Пікірлер
@RahimaMct-ik8mr
@RahimaMct-ik8mr 13 сағат бұрын
❤❤Mashallah
@AliHajijuma
@AliHajijuma 18 сағат бұрын
Kwaio wana wazuoni wanao uwezo wa kuingiza alivyoviacha mtume wakati yey mtume amekazwa na Allah asiharamishe vilivyo halalishwa na Allah hao wana wa zuoni wamepewa nanani icho kibali cha kuingiza wanachokitaka!
@MwaniaKondo
@MwaniaKondo Күн бұрын
Mashaallah ❤❤
@Zeynabmaulid
@Zeynabmaulid Күн бұрын
Mashaallah ❤
@MabrucHamisi
@MabrucHamisi Күн бұрын
Sharifu ni jina hata wewe unaweza ukawa sharifu kwa Imani yako zote hizo ni hasad kuchafuana mtandaon
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt Күн бұрын
Allah MashaAllah
@ashraphmohammed
@ashraphmohammed Күн бұрын
Mashaallah
@abutwalibyahaya9551
@abutwalibyahaya9551 2 күн бұрын
anajingata sana
@abutwalibyahaya9551
@abutwalibyahaya9551 2 күн бұрын
toa dalili watu wakuelewe
@abutwalibyahaya9551
@abutwalibyahaya9551 2 күн бұрын
sasa hapo ndio kaongea nini
@ibunjumuatv9502
@ibunjumuatv9502 2 күн бұрын
@@abutwalibyahaya9551 pole shia kama hujaelewa
@abutwalibyahaya9551
@abutwalibyahaya9551 2 күн бұрын
elimu ndogo ninajisi
@hassanmsumari1200
@hassanmsumari1200 2 күн бұрын
Maashaallah Allah akufanyie wepesi
@moussaabdallah-h4u
@moussaabdallah-h4u 3 күн бұрын
BarakallAhu fiik Allah akuhifadh umeleweka vyakutosha
@MariamAmir-o4r
@MariamAmir-o4r 3 күн бұрын
Shukran
@FaridaAbasi-z8p
@FaridaAbasi-z8p 3 күн бұрын
❤❤❤❤❤ maaashallah
@hamynas
@hamynas 3 күн бұрын
kuhusu kuamini vitabu vinavyiitwa sahih, hakuna kitu kama hicho, kitabu pekee chenye usahihi 100 kwa 100 ni koran...mashia hawaamini katika usahihi wa vitabu ambazo watunzi ni wanadamu ila mashia wanaamini katika utafiti na ulinganifu wa hadithi kujiridhisha usahihi wake usiopingana na koran mantiq na akili mujarab ya mwanadamu alie na ikhlaswi...siyo eti wakusanya jihadithi lako huko halafu kwa kuwa limetoka ktk kitabu sahih basi na wewe wabembea nalo kuwa ni kitu cha maana LA HASHA MASHIA HAWAFANYI HIVYO
@abutwalibyahaya9551
@abutwalibyahaya9551 2 күн бұрын
mtu ukiwa naelimu ndogo ndipo unapo muona anabwekabweka
@hamynas
@hamynas 3 күн бұрын
kuhusu kutukana maswahaba, hadithi ya mtume saww ilisema mtume alimwambia swahaba khalid bin walid usiwatukane maswahaba zangu,,,inamaanisha maswhaba walikua wenyewe kwa wenyewe ndiyo waliokua wakitukanana....na pia imenukuliwa ktk vitabu kuwa mama aisha alikua akimtolea maneno makali mtume saww mpaka baba ake sayidna abubakar alimkuta na akamtandika jilofi mbele ya mtume saww awate tabia hiyo hii nayo ni mashia wanafanya?😊
@hamynas
@hamynas 3 күн бұрын
kuhusu kusujudia vijiwe, ikiwa kusujudu ya jiwe ni kuliabudu je kusujudu juu ya kapeti au jamvi au mkeka nako ni kuabudu mkeka na jamvi na zulia?
@abiabi9353
@abiabi9353 3 күн бұрын
Hawa jamaa tushawazoweya hujisemea tu lkn hawajui hata wayasemayo
@hamynas
@hamynas 3 күн бұрын
kuhusu kubashiriwa pepo, katika wale 10 waliobashiriwa pepo kuna maswahaba waliouana wao kwa wao je wataingia woote peponi?mfano twalha na zubeir walipigana na zubeir aliuawa katika vita vya jamal?
@issarajabu5696
@issarajabu5696 3 күн бұрын
We unaonaje
@hamynas
@hamynas 3 күн бұрын
@@issarajabu5696 SIJAIJUA HIYO PEPO AMBAYO MUUWAJI NA MUULIWA WANAINGIA KWA PAMOJA?BADO SIJAIJUA USTADH WANGU
@hamynas
@hamynas 3 күн бұрын
kuhusu kukusanya swala, je mahujaj wakiwa arafat, mbona wanakusanya dhuhr na alasir pamoja?
@hamynas
@hamynas 3 күн бұрын
koran imesemaje kuhusu kupaka na kuosha viungo wakati wa wudhu?
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 4 күн бұрын
sema tu wazi!!mashia si ktk WAISLAM!!
@abiabi9353
@abiabi9353 3 күн бұрын
Majahili hawana uwezo wakuthibitisha hilo.Kama hujui ushia ndiyo uislam wa mtume
@hamynas
@hamynas 3 күн бұрын
KAMA AKISEMA HIVYO, UPI SASA NDIYO UISLAMU?MAANA MASUNI KILA WANACHOFANYA UTAKUTA MTUME SAWW HAKUFANYA HIVYO MFANO: MTUME HAKUSWALI HUKU KAKUNJA MIKONO KAMA MFUNGWA MTUME HAKUA ANASWALI HIVI WANAVYOSWALI MASUNI NA NDIYO MAANA UTAKUTA MADHEHEBU ZA KISUNI WANA NAMNA TOFAUTI TOFAUTI ZA KUFUNGA MIKONO WAKATI WA SWALA NA KILA MMOJA ANASEMA HIYO NAMNA YAKE NDIYO SAHIHI NYINGINE SIYO..BILA SHAKA HUU SIYO UISLAMU SAHIHI ALIOUACHA MTUME SAWW MWENYEWE
@hamynas
@hamynas 4 күн бұрын
imam abu hanifa anasema ISINGELIKUA MIAKA YANGU MIWILI KWA MWALIMIU JAAFAR SWADIQ (IMAM WA KISHIA) MIMI NUUMAN NINGEANGAMIA
@ibunjumuatv9502
@ibunjumuatv9502 4 күн бұрын
@@hamynas Mshia Allah akuongoze hakika
@abiabi9353
@abiabi9353 3 күн бұрын
​@@ibunjumuatv9502Awaongoze kwa lipi,maana kashawaongoza kwenye haki
@hamynas
@hamynas 3 күн бұрын
@@ibunjumuatv9502 IJIBU HIYO USIISHIE NA MANENO MATUPU, MAANA WEWE NI DEBE TUPU
@BabySheni
@BabySheni 4 күн бұрын
Dini yako mtume wako mwalimu wako
@maximusalnono6425
@maximusalnono6425 5 күн бұрын
"One proof is sufficient for the seeker of truth, but 1000 proofs are not enough for the person of desires." - Shaykh al-Albani RA Allah tuepushe na ushirikina na washirikina wenyewe
@mwanaidihassan5868
@mwanaidihassan5868 5 күн бұрын
Shukrani
@hassanmohdally5217
@hassanmohdally5217 6 күн бұрын
Mm naulizaaa walijuwajee kmaa huyoo mtto atakaezaliwaa ni wakiume siuongoo huoo😊
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 6 күн бұрын
Swadakata
@zainabJuma-x9j
@zainabJuma-x9j 6 күн бұрын
mashia si waislam ndio maana allah kawatoa mpk noor sura z2 kwakutukana maswahaba Allah awaonyeshe haqi
@HadijaShango
@HadijaShango 6 күн бұрын
Takibiih allawakibaroh Mungu wangu🎉
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 6 күн бұрын
Si wanasema Ali bin abutalib alikuwa ni SIMBA hakuwa kushimdwa na yeyote yule kwa mieleka na kwa UPANGA!!vipi waingie kwa shujaa kama ALI akubali kudhalilishwa hivyo!!Dini ya USHIA imejengwa nguzo za UWONGO!!
@KhelefuKhelefu
@KhelefuKhelefu 6 күн бұрын
omar nimuuwaji tu nahio ndio histori yeye hajawatukana hamuwezi mukaibadilisha sasa kwanini ukweli usisemwe ? kunahikma gani Alla kuleta visa katka kuran hamutaweza kuwasafisha maswahaba hatasiku 1
@salmanmagwe2612
@salmanmagwe2612 6 күн бұрын
KWA KWELI MAWAHABI SINDANO IMEWAINGIA HASWA😅JIBUNI HOJA WACHENI KURUKA RUKA .KAZI YENU KUWAONA MASWAHABA WOTE NI WAADILIFU WANAOFANANA NA MITUME!! MBONA WALILAANIANA? MBONA WALIFITINIANA? MBONA WALIUANA? MBONA BAADHI YAO WALIRITADI? MBONA WALIKIMBIA VITA NA KUMUACHA BWANA MTUME SAWW? MBONA WALIZUA? JIBUNI HOJA KIELIMU NA SIO KUONGOZWA NA HISIA ZA KIPUMBAVU
@MahmoodAhmed-yt9me
@MahmoodAhmed-yt9me 6 күн бұрын
Jalala muogope Mungu pesa zakununua mbizi na mchele kila siku utaziacha unaitia aibu Tanga
@hamynas
@hamynas 6 күн бұрын
SOMA HIZO REJEA HAPO NIMEANDIKA WACHANA NA JALALA, MASUNI NDIYO MNAOTIA AIBU VITU VIMEANDIKWA KATIKA VITABU VYENU JALALA KASOMA KATIKA VITABU VYENU
@abdallahdataguy
@abdallahdataguy 6 күн бұрын
@@hamynas ukishakuwa shia akili zinahama kichwa kinabaki kama gofu
@hamynas
@hamynas 5 күн бұрын
@abdallahdataguy maskini ya mungu,unaonyesha umekata tamaa na usuni wako,jitahidi usikate tamaa soma kijana upate elimu utaujua ukweli
@hamynas
@hamynas 5 күн бұрын
@abdallahdataguy tatizo nywele hizo zimekujaa saana si uende wakakusuke tujue moja?
@hamynas
@hamynas 5 күн бұрын
@abdallahdataguy shida inaanzia ktk huo mzigo wa nywele ,unafuga nywele miingi namna hiyo utakua na cha maana cha kuongea?
@saidaly8201
@saidaly8201 6 күн бұрын
Kwan mki waita mkaek mdahalo tuka angalia hoja za kielimu na so kukurpuka tu
@abdallahdataguy
@abdallahdataguy 6 күн бұрын
ukishakuwa shia akili zinahama kichwa kinabaki kama gofu
@SaidiMohamed-bj2wg
@SaidiMohamed-bj2wg 6 күн бұрын
Usibweke wala usilie mlio wangurue toa dalili katika qur an nasunnah wapi kuna tauhid3
@SaidiMohamed-bj2wg
@SaidiMohamed-bj2wg 6 күн бұрын
Fauzani ndo kitabu nasnnah teña kwenye aqida
@hamynas
@hamynas 6 күн бұрын
KUMUUDHI FATIMA NI KUMUUDHI MTUME MWENYEWE ,NA KUMUUDHI MTUME UMEMUUZI ALLAH HII NI ITIKADI SAHIHI KABISA KWA MASUNI WOOTE WANAKUBALIANA PASI NA SHAKA KAMA ILIVYORIPOTIWA KTK VITABU VYAO SAHIHI Sahih al-Bukhari, Arabic-English, v5, Traditions #61 and #111 - Sahih Muslim, section of virtues of Fatimah, v4, pp 1904-5 KWA KUWA UMAR NA ABUBAKAR NA MASWAHABA WENGINE TUMETAJA HAPO JUU WAMEMUJDHI FATIMA ,SIJUI MASUNI MNASEMAJE?WACHENI POROJO ZA MASHEIKH ZENU HAWA KINA MAFUTA,SOMENI MAANDISHI YA VITABU VYENJ MJIKATAE WENYEWE HAKUNA LONGOLONGO WALA NINI
@abdallahdataguy
@abdallahdataguy 6 күн бұрын
ukishakuwa shia akili zinahama kichwa kinabaki kama gofu
@hamynas
@hamynas 6 күн бұрын
KUMUUDHI FATIMA NI KUMUUDHI MTUME MWENYEWE ,NA KUMUUDHI MTUME UMEMUUZI ALLAH HII NI ITIKADI SAHIHI KABISA KWA MASUNI WOOTE WANAKUBALIANA PASI NA SHAKA KAMA ILIVYORIPOTIWA KTK VITABU VYAO SAHIHI Sahih al-Bukhari, Arabic-English, v5, Traditions #61 and #111 - Sahih Muslim, section of virtues of Fatimah, v4, pp 1904-5 KWA KUWA UMAR NA ABUBAKAR NA MASWAHABA WENGINE TUMETAJA HAPO JUU WAMEMUJDHI FATIMA ,SIJUI MASUNI MNASEMAJE?WACHENI POROJO ZA MASHEIKH ZENU HAWA KINA MAFUTA,SOMENI MAANDISHI YA VITABU VYENJ MJIKATAE WENYEWE HAKUNA LONGOLONGO WALA NINI
@abdallahdataguy
@abdallahdataguy 6 күн бұрын
ukishakuwa shia akili zinahama kichwa kinabaki kama gofu
@hamynas
@hamynas 6 күн бұрын
Najua masuni wanapenda saana sahih bukhar...naye aliandika katika kitabu chake kuwa FATIMA ALIWACHUKIA ABUBAKAR NA UMAR MPAKA ANAKUFA , NA ALIUSIA WASISOGELEE JENEZA LAKE WALA KUSHIRIKI MAZISHI YAKE NA AZIKWE USIKU WATU WENGINE WASIJUE KABURI LAKE LIPO WAPI KAMSOMENI BWANA MKUBWA IMAM BUKHAR KAANDIKA KATIKA KITABU CHAKE HAPA Sahih al-Bukhari, Chapter of "The battle of Khaibar", Arabic-English, v5, tradition #546, pp 381-383, also v4, Tradition #325
@abdallahdataguy
@abdallahdataguy 6 күн бұрын
ukishakuwa shia akili zinahama kichwa kinabaki kama gofu
@hamynas
@hamynas 6 күн бұрын
umar na abubalar walilaaniwa na bibi fatima a s na hata walipomtembelea wakati anaumwa kitandani kumuomba msamaha kwa madhila waliyomfanyia aliwakatalia na akasema akifika kwa mtume saww atawashitaki na kumwambia walimtesa HAYA MANENO YA WANAZUONI WA KISUNI KAMA WALIVYOANDIKA HAPA al-Imamah wa al-Siyasah, by Ibn Qutaybah, v1, p14).
@abdallahdataguy
@abdallahdataguy 6 күн бұрын
ukishakuwa shia akili zinahama kichwa kinabaki kama gofu
@hamynas
@hamynas 6 күн бұрын
umar bin khatwab alienda kweli ktk nyumba ya bibi fatima akampiga na kumuumiza na kumuacha na majeraha na pia walimchukua imam ali aende kutoa kiapo cha utii pasi na ridhaa yake..haya maneno kayasema mwanazuoni wa kisuni anayeheshimika Abul Hasan, ‘Ali Ibn al-Husayn al-Mas’udi katika kitabu chake ‘Isbaat al-Wasiyyah’
@abdallahdataguy
@abdallahdataguy 6 күн бұрын
ukishakuwa shia akili zinahama kichwa kinabaki kama gofu
@hamynas
@hamynas 6 күн бұрын
umar bin khatwab alienda kweli ktk nyumba ya bibi fatima akampiga na kumuumiza na kumuacha na majeraha na pia walimchukua imam ali aende kutoa kiapo cha utii pasi na ridhaa yake..haya maneno kayasema mwanazuoni wa kisuni anayeheshimika Abul Hasan, ‘Ali Ibn al-Husayn al-Mas’udi katika kitabu chake ‘Isbaat al-Wasiyyah’
@abdallahdataguy
@abdallahdataguy 6 күн бұрын
ukishakuwa shia akili zinahama kichwa kinabaki kama gofu
@ibunjumuatv9502
@ibunjumuatv9502 6 күн бұрын
Poleni MASHIA Haqq inauma saaana vumilieni Ma Allah awaongoze katika haqq
@hamynas
@hamynas 6 күн бұрын
HILI SIY OJIBU LA KIELIMU HATA KIDOGO BALI UNAONYESHA KUKATA TAMAA MAANA NIMEKUTANDIKA NA POST YAKO KWA REJEA ZILIZOSHIBA ZA KISUNI,UMEBAKIA KUJIBU VIJINENO VYA KEJELI KEJELI TUU....WEWE KAMA MWAMBA CHUKUA REJEA MOJA TUU NILIYOANDIKA HAPA KATIKA REJEA KARIBIA 100 UIELEEZEE TUKIONE KAMA UNA JITAMBUA😁😁😁
@ibunjumuatv9502
@ibunjumuatv9502 6 күн бұрын
Kuna shia maskini hapa moyo wataka kumtoka kwa bayana wanazozipata WAISLAMU kunako kundi hili lankishia
@hamynas
@hamynas 6 күн бұрын
maulamaa wa kisuni kama hawa ktk vitabu vyao wameelezea jambo hili kwa ufasaha sana kawasome hawa in his book ‘Saqifah’, Abu Waleed Muhibbuddin Muhammad al-Shahnah al-Hanafi in his book ‘Rawdhat al-Manadhir Fi Akhbaar al-Awayil wal-Aawaakhir’, Ibn Abil Hadid in his book ‘Sharh al-Nahj’,
@saidaly8201
@saidaly8201 6 күн бұрын
Elimu hawan na hawatk kuisoma dini wengne wameambwa na walim wao mmbo hayo msisome yachen mashaba hat wakifny makosa hawan. Mkosa
@hamynas
@hamynas 6 күн бұрын
@@saidaly8201 HILO NI KOSA KABISA, MASHEIKH ZAO KAMA HUYU MAFUTA WANATEMBEA NA MAVITABU KAMA SAHIH BUKHAR WANASIMAMA KATIKA MIMBAR NA KUWAAMBIA OOH HAYA MAMBO NI YA KISHIA LAKINI KATIKA MAKWAPA YAO WAMEBEBA VITABU VIMEANDIKA HAYO MAMBO...HIII NI AKILI YA PUNDA KUBEBA VITABU NA KUTOJUA KILICHOANDIKWA NDANI YAKE
@abdallahdataguy
@abdallahdataguy 6 күн бұрын
ukishakuwa shia akili zinahama kichwa kinabaki kama gofu
@hamynas
@hamynas 6 күн бұрын
kuhusu kuchoma nyumba kulikofanywa na umar kasomeni ktk vitabu vya kisuni Iqd al-Fareed, by Ibn Abd Rabb, Part 3, Pg. 63 - al-Ghurar, by Ibn Khazaben, related from Zayd Ibn Aslam - al-Ghurar, by Ibn Khazaben, related from Zayd Ibn Aslam
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 6 күн бұрын
Acha njaa fuata haqq.
@hamynas
@hamynas 6 күн бұрын
@Hamis-ks1sy umesoma mpaka kiwango gani? nakuona una maneno matupu tuu ya kijahili huna hoja hata moja
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 6 күн бұрын
@@hamynas Mashia wengiwao makafiri na wapo Waislamu
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 6 күн бұрын
@@hamynas Unaweza ukasoma ukawa PHD lakini ukiwa shia utakua jaahil murakkab.
@hamynas
@hamynas 6 күн бұрын
@Hamis-ks1sy ipo rahisi saana...nimeweka hivyo vitabu..wewe umeviona?ulishawahi kuvisikia?unaamini vikiandikwa na maulamaa wa kisuni? tuanzie katika hivyo vitabu kwanza maana usilete siasa hapa
@hamynas
@hamynas 6 күн бұрын
ni kweli swahaba umar bin khatwab alichukua kijinga cha moto na kusema anaichoma nyumba kama maswahaba hawatoki nje, wale wakora wenzie walimuuliza EWE UMAR HUMO NDANI YUPO BINTI YA MTUME?AKASEMA NDIYO NINI NAICHOMA...😂😂 kasomeni hapa ktk vitabu vya kisuni imeandikwa al-Imamah wa al-Siyasah by Ibn Qutaybah, v1, pp 3,19-20
@abdallahdataguy
@abdallahdataguy 6 күн бұрын
ukishakuwa shia akili zinahama kichwa kinabaki kama gofu
@hamynas
@hamynas 6 күн бұрын
maswahaba wafuatayo wametajwa kuwa ndiyo walioongoza genge la wavamizi katika nyumba ya binti ya mtume saww na kumkosea adabu - Umar Ibn al-Khattab - Khalid Ibn Walid - Abdurrahman Ibn Ouf - Thabit Ibn Shammas - Ziad Ibn Labid - Muhammad Ibn Maslamah - Salamah Ibn Salem Ibn Waqash - Salamah Ibn Aslam - Usaid Ibn Hozair - Zaid Ibn Thabit
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 6 күн бұрын
Mashia wote ambao wawasema hovyo swahaba Allah awadhalilishe
@hamynas
@hamynas 6 күн бұрын
@Hamis-ks1sy utadhslilika wewe kwanza kabla yq mashia,sababu unaomba dua ya hovyo kabisa amabyo inakurudia wewe na msuni wenzio na maulamaa wa kisuni .KAMA UNA NIA YA KUJUA UKWELI WA NIYASEMAYO KASOME VITABU NA REJEA NIMEZIANDIKA KAYIKA HII POST HUU NI MJADALA WA KIELIMU WALA HAUHITAJI MAHABA NA KUKOMAA WALA KUTUKANA WALA LAANA NA KULAANI,LA HASHAAA NI KUSOMA TUU BWAMA MKUBWA HA HA HA HAAA
@abdallahdataguy
@abdallahdataguy 6 күн бұрын
ukishakuwa shia akili zinahama kichwa kinabaki kama gofu
@hamynas
@hamynas 6 күн бұрын
nyakati za mwisho za khalifa abubakar wakati yuakaribia kufa alinukuliwa akisema maneno haya na yameandikwa ktk vitabu vya kisuni wala si vya kishia...NAJUTA KWA NINI NILITUMA WATU WAENDE KTK NYUMBA YA BINTI YA MTUME SAWA NA KUMUUDHI JAPOKUA KUACHA ILE NYUMBA ITUMIKE KAMA HIFADHI YA MASWAHABA WANAOPINGA UTAWALA WANGU INGELETA UVUNJIFU WA AMANI... someni haya maneno ktk vitabu vya kisuni kama hivi......History of Ya’qubi, v2, pp 115-116 - Ansab Ashraf, by al-Baladhuri, v1, pp 582,586