Allaah akuhifadh shekh letu akuzidishie istiqaama inshaa allaah
@MariamAwadhi-k1g8 сағат бұрын
Nisaidie
@beemabdillah10 сағат бұрын
Mashaallah shukran sana 😢❤
@bishopaugustinempemba456116 сағат бұрын
27 Na mtu asiyeamini akiwaalika, nanyi mnataka kwenda, kuleni kila kitu kiwekwacho mbele yenu bila kuuliza-uliza, kwa ajili ya dhamiri. 1 Wakorintho 10:27 28 Lakini mtu akiwaambia, Kitu hiki kimetolewa kiwe sadaka, msile, kwa ajili yake yeye aliyeonyesha, na kwa ajili ya dhamiri. 1 Wakorintho 10:28
@tauhidasalum380016 сағат бұрын
بسم الله ماشاء الله يا أختي جعلها الله في ميزان حسناتك
@fatmaabdallah770922 сағат бұрын
Daaah mzee mpenda majungu umeung'ang'ania mskiti utasema umeujenga wewe hutaki kuachia watu wengine waongoze!
@dancanmwamafupa680622 сағат бұрын
Wewe ni mnafiqi acha ujinga wako au unataka baba yako awe kiongoz kuongoza nyumba ya Allah hakuna kikomo kikubwa ni uadilifu kama mzazi wako yupo kwenye huo mkururo sio kumuongelea😂Imamu maneno yako ya kipuuzi
@SaidSeif-d4yКүн бұрын
hiyo ni chenji tuu...
@OmarNasorКүн бұрын
Mashalla allaatupe mwisho mwema
@ShamteMohammedyКүн бұрын
Hio ndiokawaida ya misikiti inayoongozwa na waganga washirikina.
@eliasnganira7661Күн бұрын
Kwetu Musoma, sisi Wakristo tulikuwa tunapeleka kuku kwa Mwislamu kwa ajili ya kuchinja. Sehemu yetu ilikuwa na Wakristo wengi sana. Ndo tulikuwa tunaishi
@batashqiraa9936Күн бұрын
Mnaosimamia misikiti tambueni kuwa misikiti ni nyumba za ALLAH, unapokosekana uaminifu na uadilifu ktk nyumba misikiti kama kuiba mali za misikiti maana yake ni kumuibia ALLAH ktk nyumba zake za kuabudiwa yeye ALLAH, wasinamizi wa misikiti tahadharini na mali za misikiti zitawapeleka motoni
@paulmushi2428Күн бұрын
Kwa mujibu wa Qur'an Waislamu wameruhusiwa kula Chakula kilichoandaliwa na waliopewa kitabu (Wakristo) hata kama kachinja (Mkristo) Surat Maidah 5: 5 ila Waislamu hawataki tu!!
@kizomontana5918Күн бұрын
Waliopewa kitabu sio nyie....nyie Yesu mnamuitakidi kama Mungu.....wale Alhalul kitab walimwamini Mwenyezi Mungu,Malaika nk
@abuumuhammad7133Күн бұрын
Kama mkiristo huyo wakati wakuchinja atasema ALLAHU AQBAR ndio tunarusiwa kula ama akisema tofauti na hivyo au kuwacha kusema hivyo hairuhusiwi kula hivyo usichukulie juu juu tu chimbuwa maelekezo ya Uislaam
@Sh_TaqeeКүн бұрын
Ndio ila umepotosha.... Sio Kula chakula cha kuchinja... Ni chakula kisichochinjwa. Uislamu tunaujua Sisi Waislamu sio nyie Wakristo... Jishikilie usitufundishe Uislamu... Wakati Waislamu ndio Sisi.
@Kusag-i9z9 сағат бұрын
Wakichinja wanamtaja mungu yupi
@abuumuhammad71339 сағат бұрын
@@Kusag-i9z muulize Baba yako aliekuleta Duniani
@paulmushi2428Күн бұрын
Wanaopigana na kuua ua kuwawa kwa lengo la kupata pepo ni Waislamu na quran imewaagiza hivyo Surat At-Towba 9: 111 Wakristo hatuna aya kama hiyo kwenye Injili
@hassanmfaume4522Күн бұрын
Yesu anasema sikuja kuleta amani bali Upanga ..!
@adkajisi453620 сағат бұрын
Kifungu kaka nikasome@@hassanmfaume4522
@HappinessDaudКүн бұрын
Mafundisho yko yanaeleweka sana mashaallah Allah akuzidishie
@HappinessDaudКүн бұрын
Mimi nataka hii video sh nafanyaje kuipata nipe maelekezo
@jumakapilima72952 күн бұрын
Mahakama ikisema hawajapiga, utasemaje?
@hamzakimaro37642 күн бұрын
tunaishukuru serekali kuingilia ujambazi unaendelea ktk misikiti mingi nchi!!tunaomba wasiishie hapo manyema wasogee hadi kwenye misikiti,hasa inayomilikiwa na bakwata!!pia wafuatilie mali za wakfu walizoridhi kutoka kwa jumuia iliyokuwepo kabla ya kuundwa bakwata!!
@dinocastico84952 күн бұрын
Wenye nguvu hawana na wenye nia hawana nguvu. Walio pewa dhamana ya kusimamia mambo ya waumini wengi sio wa kweli mtihani mkubwa huu. Viongozi wengi hawajuwi kuongoza
@NassoroKulondwa2 күн бұрын
MWENYEZI MUNGU akulinde kwa hekima na busara rais wetu mstaafu
@ZaylinahNindae3 күн бұрын
Mashallah ❤
@IddyNdee3 күн бұрын
Mashaallah takbir
@TawakalKasim3 күн бұрын
Kaondoka nyund Tanzania Lakn Allah kamleta nyund mwengine Allah amlinde ampe umrefu ampe afya njema anaoongea ni ukwel mtup Huy ndie mtetez wet
@kadrimwingamno2584 күн бұрын
Na nyinyi mkimuona Sheikh yoyote wakisalafi mtampenda kutokana na walivyo jipamba na haqi.
@KhadijaKhamis-k4d4 күн бұрын
Wislam c wanafiki bali nyny hamuujui ukwel
@KhadijaKhamis-k4d4 күн бұрын
Wa kufatwa ni allah kwan yy ndy alituumba we mkristo ukifa utajua😢😢
@FatimaAli-of4gh4 күн бұрын
Kumbe unaweza kuenda hijja kwa kuchangiwa Masheikh tusanueni kwa hili nasi tupite kuomba michango kuenda Hijja
@MScamara85 күн бұрын
Ma shaa Allah ❤❤
@mutumaedwin56905 күн бұрын
What about Annunaki
@dhamirisalehejuma71175 күн бұрын
Maashallh
@aishahussein82355 күн бұрын
Mashaallah
@mohamedmoslem47925 күн бұрын
Wakiristo na waslamu wote ni wa Mungu...bona mabisano nani alieda binguni akarudi???
@Rahmapastory5 күн бұрын
❤❤❤ ma shaa Allah
@MwaminiMkoma5 күн бұрын
Mashallaah mashallaah hakika hija sii kwamatajiri tuu.... Inshaallaah Mimi na wewe tutakwenda. Mkono kwamkono mpaka Hija mpaka Umra mpaka peponiii.
@japhetmsafiri5 күн бұрын
Biblia ni mkusanyiko wa vitabu Torati na Injili.
@HadijaOman6 күн бұрын
Hapo ndipo mmekosea mnapeleka siasa Maka acheni mambo yaajabu kumtaja huyo mama Samia ndiyo mmearibu
@ArafaAbudall6 күн бұрын
MASHAALLAAH❤
@noot-oe2mw6 күн бұрын
Mashaallah Mashaallah 🙏🙏🙏
@abdulkarimmahmoud84996 күн бұрын
Mungu akupe pepo ya firdaus amin.
@MwanamisiAli-y9e6 күн бұрын
Asante san shukr
@OmariMustafa-q4r6 күн бұрын
Allah mpe kaulun thabit
@HalemaSaid-o3v6 күн бұрын
Maashaallha allha ukuzidieshien kila la kheri duniani na kesho akhera allhatafanya wepesi