Clean with me
6:19
Жыл бұрын
MISHONO YA VITENGE KWA WATOTO
8:01
3 жыл бұрын
BEST HALLOWEEN MAKEUP
10:05
3 жыл бұрын
MISHONO YA JUMPSUIT ZA KITENGE
10:06
3 жыл бұрын
Пікірлер
@SarahKiula-vf1mo
@SarahKiula-vf1mo 3 күн бұрын
Samahan mm naomba kuuliza wengi wanasema mtoto chini ya mwaka hatakiwi kutumia maziwa ya ng'ombe hii ni kweli au inakuwaje?
@haikaelmrema4294
@haikaelmrema4294 Күн бұрын
Sijui kuhusu wao ila mimi wangu wanakunywa kwanzia mitatu
@SarahKiula-vf1mo
@SarahKiula-vf1mo Күн бұрын
Sawa 🙏
@edwardmwankemwa3877
@edwardmwankemwa3877 11 күн бұрын
Ubarikiwe Sana nimekuelewa
@KudratShehe
@KudratShehe 11 күн бұрын
Nimekuelewa my dear Sasa mm nataka nipambe lkn sijui vitumuhim nitapata wap naomba unisaidie
@user-uc2ho4qs1v
@user-uc2ho4qs1v 14 күн бұрын
Huo ndio unakaa msaa 24?
@donnihope1768
@donnihope1768 18 күн бұрын
Kwa mtoto mwenye allergy na maziwa naweza kublendia nini
@haikaelmrema4294
@haikaelmrema4294 15 күн бұрын
umejuaje mtoto ana allergy iyo ni reaction akinywa maziwa ila sio allergy na itaisha akifika umri flani…hakuna mtoto anaepimwa allergy hospital yoyote ile
@estajohn5941
@estajohn5941 18 күн бұрын
Uweki hata mboga sasa
@SophiaKisaka
@SophiaKisaka 21 күн бұрын
Je? Ni maziwa mgando au fresh dada.
@MariamuKhamis-ts3pt
@MariamuKhamis-ts3pt 26 күн бұрын
Naomba uniunge kwenye group
@user-pk2uw5gh1w
@user-pk2uw5gh1w 28 күн бұрын
Naomba uniunge mpenzi
@grecevitariss6363
@grecevitariss6363 Ай бұрын
Hi
@Bensonchigiri
@Bensonchigiri Ай бұрын
Na vip ukiwa hauna blender
@haikaelmrema4294
@haikaelmrema4294 Ай бұрын
unaponda unachuja na chujio
@rachelmrema7559
@rachelmrema7559 Ай бұрын
😢😢HAIKAEL MREMA? NI MREMA IPI HYO JAMAN NA MM NI WA KWA MREMA JMN
@haikaelmrema4294
@haikaelmrema4294 Ай бұрын
mrema ya old moshi dear mbokomu wewe ni mrema ipi
@rachelmrema7559
@rachelmrema7559 Ай бұрын
😢😢HAIKAEL MREMA? NI MREMA IPI HYO JAMAN NA MM NI WA KWA MREMA JMN
@rachelmrema7559
@rachelmrema7559 Ай бұрын
😢😢HAIKAEL MREMA? NI MREMA IPI HYO JAMAN NA MM NI WA KWA MREMA JMN
@HonorataLameck
@HonorataLameck Ай бұрын
Samahan madam niko nje ya mada brenda yako ulinunua wapi maan me yangu ime pasuka
@fatumashabani
@fatumashabani Ай бұрын
Asante dada nimeelewa somo unajua 👊
@RoseJonas-jv7em
@RoseJonas-jv7em Ай бұрын
Ubarikiwe dada
@JoanCharamila
@JoanCharamila Ай бұрын
Waooooooo
@user-yp8jg7ju7h
@user-yp8jg7ju7h Ай бұрын
Sasa unajua kilamtu anajua kingeleza ebu acha sifa ongea rugha yako
@JacqulineRichard
@JacqulineRichard 2 ай бұрын
Jaman samaan kwan wakat wa kubraind s umesema n supu ya nyama tena maziwa yanakujaje
@haikaelmrema4294
@haikaelmrema4294 2 ай бұрын
hii video tumetumia supu ya ngombe na kuna video nyingine tunayotumia maziwa dear angalia zote
@HonorataLameck
@HonorataLameck 2 ай бұрын
Huwez weka nyama
@haikaelmrema4294
@haikaelmrema4294 2 ай бұрын
unaweza mpendwa
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 2 ай бұрын
Kuna ulazima wa kuweka kitunguu dada
@haikaelmrema4294
@haikaelmrema4294 2 ай бұрын
ndio kitunguu kinaleta ladha pia kina lainisha choo
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 2 ай бұрын
@@haikaelmrema4294 asante
@pastormeshackmbeyale8426
@pastormeshackmbeyale8426 2 ай бұрын
Nimependa Sana 💪
@pastormeshackmbeyale8426
@pastormeshackmbeyale8426 2 ай бұрын
Mrs meshach
@lizzydanny5812
@lizzydanny5812 2 ай бұрын
Naomba link ya group
@lizzydanny5812
@lizzydanny5812 2 ай бұрын
Dada samahn je ndizi za kawaida hazifai?
@haikaelmrema4294
@haikaelmrema4294 2 ай бұрын
zinafaa dear
@user-pk2uw5gh1w
@user-pk2uw5gh1w 2 ай бұрын
Habari naomba kama uniunge kwenye group Nina mtoto anakaribia miezi 7 kuna kitu nataka nikuulize
@user-qi2dw6lb1d
@user-qi2dw6lb1d 3 ай бұрын
Na vipi kuusu kumpa uji
@haikaelmrema4294
@haikaelmrema4294 2 ай бұрын
unampa mimi watoto wangu nimeanza kuwapa miezi mi 4 nikiwa nauchuja na chujio
@LucyKimani-uk5mi
@LucyKimani-uk5mi 3 ай бұрын
Nimepa mtot wangu jana yani kila nikimpa anatapika sasa sijui ni ajakipenda au nini yani anatapika kila nikimpa😢
@haikaelmrema4294
@haikaelmrema4294 3 ай бұрын
poleeee mamy mpe taratibu atazoea
@ZUBERIMSASU
@ZUBERIMSASU 3 ай бұрын
samahan maziwa yanawekwa mda gan me kichwa kigumu kuelewa
@haikaelmrema4294
@haikaelmrema4294 3 ай бұрын
unapo brendi dear
@JacqulineRichard
@JacqulineRichard 2 ай бұрын
Kwan unaweka maziwa
@haikaelmrema4294
@haikaelmrema4294 2 ай бұрын
@@JacqulineRicharduyu amechanganya na video nyingine ya chakula cha maziwa
@AnnaMarti-ut3js
@AnnaMarti-ut3js 4 ай бұрын
🙏🙏
@NeemaMathayo-wq9eg
@NeemaMathayo-wq9eg 4 ай бұрын
Je ni ndizi gan hizo
@haikaelmrema4294
@haikaelmrema4294 3 ай бұрын
ndizi bukoba/uganda
@neemajoseph6609
@neemajoseph6609 4 ай бұрын
Samahani mpenzi hauweki chumvi..!!??
@haikaelmrema4294
@haikaelmrema4294 3 ай бұрын
kidogo sana mnooo
@salomeaminasanga5870
@salomeaminasanga5870 4 ай бұрын
Uop vizur
@NshimirimanaAlice-ob4kp
@NshimirimanaAlice-ob4kp 5 ай бұрын
Asante sana dada
@user-uh4kj7lx8r
@user-uh4kj7lx8r 5 ай бұрын
Asante dad Kwa SoMo
@user-wb5ro6nc8u
@user-wb5ro6nc8u 5 ай бұрын
Unawez tumia kwa siku zote
@user-wb5ro6nc8u
@user-wb5ro6nc8u 5 ай бұрын
Huwa unatumia cku zote au ukishaweka kwa mara moja unakaa kwa mda gan unaweka tna
@user-nw9vk6vd7m
@user-nw9vk6vd7m 6 ай бұрын
Jamani mm mtoto wangu anamiezi sita na alikua anaumwa umeshuka Uzito sana jee nimpe chakula hiki au kunakingine
@haikaelmrema4294
@haikaelmrema4294 3 ай бұрын
mpe lishe nzuri atarudi katika hali yake
@annabinde
@annabinde 6 ай бұрын
ni maziwa gani hayo yanayomfaa mtoto chini ya mwaka mmoja?
@haikaelmrema4294
@haikaelmrema4294 2 ай бұрын
ya ngombe mimi watoto wangu wote wameanza kunywa maziwa ya ngombe chini ya miezi 6 mbona
@RamlatSamwel-kc1ge
@RamlatSamwel-kc1ge 6 ай бұрын
Inafaa kumpa kila siku?
@haikaelmrema4294
@haikaelmrema4294 2 ай бұрын
wewe tu dear chakula hakiui
@user-yl7cm2mf7e
@user-yl7cm2mf7e 6 ай бұрын
Hujambo haika..mimi.dada getruda ..simu ya mama 😂
@haikaelmrema4294
@haikaelmrema4294 3 ай бұрын
oooh my dada
@user-my4qr1ul4p
@user-my4qr1ul4p 6 ай бұрын
Ndizi gani
@haikaelmrema4294
@haikaelmrema4294 2 ай бұрын
bukoba au uganda ata nyingine za kupika kikubwa una brendi
@user-hm1nt4mj4n
@user-hm1nt4mj4n 7 ай бұрын
Je mtoto wa miez mitano na nusu unampa mara ngapi huo uji
@haikaelmrema4294
@haikaelmrema4294 3 ай бұрын
mara mbili dear
@user-hm1nt4mj4n
@user-hm1nt4mj4n 7 ай бұрын
J
@petermuganda7322
@petermuganda7322 8 ай бұрын
Umependeza
@delphinaprosper6651
@delphinaprosper6651 8 ай бұрын
Nakuelewa sana na nakukubali
@haikaelmrema4294
@haikaelmrema4294 8 ай бұрын
asante kipenzi
@lucyjohn9601
@lucyjohn9601 8 ай бұрын
Chumvi kwa mtt chin ya mwaka Cyo nzur
@haikaelmrema4294
@haikaelmrema4294 8 ай бұрын
ni kweli na ndio mana tunaweka kidogo
@trishanngowi2274
@trishanngowi2274 9 ай бұрын
Je nisipoeka boga kuna shida?
@haikaelmrema4294
@haikaelmrema4294 8 ай бұрын
amna shida dear
@user-cq8zi9xn3s
@user-cq8zi9xn3s 9 ай бұрын
Apambana niweze kupata kitu kutoka kwako ant najua nitaweza tuu
@Baraka758
@Baraka758 9 ай бұрын
Uko vizuri❤❤❤