Huyo jamaa alikuwa mkomavu wa kisiasa. Allah ampe kheri nyingi.
@godfreykahabi196410 күн бұрын
Lissu akili nyingi Sana anatumia matumizi sahihi ya akili
@MalabaKamatta10 күн бұрын
Huyu jamaa ni kichwa namkubal Sana mwamba huyu anakili Sana na anajua kuzitumia
@ahmedhemed398310 күн бұрын
Hi
@ahmedhemed398310 күн бұрын
Hi
@danielsamwel443215 күн бұрын
Nikiwa mkubwa. Mungu naomba niwe kama lissu
@AbrahmanAbrahman-l7hАй бұрын
ITS OVER HIZO NI HADITHI ZILIZOPITA KILA UCHAO WAZANZIBARI WANAFANYWA WAPUMBAVU SEIF NDIO MAANA ANAAMBIWA KUA. ANATUMIWA NA CCM HUYO SHENI ALIKUA KINYONGA MWENYE RANGI MIA
@SelmeSaidiАй бұрын
Ewe mola wetu waseidie wazanbar wataibiwa mpaka lin
@sabrimohd753Ай бұрын
Unafiki mkubwa
@ZahraBadri-k9q2 ай бұрын
Samia 2025
@ZahraBadri-k9q2 ай бұрын
Hili bunge sio mchezo
@SebastianCharleskayanda2 ай бұрын
Uko sawasawa
@SamsonPhilipo-g8c3 ай бұрын
Wenge mubunge
@DenisMatemu3 ай бұрын
yan kama wote tungemuelewa huyu jamaa tungekua mbal san
@DenisMatemu3 ай бұрын
muombeni mwenyekii❤❤
@aronjohn88183 ай бұрын
Kipindi hicho mwenyekiti wa hili bunge ndio rais wa nchi sema hii nchi inapuuza mambo ya msingi sana kuna ck viongozi watajutia haya wanayofanya