Jamani udg wangu joha pambana na kaka chendu movie mzur
@UstinaMayemba4 сағат бұрын
Chendu umetisha mwamba❤
@patriciachangawa17544 сағат бұрын
Ila mkuza unajua sana hogere nyote timu chendu mko vizuri nawapenda sana mungu awafanyie wepesi mufike bali zaidi one❤❤❤
@Kungwimokatz4 сағат бұрын
🎉🎉WANAOAMNI NAFSI YA CHENDU KWENE SIMBA MWEUSI YA CHUMNVI NYINGI AMESHIKA ..PASHAMBE ..GONGA LIKE 99🎉🎉
@SunnahMickdady4 сағат бұрын
Sio mahara pake
@SajoBoy4 сағат бұрын
Nyimbo nimeipenda san
@ReemaM-i5t4 сағат бұрын
Wanane kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 jmn Leo kawahi hongeren sana kwawote munao shirikian kwa kazi hii mungu awape uwezo zaid naujasiri katika Kila hatua 🙏🙏🙏
@CHENDU-OG4 сағат бұрын
Amin 🤲
@Kungwimokatz4 сағат бұрын
🎉ANAEAMINI CHENDU NA CHUMNVI ..THE END..GONGA LIKE APA KWANI SIMBA MWEUSI BAADA YA CHUMNVI NA CHENDU KUTENGANA CHUMVI KAMLETA MR PASHAMBE AMERITHI RASM NAFSI YA CHENDU🎉🎉LIKE 99
@StephMbilinyi-bf7ph4 сағат бұрын
P1 sn 🎉🎉🎉
@Kungwimokatz4 сағат бұрын
Wanaeamini chimvi na chendu ..the end ..gonga like apa kwa simba mweus na fasi ya chendu ndio ile ya pashambe gonga like apa🎉🎉🎉🎉like 99
@MKOLOSAIZENGO-o7f5 сағат бұрын
SHUNDAA MAINA WELCOME KWENYE BIGWAA KWENYE SAGALA NAMAHALA MWENUYU WATUCHANGANYA SAGALA BIGWA SAGALA BIGWA ❤❤😂😂🎉
@ndabirabemwajuma21365 сағат бұрын
Jamani leo wa 4 nawomba like kama tunaepienda sote❤❤❤❤🎉🎉
@hildasanga72345 сағат бұрын
Kazi nzul sana chendu og 🎉🎉🎉😂😂😂❤❤❤❤
@superd69715 сағат бұрын
Oyoooo nakubali kazi asee,....dah chendu we ni Balaaa
@HASANINDUMBO5 сағат бұрын
Wa kwaza mm apa kaka chendu naomba LIKE
@MuuminiZubery5 сағат бұрын
We keanza
@omarymuya1426 сағат бұрын
Mpezi wa watu maina wengi tukupendao pigakazi mama wanaomkubali main like jamani
Aisee chendu 🎉🎉🎉🎉🎉 hongela sana ndugu Yang kazi nzuli 🎉🎉🎉🎉🎉
@EzekielngarКүн бұрын
Hii imeenda ❤❤ kavungwa anatalajia kuitwa baba bila kishiriki tunda lake
@NeemaAlphoinceКүн бұрын
wasanii wa chumvi wote wanakuja kwa chendu
@beautyibrahim842818 сағат бұрын
Hakuna shida sabab wote ni familia bila chumvi tusingewajua chumvi atabaki kuwa Baba tunamsapot then tunakuja kusaport na watoto wake ❤
@JacquelineErickКүн бұрын
Ila chendu ww na uchawi mnaundugu kdgo
@ShabanMohammed-p4wКүн бұрын
Nice movie
@MkumboKahongoКүн бұрын
Mkuza mwamba la jiwe, Mwamba haswa
@mkasijuma8970Күн бұрын
Chenduu mwangaa huyuu🤣🤣🤣🤣🤣shukran brother
@StephMbilinyi-bf7phКүн бұрын
Bonge moja la series 🎉🎉🎉🎉🙌🙌
@UstinaMayembaКүн бұрын
Bora maina amekuja sehemu salama,chendu mtu mzima anayejua kutenganisha kazi na mapenzi.sio mbugila mbugila yule!
@Didaahsaid005Күн бұрын
😂😂😂anautuuzima gani huyo chendu jmn wakt mtoto wa elf2 tu????😂😂😂
@ZahalaOmaly21 сағат бұрын
Unavosema ivo unakosea uo ni uchonganish unaoleta cherk moav sifia kazi sio unaleta maneno haifai ivo
@missyoung3386Күн бұрын
Chenduuu huoni jot hizo ndevu
@StahimiliNdondoleКүн бұрын
Kawimbo tuu daaah
@CaroOsbornКүн бұрын
Yaaani katam 😅
@StahimiliNdondoleКүн бұрын
Jaman mi mwenzenu aka kawimbo kahii bigwa nakapenda mnoooo 🎶🎶
@StahimiliNdondoleКүн бұрын
Uwu mwaka mkali wao BIGWA
@patriciachangawa1754Күн бұрын
❤❤❤❤
@KhadijahKibetuКүн бұрын
Chendu unapendeza xna kua mganga
@BrysonJohn-Күн бұрын
Kaka🎉🎉🎉 pamoja sana
@TeodosiaNdunguru-sc6mfКүн бұрын
Maina nmefurahi kukuona ❤
@BABRI3795Күн бұрын
❤❤❤kazi nzur Sana Ila mbona Yule Dada mganga haruki tena wakat ilipoishia ww nayy tulitegemea kuona kitakachoendelea 😢. Chendu na mganga mnanogesha Sana hii movie asipokuwepo kuna namna inapoa 😔. Msitunyime uhondo wakutomuona mganga jaman Ila yotekwayote kazi nzur Sana 🙏🙏🙏