wako wapi waimbaji wa zamani wako wapi wapiga vyombo? iko wapi nguvu za uimbaji? daaaa nimelia leo huu wimbo 17-12-2024
@CalistusTitus-s5o5 сағат бұрын
nimeutafuta huu wimbo eee Mungu ee BWANA YESU,😢😢😢
@lepa3tv8327 сағат бұрын
kuna wengine hapo wimbo huu ulivyoimbwa awakuwa wamezaliwa nice song ever
@clementchipindula4983Күн бұрын
wimbo huu ulikua mbele ya muda, umekaa sehemu tulivu unatafakari nguvu za Mungu huku ukisikiliza ujumbe wake unaobadilisha maisha..huku ukiburudika na muziki wa kisasa lakini umepigwa enzi hizo unapata vyote katika hali tulivu sana ya moyo
@clementchipindula4983Күн бұрын
Mpangilio wa muziki katika wimbo huu "lakini ndugu" ni wa kiwango cha juu sana
@ShanellyNainai-zd3krКүн бұрын
16 December 2024... Najiskia vizuri kila nikisikiliza huu wimbo msimu wa Christmas ❤
@godblessmunisi2481Күн бұрын
This song will last forever, blessed are the singers 🎉🙏
@lydiamaneno2596Күн бұрын
Nice song, Serikali iutumie kwa ajili ya matangazo ya kulinda hifadhi za Taifa letu, Good job guys keep it up! up!
@HappyLungwaКүн бұрын
Amina Amina na barikiwa Sana na huu wimbo tukiwa tuna karibia kuzaliwa kwake yesu 2024
@MesharckMbilinyiКүн бұрын
Naipenda sana albam ya kwaya shangilien nakumbuka nilikuwa natoroka shule kwenda kuangalia video zake mwaka 2000
@GodsonVicent2 күн бұрын
Nikimalizaga hii nakuja ile habari ya mwana mpotevu halafu shangilieni yamwisho❤
@GodsonVicent2 күн бұрын
Nikimalizaga hii nakuja ile habari ya mwana mpotevu halafu shangilieni yamwisho❤
@GodsonVicent2 күн бұрын
Nikimalizaga hii nakuja ile habari ya mwana mpotevu halafu shangilieni yamwisho❤
@aronsilaa50822 күн бұрын
Huu wimbo wote uko kichwani kwangu, unanikumbusha miaka ya 2001-2003 nikiwa primary, nilikua naupenda sana huu wimbo origin version yake, mzee alikua na cassette yake
@bwayjayden2 күн бұрын
Kwaya Naipenda sana toka nipo mdogo.
@Salomegeorgemndolwa-fo2wg3 күн бұрын
Nakumbuka kipindi Niko mdogo kipindi Cha likizo nilikuwa naenda kutembelea kwa baba yangu mkubwa. Ilikuwa ni familia yenye uwezo kipindi hichi Cha Christmas walikuwa wanapenda sana huu wimbo Huwa nikiusikia namkumbuka mama wa familia Ile ilikuwa na ROHO nzuri sana MUNGU azidi kumpumzisha kwa vizuri. Kwa sabb alishatangulia mbele za haki
@RaymondPaul-bs7su3 күн бұрын
👏👏👏🙏🙏......hahaa ila huyo mwana mpotevu amevaa uhusika kwakweli
@RaymondPaul-bs7su3 күн бұрын
Nipoo hapa nawasikiliza 14th December 2024...Shangweeeeee
@hildajosephhangwa64253 күн бұрын
Mungu awainue kwa viwango vya juu zaidi
@MagretEndru4 күн бұрын
Nyimbo tamu iyo
@jacksonkaduma4854 күн бұрын
2025 like hapa
@lepa3tv8325 күн бұрын
christmas season tumeanza kuisikia hii nyimbo tukiwa wadogo 2004 uko kipnd cha cassette
@Juliusmganga47345 күн бұрын
Powerful song in terms of tune and message. It is a heart touching song.
@MussaKayugwa6 күн бұрын
Unahisia kali ktk maisha ya mwanadam
@anns.s87607 күн бұрын
Nawapenda sana🇰🇪
@anns.s87607 күн бұрын
My vision too🙏🏾
@PapyMunung-z1y7 күн бұрын
❤❤❤❤❤mungu abariki sana leleleeeeeeee
@GraceKambale-p1o7 күн бұрын
Tuna shukuru sana kwa wimbo Sisi watu wa DRC Butembo
@bwirathandiko98287 күн бұрын
Amen❤
@PapyMunung-z1y8 күн бұрын
Félicitations na mipenda sana
@PauloPaulo-xn8jz8 күн бұрын
Mie ninapo sikiliza hizi nyimbo Zina nibaliki sana sana
@esk52858 күн бұрын
Mungu ibariki kwaya hii nzuri, mara ya kwanza kuusikiliza wimbo huu ilikuwa mwaka 2007 kwa kweli nilikuwa mdogo sana na leo naona remix ni nzuri sana.
@DeoMvile8 күн бұрын
Amen
@GreysonMheni-ln9rm9 күн бұрын
Daah,kumbukumbu ya ajabu sana.MUNGU atukuzwe sana
@NEEMATSEMERWA9 күн бұрын
Wote wako hai?
@AndrewKuriru11 күн бұрын
God bless shangilieni choir
@MeryAndrew-w5t11 күн бұрын
Nipe uvumilivu moyoni Mungu awabariki sana
@JohnsonKabange-b3z11 күн бұрын
Good song ❤
@CelinMwalupogo12 күн бұрын
Mungu azidi kuwainua napenda sana nyimbo zenu na barikiwa nafunguliwa Asante mungu kwajili yenu
@anthonymgina26613 күн бұрын
Mungu awabariki sana wapendwa kwa kazi hii kubwa.
@samsonipaul406814 күн бұрын
2024 Leo December 3 naskiliza huu utamu
@Hosealilmayo14 күн бұрын
Bado 2024 tunasikiliza
@melinalumambo321815 күн бұрын
Amen nilikuwa msichana Enzi hizo nimetoka muhimbili kujifungua first born mwezi nne 1997 nasikiliza wimbo huu nikijiandaa na pasaka
@daviskipleting57116 күн бұрын
Wow when the songs were greatly sung
@SanteTarimo-i6b16 күн бұрын
Mi namkumbuka John wakat anapiga Wimborne ewe mwanadam
@shukurunamulwa138817 күн бұрын
Hapa nilikuwa mdogo Bukavu DRC tuliufurahiya huu wimbo saana.
@faustinesimon124018 күн бұрын
Mungu awanariki sana
@IreneChiwanga-t1r20 күн бұрын
Congrat Mai Auntie unajuaa❤🎉🎉
@neemamzabibu253221 күн бұрын
My favourite choir God bless you all From Australia ❤❤🎉
@restichelele366421 күн бұрын
Kila niusikiapo huu wimbo ñatokwa machozi,kweli waimbaji wa zamani waliimba katika roho na kweli,Sauti zina upako na nguvu,huwa nakumbuka mbali sana .❤