BSS inajua kutengeneza ma-star...Blessess to Madam Rita na team yake🤗🌹
@felixshihemi6912 күн бұрын
Inspirational
@BenjaSamson2 күн бұрын
Mario na Paula wimbo wakuingia ukumbini ❤❤❤
@BrianKipkorir-b3m3 күн бұрын
Who's here on 9th Feb
@rebbecanzuki26543 күн бұрын
Babangu kipenzi changu ❤ ulipitia Sana . 😢 Nakupenda Sana daddy. Mungu akuponye wanangu wanatamani kucheza na babu yao❤
@newphenywawuda63063 күн бұрын
This song deserves a thumbs up 👍
@ashfordkinyaa63613 күн бұрын
I love it
@BwaleNguni3 күн бұрын
There's something about your voice.
@LandryMuzirya3 күн бұрын
so lovely
@sharonochieng46994 күн бұрын
Kali sana Just heard it in Diana Daisy videos thn decided to search for it. Am not disappointed.👏👏👏
@KassimeDaouda4 күн бұрын
Big love to our BABA from 🇰🇲🇰🇲🇰🇲🇰🇲🇰🇲
@johnkariuki82514 күн бұрын
❤❤❤❤❤ 😊😊😊😊😊
@vinleykenani61664 күн бұрын
The song is Top notch watu wanafaa kuku support it's a hit song... tujivunie Sisi wanaume pia this Gender is hard.
@NelsonSidori-nw2zt4 күн бұрын
A very good song with a clean video.. thanks to the team.
@JenniferHariss4 күн бұрын
Ila mkak mzuri
@mtotolucie84534 күн бұрын
Watoto wa kasongo kama unapenda huu wimbo weka like tukisonga ❤
@dicksonkilupa22584 күн бұрын
Yaani bora tusifiane wenyewe maana tukisubiri sifa toka mfumo k tutasubiri sana. Thamani ya baba itajulikana tu pindi akialikwa na kifo na akaenda .
@maliyawatubusiness5 күн бұрын
Sijawahi comment popote KZbin ila leo nimesikia BABA akipendwa hakika muombaji ubarikiwe sana Mtunzi wa Wimbo huu,nyakati za sasa ni asilimia chache kumkumbuka BABA, upendo umepelekwa kwa MAMA tu
@nackkihara66265 күн бұрын
Afadhali wa kubwa zangu kaka na dada zangu wao walimuona me wa mwisho naishia kumuona kwa picture tu ila nampenda Sana baba angu
@nackkihara66265 күн бұрын
Wimbo mzuri lakn sisi ambao baba zetu wametangulia mbele za haki. Nataman baba angu angekuwepo nimuimbie huu wimbo naishia kuongea na picture tu jaman baba angu nimekumiss mno dah
@Elizabethmasigazwa5 күн бұрын
Mungu kanipa wewe kama zawad unifae katka shida na raha❤❤1
@AsiaallyKapama5 күн бұрын
Aaah ila wimbo hatari
@AsiaallyKapama5 күн бұрын
❤
@AC-mj1mb6 күн бұрын
05 Feb 2025❤❤
@TumainiMsalilwa6 күн бұрын
❤❤❤
@kahusivictoire15727 күн бұрын
nafurahi saana wa Congo 🇨🇩tujuwane
@MrishoMohammed-o1b7 күн бұрын
Safi Sana Blood Juzi Nilikua Na kazi Ya harusi ya wa congo Niliwapihia huu wimbo wameukubali Sana big up dam yangu...
@stephenakello83297 күн бұрын
Noma sana baba ni kichwa
@ZawadiZaidy-u5s3r8 күн бұрын
Na upenda sana wimbo huu mzur san
@CharitySamuel-ow6qj8 күн бұрын
The maturity in Rapudo speaks it all
@wangarieunice41328 күн бұрын
My favourite song ❤❤nami nagonja kwenye harusi yangu tucheze na mume wangu na pia siku zote nyumbani kwetu na familia zetu..Amen❤❤
@BrianOtara-x8w8 күн бұрын
This song mustbe played one day during my marriage i love someones daughter so mu ❤ a good song indeed 💯🙏
@michaelmaloba88699 күн бұрын
Big tune
@atalsfunkitchen17409 күн бұрын
@Tinah❤
@ruthsikuku23419 күн бұрын
Big up
@NAHIMANALiliane-n5w9 күн бұрын
iyi wimbo nikiboko yao kali sana
@kspdemocongo10 күн бұрын
Francais: Je consacre cette chanson à tous les Congolais de la République Démocratique du Congo (RDC), et particulièrement à ceux qui subissent l'occupation à Goma (au Nord-Kivu), ainsi qu'à ceux de Bukavu (au Sud-Kivu) qui pourraient bientôt connaître la même situation. Maintenez votre courage et votre volonté, et soyez prêts à agir rapidement sans condition pour assurer l'unité nationale, tout en organisant des efforts pour aider ceux qui se battent actuellement pour la RDC. Évitez les scissions inutiles et, en particulier, restreignez-vous à ne pas trop divulguer vos secrets. Chers Responsables et leaders, faites un choix des collaborateurs qui se font discrets et gardent vos stratégies pour vous permettre de vous focaliser sur l'essentiel, tout en agissant rapidement. Je vous souhaite plein de réussite et surtout de la détermination. Restez dynamique et audacieux. Swahili: Ninatoa wimbo huu kwa watu wote wa Kongo katika Jamhuri ya Ki Demokrasia ya Kongo (DRC), na hasa kwa wale wanaoteseka huko Goma (katika Kivu Kaskazini), pamoja na wale wa Bukavu (katika Kivu Kusini) ambao wanaweza hivi karibuni. uzoefu hali hiyo hiyo. Dumisha ujasiri na nia yako, na uwe tayari kuchukua hatua haraka na bila masharti ili kuhakikisha umoja wa kitaifa, huku ukiandaa juhudi za kuwasaidia wale wanaopigania DRC kwa sasa. Epuka migawanyiko isiyo ya lazima na, haswa, jizuie kufichua siri zako nyingi. Wasimamizi na viongozi wapendwa, chagua wafanyikazi walio na busara na uweke mikakati yako ili kukuruhusu kuzingatia mambo muhimu, huku ukichukua hatua haraka. Nakutakia kila la kheri na zaidi ya yote dhamira. Kukaa nguvu na ujasiri.
@Gloria-o4f11 күн бұрын
Leta champagne 🍾🍾..tule tujivinjari😅😅
@MuniraMtoro11 күн бұрын
😢
@MuniraMtoro11 күн бұрын
😢
@MercyMutanu-y7u11 күн бұрын
I'm from Kenya....bt that song is very sweet ... I'm not married bt itabidi ntafute wa kuimbia huu wimbo ...so sweet❤❤❤❤....may the lord bless the oner of the song
@samuelmlaghui90611 күн бұрын
Najiuliza miaka hio tukila na kufurahia mlo bila kujua Baba anachokipitia..hakutupa jukumu lake..Leo hii naona uzito wa kujukumikia familia ,Kwa kweli Baba mwache tu Kuna mengi ya kusimulia utotoni🏋🏻💯
@dianaanangwe792911 күн бұрын
Mimi natafuta bwana 😅😅😅
@danielkimaro596811 күн бұрын
Kijana yuko moto sana 🎉
@winispiamgina428411 күн бұрын
kaka asagwile UBARIKIWE SANA KAKA kwatuheshimisha katka hili MUNGU ABARIKI SNA KATKA KAZ YAKO