kk habr yako naomba no zako za simu unazotumia huko please by ibrahim nina mpango wa kuja huko us
@hussenkarigo449623 сағат бұрын
Vipi kuusu kurudisha watu ukoo
@alfredmbacho3 күн бұрын
Kaka snow inaanza mwez wangp na kuisha mwezi wangap???
@gracekagoma32313 күн бұрын
Ndugu yangu,waeleze wtz kuwa Marekani siyo Ulaya bali Marekani Na Ulaya pia siyo Marekani .😊
@lahdadibrahim50065 күн бұрын
Habari kaka ungeoongea mada ya visa na jinsi ya kubaki huko kuwa rai wakudumu
@mwitakayamedia5 күн бұрын
Sina ujuzi wa kutosha kutoa ushauri kwa hilo, lakini unaweza kutafuta mtaalamu wa visa.
@lahdadibrahim50065 күн бұрын
@mwitakayamedia sawa kaka au ungeweza kutujuza namna ulivyo fika je visa gani uliomba na visa bei gani niivyo kaka tunakufuatilia sana kwenye youtube channel yko
@naviniisike7 күн бұрын
Umeenda uko kwa kusoma kaka au matembezi?
@TumpeMgaya7 күн бұрын
Watu hawaonekan
@TumpeMgaya7 күн бұрын
Watu hawaonekani
@ShabaniYoussouf-h5w8 күн бұрын
Yeah njo Marekani hiyi hiyi kbs
@ntyukastudio8 күн бұрын
Sijawahi kuona marekani vijijini.kwani huko kuna vijiji?
Kaka namimi nina plan kuja huko 2025 but sijui visa naipataje mana huku bongo kunamtu anaitwa dnyota anadai visa ni millioni 13 tsh
@lahdadibrahim50068 күн бұрын
Mr habari mimi pia mwaka huu ninampango wakuja kufanya kazi huko usa naomba unioe muingozo wa visa na nifanye nini iri niweze kufika huko lwa experience yako
@auni_tv9 күн бұрын
Video yako ulii ongelea spouse visa mbona haipo tena mkuu wengine tunatak tujifunze tumeoa wazungu 🙏😊
@RobertMaguru9 күн бұрын
Asante sana ndugu yetu kwa kutuelimisha
@gidesbalunguza71529 күн бұрын
New subscriber,, brother one day yes, have been dream this for 3 years now na naendlea kupambana mpk nifike
@PerfectMigomigo12 күн бұрын
Uvivu sana nchi iko Kama hakuna watu😂
@JosephGakome13 күн бұрын
Sikutegemea kama marekani itskuwa na changamoto mbaya hivyo maana Mimi najua ni ichi tajiri na tekinojia
@exop-r7z14 күн бұрын
Yeah
@bhahiryawagalinde858015 күн бұрын
Kumbe huko hata ugali nitapika
@mwitakayamedia9 күн бұрын
Ugali upo mwingi tu
@hassanhamisi923215 күн бұрын
Kaka naweza kupata namba yako
@feresianlugera-it8vh15 күн бұрын
Mr ko dollar 15 uliyosema unalipwa yote hukatwi kodi?
@feresianlugera-it8vh15 күн бұрын
Kaka hiyo dollar 15 kwa mwezi hukatwi tozo?
@johnmfuko442615 күн бұрын
Ninebarikiwa na hii experience yako kaka
@mwitakayamedia9 күн бұрын
Asante kwa support yako
@Bcclothes_515 күн бұрын
Ata sisi twataka kunja tunjionee😅
@Fatuma-p9y15 күн бұрын
Wacha tuje kuijione wenyewe bhana weee😂😂😂 maisha kupambana mbona ww umeweza vip wezako tutashidwa kikubwa kuomba mumgutu ebo wacha na sisi tupambane tufike uko unasema ivyo kusudi tusifike ama vip Acha zako wewe mmjomba😂😂😂
@lahdadibrahim50066 күн бұрын
😂😂😂😂😂😁😁😁😁🤣umegundua nn hhhhhhh hhhhhhhhh
@StellaOwden4 күн бұрын
Ndio mimi pia nataka nijionee mwenyewe, sitaki vyakuhadithiwaa
@amraniabswai16 күн бұрын
Kumbe na uko umeme unakatika then mnastop kufanya kazi
@mwitakayamedia9 күн бұрын
Ni mara chache sana umeme kukatika
@aysheraden771817 күн бұрын
Kwanini umevaa hivyo
@frankjuma565417 күн бұрын
Asante kaka Kwa muongozo mazuri
@hamzaIlunga17 күн бұрын
From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲
@EFJmgasa17 күн бұрын
One love kaka,see u soon ngoj nijichange
@JimmyRodgers-h8x18 күн бұрын
Maswali yalikuaje ili kugongewa uendelee na safar ya newyork
@mrcareneversaynever821318 күн бұрын
Kazi ni masakumi off day ni ngapi kwa week
@johnstonemuhindi657418 күн бұрын
Bro if you can make it those years throught the winter season we can do it as well its about adjustments nothing hard if you know where you coming from.
@hmwangiI-iq9py20 күн бұрын
Woow ipo siku
@hmwangiI-iq9py20 күн бұрын
New subscriber...soo beautiful outthere❤😊
@amadimlilapi118520 күн бұрын
Kumbe hadi marekani umeme unakata 😂😂
@RichardJosephat21 күн бұрын
Nice bro
@AnnaMwailenge-hy3xg21 күн бұрын
Hongera sana kwa kushare nasi vitu Kama hivi
@MarthaThobias-j8h22 күн бұрын
Mbona pazuri nitafutie na mimi kazi
@MarthaThobias-j8h22 күн бұрын
Na kila ndege unayopanda unalipia au unalipia moja kwa moja dar es salaam
@aysheraden771817 күн бұрын
Ukilipia ndio inakua hiyo hiyo
@jamesanthony33822 күн бұрын
kaka una content nzuri sana na una ni inspire sana ubarikiwe kwa hilo never stop creating this kind of content James from Mwanza Tanzania
@mwitakayamedia9 күн бұрын
Pamoja
@AbdallahIddy-i8f24 күн бұрын
Cm yangu ya kukufuatilia imepasuka kioo dah nashindwa kabisa kuinjoy kaka
@michaelbanda72824 күн бұрын
Karibuni marekani sehemu zipo nyingi za kukaa bila snow kabisa
@mwitakayamedia23 күн бұрын
Ndio nazijua kuna Arizona, Kentucky,lakini kila mbuzi anakula kulingana na urefu wa kamba yake
@michaelbanda72824 күн бұрын
Los Angeles ni 16°c
@michaelbanda72824 күн бұрын
Sio kila sehemu kuna snow kuna sehemu hazina snow kabisa
@esthermungai637620 күн бұрын
Kama arizona
@DizzoclassicSoundstz26 күн бұрын
Uko poa kaka from mwanza Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@DizzoclassicSoundstz26 күн бұрын
Nakubali sana kaka from mwanza Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿