JIFUNZE KUSUKA MAJONGOO YA RASTA ( MTANDAO)
17:48
NJIA RAHISI YA KUSUKA YEBO ACHIA
15:26
Пікірлер
@halimayusuph786
@halimayusuph786 16 сағат бұрын
Mmnatumia mafta gani
@user-qe2lb9ns8h
@user-qe2lb9ns8h 23 сағат бұрын
Lazim nywele iwe nadaw
@monicajoachim9901
@monicajoachim9901 Күн бұрын
iyo ya kwanza nkpaka nkatembea juan inayeyuka unabak unamelemela kam umemwagiwa mafuta
@DianaDenice-py4im
@DianaDenice-py4im 2 күн бұрын
Asnt San kipnz mungu akubariki sana 🙏
@Janeatukuzwejeradi-p3x
@Janeatukuzwejeradi-p3x 2 күн бұрын
ASante dada nilikua najiulza wanaisukaje Sasa nimeona
@FarajaLisa
@FarajaLisa 5 күн бұрын
Mnaparikana wap
@Faithbeautyclasses
@Faithbeautyclasses 5 күн бұрын
Tunapatikana Dar -es-salaam Tegeta Azania
@hassanMohamed-cn7zc
@hassanMohamed-cn7zc 6 күн бұрын
Asante sana madam
@Faithbeautyclasses
@Faithbeautyclasses 5 күн бұрын
Karibu Sana mpenzi ♥️
@MwanaidRajabu-zn8bj
@MwanaidRajabu-zn8bj 6 күн бұрын
Nu jeli ipi inatumika kubana nywele za watot
@Faithbeautyclasses
@Faithbeautyclasses 6 күн бұрын
Tumia all sun mpenzi
@HappyJuma-rc5bv
@HappyJuma-rc5bv 6 күн бұрын
🙏🙏San unajua kuelekeza dear
@Faithbeautyclasses
@Faithbeautyclasses 6 күн бұрын
Ahsante sana mpenzi...Barikiwa
@HappyJuma-rc5bv
@HappyJuma-rc5bv 6 күн бұрын
M nilikuw nauliza auwek pink
@Faithbeautyclasses
@Faithbeautyclasses 6 күн бұрын
Yeah pink lotion hauweki mpenzi
@HellenMaganga
@HellenMaganga 7 күн бұрын
Una we za bond kwa kutumia kichwa cha mdori?
@Faithbeautyclasses
@Faithbeautyclasses 7 күн бұрын
Ndio mpenzi....unaweza Kutumia kichwa Cha mdoli kisicho na nywele
@EuniceVode-ni2eb
@EuniceVode-ni2eb 7 күн бұрын
Mnapatikana wapi nije nisukwe
@Faithbeautyclasses
@Faithbeautyclasses 7 күн бұрын
Tunapatikana Dar -es-salaam Tegeta Azania
@EuniceVode-ni2eb
@EuniceVode-ni2eb 7 күн бұрын
Smart
@Juju-g7s1g
@Juju-g7s1g 7 күн бұрын
Ada shngp??
@Faithbeautyclasses
@Faithbeautyclasses 7 күн бұрын
Ada ni 300000 mpenzi Vifaa, fomu na uniform....75000 Jumla....375000 Kwa miezi mitatu
@Juju-g7s1g
@Juju-g7s1g 7 күн бұрын
Ada shingapii
@AdellaMligo
@AdellaMligo 8 күн бұрын
Nimependa sana dada lakn naona apo njia tatu unaanzanayo mala Moja tu alafu unaendelea na mbili naona inakuwa pw sana tofaut na ukianza na njia mbili😊
@AdellaMligo
@AdellaMligo 8 күн бұрын
Nimependa sana dada lakn naona apo njia tatu unaanzanayo mala Moja tu alafu unaendelea na mbili naona inakuwa pw sana tofaut na ukianza na njia mbili😊
@ErastoSanga-z7d
@ErastoSanga-z7d 8 күн бұрын
nyweIe zangu ahazina dawa hiyo ya kitunguu swahimi naweza kuitumi nyweIe yangu inakatima sana
@Faithbeautyclasses
@Faithbeautyclasses 8 күн бұрын
Pole Sana mpenzi....Nunua steaming ya olive oil ....ni nzuri sana Kwa nywele ambazo hazina dawa itakusaidia na pia uwe unafanya steaming Kwa wakati utapata matokeo mazuri.
@ErastoSanga-z7d
@ErastoSanga-z7d 8 күн бұрын
hiyo stimingi kitunguu swaimi itumika hata kwa wenye nyweIe NexhiIo
@samirahmohammed6274
@samirahmohammed6274 8 күн бұрын
Asante sana dada nimekupenda Bure nimeelewa SoMo Ila naomba njia nyingine ya stichi
@NazpherMunyu
@NazpherMunyu 10 күн бұрын
Kwa Mara ya kwanza na Mimi najihisi kuiweza hii nywele😂
@Faithbeautyclasses
@Faithbeautyclasses 10 күн бұрын
@@NazpherMunyu waaoh mashaallah ....Mungu azidi kukusimamia mpenzi
@hanamuson891
@hanamuson891 11 күн бұрын
Kazi nzuri dadangu nimekupata vizur.
@NeemaPaulo-f7e
@NeemaPaulo-f7e 11 күн бұрын
Dada tuonyeshi upande wa kushoto unavyo shika nywele
@RachelNagana
@RachelNagana 11 күн бұрын
Dada wewe ni noma sana umetisha unafundisha mpaka wenye vichwa vigumu tunaelewa
@Faithbeautyclasses
@Faithbeautyclasses 11 күн бұрын
@@RachelNagana Ahsante sana mpenzi, najitahidi kutoa kile Mungu alichonibariki na nyinyi muweze kukipata.
@RachelNagana
@RachelNagana 11 күн бұрын
@@Faithbeautyclasses ubarikiwe
@RachelNagana
@RachelNagana 11 күн бұрын
Naitaji mafuta yakuning'alisha2 mimi ni mweusi
@priscamariki915
@priscamariki915 12 күн бұрын
hii njia ni rahisi sana
@EuniceWatitwa-ym5lv
@EuniceWatitwa-ym5lv 14 күн бұрын
Nice
@Faithbeautyclasses
@Faithbeautyclasses 13 күн бұрын
Thanks
@MwanaishaShedafa
@MwanaishaShedafa 15 күн бұрын
Nahitaj kujiunga na group lako nko Arusha na n msusi
@Faithbeautyclasses
@Faithbeautyclasses 13 күн бұрын
Sisi hatuna group mpenzi .....Mafunzo yote ya Kusuka tunafundisha kupitia hapa KZbin
@VickyRichard-t5w
@VickyRichard-t5w 15 күн бұрын
Ipi nzuri Kwa nywere natural na kavu
@Faithbeautyclasses
@Faithbeautyclasses 13 күн бұрын
Tumia steaming ya olive oil
@MaryKanduru
@MaryKanduru 15 күн бұрын
Kwenye nywele moja unatakiwa utoe ngap
@Faithbeautyclasses
@Faithbeautyclasses 13 күн бұрын
Sorry mpenzi nieleweshe vizuri swali lako ili nitoe jibu sahihi
@tumakomu
@tumakomu 16 күн бұрын
Huez kukaa Juan ikauke kama hutak kukaa kwa draya?
@Faithbeautyclasses
@Faithbeautyclasses 13 күн бұрын
Hapana mpenzi ni lazima utumie draya
@sheilaAshim
@sheilaAshim 16 күн бұрын
Dad nimependa asante nimeshaelewa pia unajua kufundisha
@Faithbeautyclasses
@Faithbeautyclasses 13 күн бұрын
Ahsante mpenzi....karibu
@LilianFelix-ip7hx
@LilianFelix-ip7hx 16 күн бұрын
Nauliza kama ukitumia Jerry kwenye nywele ndefu inafaaa?
@Faithbeautyclasses
@Faithbeautyclasses 13 күн бұрын
Yeah inafaa
@yusramichael585
@yusramichael585 16 күн бұрын
❤❤❤
@SundayKalesa-hn2nz
@SundayKalesa-hn2nz 16 күн бұрын
❤❤❤be blessed
@MadamAisha-o7t
@MadamAisha-o7t 16 күн бұрын
Sawa shukuran
@Faithbeautyclasses
@Faithbeautyclasses 13 күн бұрын
Karibu
@AgnesFilbert
@AgnesFilbert 17 күн бұрын
nimependa sana ufundishaji wako Hadi Raha uko wap nikutafte my dear nimeelewa sana
@Faithbeautyclasses
@Faithbeautyclasses 17 күн бұрын
@@AgnesFilbert Ahsante sana mpenzi, karibu Sana Tunapatikana Dar -es-salaam Tegeta Azania
@DinahNish-bm9sr
@DinahNish-bm9sr 19 күн бұрын
Ni nzuri sana nimeitumia kabisa nywele imekua na ni nzuri sana
@Faithbeautyclasses
@Faithbeautyclasses 17 күн бұрын
@@DinahNish-bm9sr Waooh Hongera Sana mpenzi....Hii dawa ni nzuri sana
@asilahassan9965
@asilahassan9965 20 күн бұрын
Shukran habbty
@Faithbeautyclasses
@Faithbeautyclasses 17 күн бұрын
@@asilahassan9965 Ahsante sana mpenzi ♥️
@MwanaMwana-f8f
@MwanaMwana-f8f 8 күн бұрын
Mm na mba Kwa mgongo naeza tumia
@Neemapetro-hu1vr
@Neemapetro-hu1vr 21 күн бұрын
Mko vizuri minatami sana kujua kusuka ebo ebo nakukata mstari vizur
@Faithbeautyclasses
@Faithbeautyclasses 13 күн бұрын
Sawa mpenzi Endelea kutufuatilia tunaanda darasa la yeboyebo litakuja soon
@FloraGermans
@FloraGermans 25 күн бұрын
Nashindwa tu kuzimilik rasta
@FloraGermans
@FloraGermans 25 күн бұрын
Dada unafundisha vizur sana mungu akubariki naanza kuelewa
@Faithbeautyclasses
@Faithbeautyclasses 25 күн бұрын
Ahsante sana mpenzi, jitahidi Kufanya mazoezi utaweza .
@LilianDavid-w3b
@LilianDavid-w3b 26 күн бұрын
Good work
@Faithbeautyclasses
@Faithbeautyclasses 25 күн бұрын
Thanx love
@LilianDavid-w3b
@LilianDavid-w3b 26 күн бұрын
Good
@PrinaPius
@PrinaPius 26 күн бұрын
Mwenzun nimenunua io daw mim sielew Nikaenda solon nimewekwa bila kuchangny kitu jomn so sijuh nywele Zang zitakuaj at aijashik ndo naon video sahii
@Faithbeautyclasses
@Faithbeautyclasses 25 күн бұрын
@@PrinaPius pole sana mpenzi ....huwenda alikuwa hajui lakini kashindwa kusema
@DamalychachaMwita
@DamalychachaMwita 26 күн бұрын
Mm sjaelewa Jin's ya kuzigeuza zna geuka kama yebo
@Faithbeautyclasses
@Faithbeautyclasses 25 күн бұрын
@@DamalychachaMwita inageuka kama YEBO mpenzi
@DamalychachaMwita
@DamalychachaMwita 26 күн бұрын
Nimeelewa dad
@MarryBoaz-f4j
@MarryBoaz-f4j 26 күн бұрын
Naomba kuuliza kuna wateja wengine wananywele nyingi ukishafunga hicho kibutu vinakuwa vinne nafanyaje
@ringstone5388
@ringstone5388 26 күн бұрын
Samahan Madamu hiyo sabuni inatumika kwa jinsia zote au ni kwajinsia ya kike tu?
@hanamuson891
@hanamuson891 27 күн бұрын
Mashallah mwalimu mzuri hatua moja moja.
@EvaMedard-t1r
@EvaMedard-t1r 27 күн бұрын
Yaaan ukitak kujifunza mtandaoni uspokuwa makini utachanganyikiw,, wengn wanasem steaming haiwekwi Kwny ngozi, mara wengn lazm iguse ngoz, unashndw uelew lipi