Kwa hali hii ya Simba tarehe 8 wapaki basi kwa yanga la sivyo watathalilika tena.Patruck from Sweden
@EliaMayanga-hx2lx2 сағат бұрын
Azam vp
@user-pb4ew4yr2mСағат бұрын
Vp
@IdrisaAbdallah-pf4mw2 сағат бұрын
Tushatoka uwanjan kitambo
@IbrahimMasai-qq6cs2 сағат бұрын
Redio ya mkekei huna jipya mbado mnatangaza
@HappyEel-wg4qx2 сағат бұрын
Yupo beljam
@SamsonBaraka-q7z3 сағат бұрын
wewe tadei studio yako iko nyuma sana mpira iliisha saanyingi sana
@HappyEel-wg4qx4 сағат бұрын
Aishi manura yupo wapi
@HajiFadhili-vv1us5 сағат бұрын
Hao wanakujoki tu
@iyamuremyeaugustin4356 сағат бұрын
❤
@musaisaya-q3y22 сағат бұрын
kaka vp
@mbonitegekaeric2788Күн бұрын
Hjambo kaka kesho utatuambia mach ya aperi na simba ,Niko hapa Kigali Rwanda tuko pamoja
@yohanarafael3897Күн бұрын
Yanga walivyoaminishwa kwamba watamtambulisha KIBU D sijui wataficha wap aibu Yao kaka
@NeemiaMdegela-om9fmКүн бұрын
Azixi kii ndo kiungo bora.kwa nidhamu na uchezaji .Feisal salum hawezi kuwa kiungo bora kwa kuwa hana nidhamu.alipowafunga midomo wapenxi was yanga baada ya kufunga penati Kule Zanzibar ilionesha moja kwa moja no mtj was aina gani.alikataa kuvaa medalist za mshindi was pili akaondoka uwanjani.hawezi pewa a.yanga na simba no kama wazazi maana wachezsji wengi hujulikana wakichezea timu hizo mbili.hata.Feisal alijulikana kutokea yanga.jamani mtoto mkaidi hafaidi mpaka Sikh ya IDD.pole Feisal
@user-yk7ff9ks6qКүн бұрын
Kaka ww unajua bwana wachane na mshabiki wa yanga hawataki kununua tiketi zao
@sedekiambwambo4672Күн бұрын
nzuri, Ki Azizi, a player, pride of young Africans
@rwechunguraevarestКүн бұрын
Vp mpanzu amefeli Kule alipo kuwa ameenda?
@muddycantona6286Күн бұрын
Tatizo uyanga umekujaaa na ndiyo maana hamfiki mbali
@danielmatemu96982 күн бұрын
WIMBO MKUBWA sana, hongereni kwenu, pia kwa mtunzi wake mahiri David B. Wasonga❤❤
@saidmnenuka78222 күн бұрын
Tuzo ililazimika iende tanga sababu kumuheshimisha mkuu
Weka uchambuzi wa michezo maana naona mna ktu apo ,hata voice mko vizur sana mpaka broadcast zwnu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@ImbaNasiRadio2 күн бұрын
Saa 3 asubuhi na usiku,tunafanya uchambuzi kila siku.
@ARABIMAARUFU2 күн бұрын
Feisal must to be MVP
@user-iz3hs8jl5p2 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤
@ER7EVARISTY2 күн бұрын
Aixeee waaaoooo Young africans tim bola tz vs africans
@benjamimantoniomangoni67652 күн бұрын
🎉🎉🎉
@ARABIMAARUFU2 күн бұрын
Usiwe choko ww FEISAL lazma awe MVP
@user-iz3hs8jl5p2 күн бұрын
kwa vigezo gani????
@ARABIMAARUFU2 күн бұрын
@@user-iz3hs8jl5p time will tell
@ferezaisaack98362 күн бұрын
Hivi diara niwakukosa goligipa Bora wa NBC
@ferezaisaack98362 күн бұрын
Kinachoniuma ni kuleta uzalendo wakati mpira uko wazi kabisa
@Laurent-o4r2 күн бұрын
Ibrahim baka💚💚💚💚
@user-br7fz4zd5x2 күн бұрын
Nimefurahi mnywa supu kakosa
@kolosii43512 күн бұрын
Hizo tuzo zinaendana na pesa taslim??
@mussarachidi21562 күн бұрын
tuko pamoja kaka nikiwa Moçambique
@OmN-xr3es2 күн бұрын
Amina
@issa85652 күн бұрын
Kaka habari mida gani
@anithawidambe75432 күн бұрын
KIPA BORA NI YULE WA COSTAR UNION MAANA NDY ANA KRINISHITI NYINGI.
@user-zs1mb3fz5n2 күн бұрын
Unyama ubwera. Kibiti
@zsdhalhinai33672 күн бұрын
Ee Mungu kupitia sala hii Imuinue mwanangu yaaniUzao watumbo langu wa kwanza Zaid anaeishi Omani akawe kazini juu Zaidi kwa kila kitu kama jina lake na mkewe ajifungue salama bila presheni
@zsdhalhinai33672 күн бұрын
Ee Mungu kupitia hii sala naomba ubariki familia yangu yote naullinde na mabaya yote
@zsdhalhinai33672 күн бұрын
Ee Mungu wangu kupitia hii sala ninaomba Ikambadilishe mwanangu Egnasi kuwa mtoto mwema na muaminifu aache pombe akumbuke kwenda kanisani