Hii mipumbavu imevaa nguo za ccm sijui inajisikiaje
@smukelomkhize97753 жыл бұрын
Acha Ujinga CCM Ndiyo chama Tawala unataka wavae uniform za Chadema Yaan wewe Ni mpumbavu kweli Yaan
@smukelomkhize97753 жыл бұрын
Wewe Ndiyo mpumbavu SASA 🤣🤣🤣🤣🤣
@ameedamilja79923 жыл бұрын
Kazi ya kuziba mashimo ni endelevu kila siku None stop kila mahali nchini. Msisubiri mpaka mashimo yawe makubwa. Igeni nchi za wenzenu zilizoendelea huwa wanaziba mashimo kila siku day and night.
@richardboaz-mashagospel23463 жыл бұрын
Kazi nzuri, ingawa tarura wilaya ya mkuranga wanamambo mengi yasiyoeleweka. Ni mratibu wa sasa ndio anaeleweka, ingawa maamuzi,utendaji,sense of agency ya ofisi yako ya mkuranga iko extremly slow. Nakusihi eng. tusaidie sana sana sana. Wananchi wa kilongoni. Asante sana
@mweyoms55483 жыл бұрын
Sasa ni mwendo wa kubembelezana kwa kweli.Hakika upuuzi huu wa kubembelezana na kuatamia uzembe JPM hakuwa nao.Kwa hiyo CEO endelea kumlea tu huyo mkandarasi mzembe halafu muongezee muda.
@TamuzaKale3 жыл бұрын
Mmmhhh
@allysalehal-jaber48223 жыл бұрын
Is it going to be another Ghost city?
@mweyoms55483 жыл бұрын
Let us wait and see
@shomarymussa69703 жыл бұрын
Yatadumu kwa mdaa gani
@noelngowitechnicalsolution3 жыл бұрын
Kazi njema
@noelngowitechnicalsolution3 жыл бұрын
Good job
@habibusalumu84453 жыл бұрын
Tunaomba mufanye marekebisho ya mashine zenu wino haukai kwenye risiti, contrrol number hazionekani vizuri na zinafutika kwa haraka mpaka kulipia inakua shida sasa inaleta usumbufu, Ahsante
@leonardlema19156 жыл бұрын
Great job.... TARURA, '' Barabara Bora Vijijini Kufungua Fursa za Kilimo, Mifugo na Uvuvi kwa Maendeleo ya Viwanda ''