Dah kaka snash ivi umefikir kama Marvel Studio wanamrejesha IRON MAN katika AVENGERS DOOMSDAY NA AVENGERS SECRET WARS yani kaka snash skuamin kama Marvel Studio wanaweza kumrejesha IRON MAN na yeye kakaa nafasi ya kwanza katika picha dah yani saiv Marvel Studio wameamua kaka snash tz hee tufanye riviyu kama masha biki zako na movie ile ya DEADPOOL & WOLVERINE kaka 🫡
@benithoii27896 сағат бұрын
ila venom si wa sony imekuaje kwenda marvel
@user-wz3kh7th7hКүн бұрын
Hii gari inauzwa USD 875000 sawa na bilion 2,187,500,000
@GucciJackson-sw6pgКүн бұрын
Ivi Chris Hemsworth na Luke Hemsworth ni mtu na mdogoake?
@jimmyjames3246Күн бұрын
Unatusahau sana bro
@nicholauselishakissikissi8311Күн бұрын
No ya simu tafadhari
@Lyman001Күн бұрын
👍👍👍
@sharifulupanda94612 күн бұрын
Tupe review ya Atlas ya Jenifer lopez
@titusjairo64822 күн бұрын
Kaka kuna kipqnde yule tom anaoneka mbona ujakisema ichoo
@medardsotta52112 күн бұрын
Nape na genge lake wamekataa isije kulinda maslahi ya baadhi ya mabepari.
@YunusHassan-dl2md2 күн бұрын
😮😮😮😮
@ignatiuskaishe342 күн бұрын
Ninaamini itakayofuatia ni historia ya MAD MAX kwa sababu baada ya Furiosa kutoroka kwa Dementus na mkono mmoja, akiwa anakaribia kufika kwa Immortal Joe, kuna mtu alikuwa amesimama mlimani pembeni ya gari akimwangalia Furiosa, ( Ni sawa na scene ya mwanzo ya MAD MAX Fury road) yule ni MAX.
@mambombayatz2 күн бұрын
Snash apo umetupiga google lens kwny simu zote za google bx lens ipo2
@gigoyrn43943 күн бұрын
😂😂😂 nmetoka kuangalia hii nikaja kuangalia bunji nipo nalia Kwa uchungu
@korushushowilbard91623 күн бұрын
Bei gani
@jacobmunis30143 күн бұрын
Pixel wanayo cycle to search
@JACKSONNDALAHWA-nh2km3 күн бұрын
Noma sana Dah
@Storyzaibrahim3 күн бұрын
Sikuizi unauza magari bro? Nice
@AbbascoDiaz3 күн бұрын
Me naomba nipate elimu ya AI na Gemini mzee
@allenkisinja54723 күн бұрын
unajua sana
@yugochanneltz42503 күн бұрын
Mwamba movie in Swahili umetuacha muda mrefu sana
@barickmalekela90143 күн бұрын
hii inanikumbusha season moja hiv ya kikorea inaitwa criminal mind.
@HamzaHamza-su7th3 күн бұрын
Mara mmemic movie mara phones mara gari embu acheni kuchepuka basi 😡
@mr_kajomba_og57193 күн бұрын
Kwakweli ata mim sikuipenda niliifuta kabla sijaimaliza
@erickmillanzi43913 күн бұрын
Upo za wapi
@oqlovetext37824 күн бұрын
Snashi Fanya Vidio kama zamani Usiwe unaonekana kat kat ya story Bhan unafanya Vidio Zisinoge ten pls me shabiki yako
@blackmamba75534 күн бұрын
JIJUTSU
@FidoChaazy4 күн бұрын
Umetisha Broo ❤❤
@DoctorBondia4 күн бұрын
Dah! Maendeleo. Mimi naona ipo haja ya Isim iletwe Tanzania
@aloycesteven59984 күн бұрын
Huwezi amini hii movie ipo kwenye simu lakini sijaiangalia
@zclassicfashionz15734 күн бұрын
Iko juu sana
@YunusHassan-dl2md4 күн бұрын
Umetisha kaka kinoma noma 😊😊
@NoahNkabila4 күн бұрын
Tunaomba Redmi 13
@IbrahimMbega-cq1eu4 күн бұрын
@snashtz naomba review ya Oppenheimer ya 2023
@blackmamba75534 күн бұрын
Naunga mkono hoja😅
@nasibuahmedy24384 күн бұрын
Ulitusahau sana mwenetu kwenye upande wa Movie
@shariduidrisa19934 күн бұрын
Kweliii yan mzee umetusahau kinoma kinoma😢
@savaga-phd64484 күн бұрын
Wa pili ngja tuinjoy
@radotyga4 күн бұрын
Wa kwanza leo 😁😁😁😁❤️❤️❤️❤️
@samkoka34 күн бұрын
Nice
@IbrahimMbega-cq1eu4 күн бұрын
Naomba review ya Oppenheimer ya 2023
@IbrahimMbega-cq1eu4 күн бұрын
Naomba review ya Oppenheimer ya 2023
@Salvation_plus_tz4 күн бұрын
Snash naomb hpa naomba un community channel yngu plzz 🙏🙏🙏
@Crypto2RobotКүн бұрын
Hapa kwenye crypto umegusa penyewe wana crypto hii ni hatua nyingine kuitangaza crypto hasa kwa wa tz wasio jua tunaelekea wapi😅
@Salvation_plus_tz4 күн бұрын
Daah hii imekakaa poa sana
@FidoChaazy5 күн бұрын
Umetisha San Broo
@michaelthomas50026 күн бұрын
wavimbie wenzako kuhusu movie kma unamfatilia snash😅
@newmoviestrailer49656 күн бұрын
NIKUREKEBISHE CITADEL ni mji wa immortan joe but mji ambao ulivamiwa na DEMENTUS ulikuwa unaitwa BULLET FARMER
@gourmetmasters9105 күн бұрын
Hapana. Dementus took over GAS TOWN
@ignatiuskaishe342 күн бұрын
@@gourmetmasters910 Baadaye tamaa ikamzidi akaichukua na Bullet farm. Ndo kisa cha Furiosa kuupoteza mkono wake