya electronics naomba mniunge kwenye group lenu
@AidanusBigilwa24 күн бұрын
Naomba vipande vingine vya hii topic
@DrMlelwaLectures6 күн бұрын
Vipande vingine vinauzwa kaka 0693662424
@HEZRONMATIKO-q1u24 күн бұрын
Good
@aminamvungi552925 күн бұрын
I don't understand well
@RachaelShaltiel-t4x26 күн бұрын
I really like👍
@HEZRONMATIKO-q1u27 күн бұрын
Thank fantanstc
@ERIUDRUBONELA-y2l29 күн бұрын
This is a funny channel
@DrMlelwaLectures29 күн бұрын
Usiende Tuition Tena, Tunaileta Nyumbani! Bado unaenda tuition na kupiga S, E, na D? Njoo tujenge msingi wa A, B, na C nyumbani! 👩🎓 Kwa Wanafunzi wa Kidato cha 1-6 📚 Masomo: Physics, Chemistry, Mathematics, na Biology. Soma tuition kwa njia ya video kupitia simu yako! Kupitia websites zetu: 🌐 Dr. Mlelwa 🌐 Study Palm ✅ Gharama nafuu. ✅ Soma popote, muda wowote. ✅ Furahia elimu ya kidijitali. Jiunge sasa na group letu la WhatsApp kwa updates zaidi: 🔗 Group Link Au tuwasiliane: 📞 0693662424 | 0714483548 🎥 Pia fuatilia vipindi vyetu kwenye KZbin: DrMlelwaLectures Tunaamini Elimu Bora ni Njia ya Mafanikio! 🏆
@ugalidona-cs2ynАй бұрын
KAZI NJEMA WATU WA MUNGU. Na MUNGU AZIDI KUWAINUA NA KUWAPA MBINU ZA UWEZO WAKE KATIKA BWANA. ❤ AMINA.
@ERIUDRUBONELA-y2lАй бұрын
Thanks to you
@ERIUDRUBONELA-y2lАй бұрын
I really understand
@bethachavu8040Ай бұрын
How can I join
@DrMlelwaLecturesАй бұрын
Follow the instructions or contact +255714483548
@AsiaHemediАй бұрын
Jaman mm mbn vipand sivipat vyengin na kusubsribe tyr nn ttz sasa nisaidien
@DrMlelwaLecturesАй бұрын
Unatakiwa kulipia ili upate vipindi vyote 0714483548
@jofreyulaya9842Ай бұрын
Huduma kwa sasa zipoje, tunazipataje?? Tukitaka palm au lecture ni kwa jinsi Gani zinapatikanaa??
@DrMlelwaLecturesАй бұрын
Utaratibu wote uko vile vile kama mwanzo
@ugalidona-cs2ynАй бұрын
NaaaM ❤ NaaaM.
@DrMlelwaLecturesАй бұрын
Baba kumbe upo hadi huku
@Habibu-g2kАй бұрын
Hy Mr sorry hatuoni vzr hp
@DrMlelwaLecturesАй бұрын
Wapi??
@sosijumanne2961Ай бұрын
Naomba namba yako dr mlelwa
@DrMlelwaLecturesАй бұрын
0714483548 Dr. MLELWA
@johnsonlweyemam7944Ай бұрын
Mungu azidi kukupa Nguvu na maarifa ya kutenda ,ukawe mwandishi Bora Tanzania na Dunia kwa ujumla ,kama ambavyo tunatumia vitabu vya Mathematics vya Mwandishi MSEMWA P.B kitabu cha CSBM
@DrMlelwaLecturesАй бұрын
Ameen
@MwajumaSalum-f8sАй бұрын
Iyo haiyonyesh vizur Cion sas natak notes nisomee vip ap
@DrMlelwaLecturesАй бұрын
0714483548 Helbeth Mlelwa
@MwajumaSalum-f8sАй бұрын
Hiz notes ni kwny kitab km c kwny kitab bc tnzipataje
@DrMlelwaLecturesАй бұрын
0714483548
@johnsonlweyemam7944Ай бұрын
Asee ni kweli Mwl,ilo book la Biology Science 1&2 three adition Cambrige ni bonge la kitabu ...ninacho home na sasa hakina mwanafunzi wa kutumia but nimekitunza vzr
@Salma-x5wАй бұрын
It's nice
@AbdonyMugemuzi-pc7ohАй бұрын
Je, private candidate huchaguliwa na selikali kwenda form five?
@RamiyaMbaruku-f2e2 ай бұрын
Kw wale wa Day Schools je?
@DrMlelwaLectures2 ай бұрын
Unataka nn?
@alwiyamohamed16622 ай бұрын
Teacher ni ngumu Ku tafuta video. Zako na maanisha kipindi baada ya hilki kipindi
@DrMlelwaLectures2 ай бұрын
Ukitaka kupata kimpangilio unatakiwa ulipie
@MuuguzimzalendoTz3 ай бұрын
Inaeleweka kabisaaa
@njiailiyonjema3 ай бұрын
Asante sana mwalimu, unetusaidia wengi katika masomo yetu🎉🎉
@MatylderIsaay3 ай бұрын
Naweza kuisave video Ili niweze kuitumia wakati nikiwa offline