MJENZI WA NYUMBA TZ.  Kazi yake
7:03
9 сағат бұрын
MJENZI WA NYUMBA TZ. colour mixing
1:01
9 сағат бұрын
MJENZI WA NYUMBA TZ.  Ujenzi wa Nyumba
6:15
12 сағат бұрын
MJENZI WA NYUMBA TZ. 20240518 153726
0:42
16 сағат бұрын
MJENZI WA NYUMBA TZ. kazi zinaendelea
1:01
Пікірлер
@Peixinh0.538
@Peixinh0.538 18 сағат бұрын
The minons battle
@mjenziwanyumbatz
@mjenziwanyumbatz 18 сағат бұрын
Yes
@KilimbikeHaji-iy2fm
@KilimbikeHaji-iy2fm 2 күн бұрын
Bei gani Kwa bati ya futi sita na fut kumi na mbili
@mjenziwanyumbatz
@mjenziwanyumbatz 2 күн бұрын
Asante sana kwa sawli lako zuri naomba nikujulishe kuwa mimi ni fundi pia ninafundisha elimu ya bati na maswala yanayo ihusu nyumba kwa ujumla kwahiyo mimi sio mfanyabiashara pia sifanyi kazi kwenye kiwanda cha bati, karibu tena
@lemngeutouh3226
@lemngeutouh3226 5 күн бұрын
Mjenzi nikitaka unijengee mwanza inawezekana?
@mjenziwanyumbatz
@mjenziwanyumbatz 4 күн бұрын
Ndiyo inawezekana kabisa
@patrickwasesa4495
@patrickwasesa4495 5 күн бұрын
ah, mwalimu! hilisomo kali kweli kweli
@mjenziwanyumbatz
@mjenziwanyumbatz 4 күн бұрын
Asante sana Karibu sana uendelee kujifunza
@patrickwasesa4495
@patrickwasesa4495 7 күн бұрын
hilisomo nzuri sana mwalimu! baati mbaya nimechelewa kulifata live sababu yakuishi vocha ila kwangu mimi ninaweza kupiga maesabu yajengo lolote kupitia hu mwelekezo. asante sana mwalimu! sasa ninaswali, mafundo mafundo kwenye plasta inatokana na nini?
@mjenziwanyumbatz
@mjenziwanyumbatz 7 күн бұрын
Asante sana karibu tena
@lemngeutouh3226
@lemngeutouh3226 7 күн бұрын
Unapatikana mkoa gani mjenzi wa nyumba?
@mjenziwanyumbatz
@mjenziwanyumbatz 7 күн бұрын
Napatikana Dar mbezi kwa msuguri
@patrickwasesa4495
@patrickwasesa4495 12 күн бұрын
tufundishe mwalimu,achana nawatu wasiopenda kuongozwa
@mjenziwanyumbatz
@mjenziwanyumbatz 12 күн бұрын
Sawa sawa endelea kufuatilia
@DenisOligi
@DenisOligi 13 күн бұрын
ramani ya hii nyumba nitaipata kwa shilingi ngapi
@mjenziwanyumbatz
@mjenziwanyumbatz 13 күн бұрын
Laki mbili
@nyotaomari1610
@nyotaomari1610 15 күн бұрын
Hbr yako, nipe namba yako
@mjenziwanyumbatz
@mjenziwanyumbatz 15 күн бұрын
+255 765 937 090 Karibu sana
@patrickwasesa4495
@patrickwasesa4495 16 күн бұрын
hizo nguzo zahiyonyumba mnazibomoa sababuyanini?
@radhiaomary5591
@radhiaomary5591 16 күн бұрын
Kasema zimepindishwa kwenye post ya kwanza
@mjenziwanyumbatz
@mjenziwanyumbatz 16 күн бұрын
Hiyo kazi kunafundi alianza akapindisha sana nguzo ikalazimika mwenye nyumba kubadilisha fundi ndipo nilipoitwa mimi nikaanza marekebisho hadi hatua ya mwisho nitaendelea kuziposti clips kuonyesha hatua zote hadi kazi inaishi
@mjenziwanyumbatz
@mjenziwanyumbatz 16 күн бұрын
Ni kweli kabisa
@patrickwasesa4495
@patrickwasesa4495 17 күн бұрын
hilijengo lilisababishwa nanini kusimamishwa kipindi chote hicho?
@mjenziwanyumbatz
@mjenziwanyumbatz 17 күн бұрын
lilisimama baada ya kuishiwa pesa
@AllyAlly-r7t
@AllyAlly-r7t 17 күн бұрын
well spoken
@mjenziwanyumbatz
@mjenziwanyumbatz 17 күн бұрын
Thank you very much Well come again
@patrickwasesa4495
@patrickwasesa4495 18 күн бұрын
hu muonekano,njo tayari limeisha kamilika ao bado niramanitu! ah jengonzuri kwelikweli mwalimu
@mjenziwanyumbatz
@mjenziwanyumbatz 18 күн бұрын
Hiyo ni Ramani jengo bado linaendelea kujengwa
@patrickwasesa4495
@patrickwasesa4495 18 күн бұрын
hilijengo lilisimama kwanza sababuyanini?
@mjenziwanyumbatz
@mjenziwanyumbatz 18 күн бұрын
Hilo jengo lilisimama kwasababu waliishiwa pesa
@patrickwasesa4495
@patrickwasesa4495 20 күн бұрын
mwalimu,somonzuri lakini video fupi tena hamkunenepesha
@mjenziwanyumbatz
@mjenziwanyumbatz 20 күн бұрын
Sawa nitairudia tena. Karibu sana
@lemngeutouh3226
@lemngeutouh3226 22 күн бұрын
Mjenzi wewe unapatikana mkoa upi?
@mjenziwanyumbatz
@mjenziwanyumbatz 21 күн бұрын
Dar mbezi kwa Msuguri Karibu sana
@johnlimbuni6142
@johnlimbuni6142 22 күн бұрын
Ongera kwa ushauli
@mjenziwanyumbatz
@mjenziwanyumbatz 21 күн бұрын
Asante sana Karibu tena
@Maisatisfying1-tv
@Maisatisfying1-tv 27 күн бұрын
tuyet v
@mjenziwanyumbatz
@mjenziwanyumbatz 23 күн бұрын
🤝
@kijanamwepesi6997
@kijanamwepesi6997 Ай бұрын
Ndugu upo vzri nmeipenda hii video haufichi kitu yani ukwel mtupu ubarikiwe
@mjenziwanyumbatz
@mjenziwanyumbatz Ай бұрын
Shukran sana Karibu tena
@DenisOligi
@DenisOligi Ай бұрын
Mimi nipo musoma mjini, nitapataje ramani ya vyumba viwili nasebule moja, gharama ni kiasi gani cha pesa kuanzia msingi mpaka kupauwa?
@mjenziwanyumbatz
@mjenziwanyumbatz Ай бұрын
Ramani unatumiwa kwa njia ya WhatsApp popote ulipo duniani tuwasiliane kwa 0765937090. karibu sana
@bonnyrao7849
@bonnyrao7849 Ай бұрын
Habari, hizi tofali zinapatikana wapi na bei yake ni shilingi ngapi
@mjenziwanyumbatz
@mjenziwanyumbatz Ай бұрын
Hizi tofali zinatengenrzwa kwa oda
@bonnyrao7849
@bonnyrao7849 4 күн бұрын
Sawa bei yake?
@mjenziwanyumbatz
@mjenziwanyumbatz 4 күн бұрын
​@@bonnyrao7849ni shilingi mia tatu kwa tofali moja matirio yote ni yakwako
@patrickwasesa4495
@patrickwasesa4495 Ай бұрын
sasa,hujenzi wabila kujenga nasimenti yaani kupangatu tofali jehapa nyumba itakaza mwalimu?
@mjenziwanyumbatz
@mjenziwanyumbatz Ай бұрын
Ndiyo Nyumba inakuwa imara na inatumia gharama kidogo pia inajengwa kwa tofali maalumu
@patrickwasesa4495
@patrickwasesa4495 Ай бұрын
sisimafundi hatuna kosa hatamoja yaani mtu akilachake tatizo likowapi hatakama sijaanza kaziyako nikikuomba pesakidogo kulingana namshaara wangu wewenipe kibaya nikuto kutumika hiyokazi yako!
@mjenziwanyumbatz
@mjenziwanyumbatz Ай бұрын
Kosa ni kuomba mshahara kabla ya kuanza kazi
@graceewambui836
@graceewambui836 Ай бұрын
Asante sana👍 2:34
@mjenziwanyumbatz
@mjenziwanyumbatz Ай бұрын
Shukran sana karibu tena
@halimamvungi1
@halimamvungi1 Ай бұрын
Mbao ,misumari ,hujatutajia
@mjenziwanyumbatz
@mjenziwanyumbatz Ай бұрын
Mahesabu yote yapo mteja aliye inunua ndiyo anapata na mahesabu ya kila kitu
@ShakilaHaruna-p4c
@ShakilaHaruna-p4c Ай бұрын
@mjenziwanyumbatz
@mjenziwanyumbatz Ай бұрын
🤝
@danyhas8947
@danyhas8947 Ай бұрын
Je kwenye ujenzi nilazima kutumia nondo kwenye msingi na renta
@mjenziwanyumbatz
@mjenziwanyumbatz Ай бұрын
Kama upo kwenye ukanda wa pwani kama vile dar na pwani na maeneo mengine yenye ardhi kama ya dar ni lazima kuweka nondo kwenye renta maeneo mengine hayana ulazima kwakuwa ardhi yake ni ngumu naimara. karibu tena
@romanagasped9425
@romanagasped9425 Ай бұрын
Nakupataje
@mjenziwanyumbatz
@mjenziwanyumbatz Ай бұрын
Napatikana kwa whatsApp 0765937090 simu ya kawaida 0712937090 karibu sana
@hassankilingo3748
@hassankilingo3748 Ай бұрын
Kama nondo haijatimia urefu wa futi 40. Inakuwaje?
@mjenziwanyumbatz
@mjenziwanyumbatz Ай бұрын
Kama haijafika futi 40 hiyo nondo itakuwa imechakachuliwa
@Rukiasalimu-ej1mp
@Rukiasalimu-ej1mp Ай бұрын
Minahitaji mawasiliano lakini haupatikani
@mjenziwanyumbatz
@mjenziwanyumbatz Ай бұрын
WhatsApp 0765937090 Simu 0712937090 Karibu sana
@Rukiasalimu-ej1mp
@Rukiasalimu-ej1mp Ай бұрын
Sasa mbona namba ulio weka haiko. Wasap
@mjenziwanyumbatz
@mjenziwanyumbatz Ай бұрын
Kutakuwa na shida ya mtandao sehemu uliyopo
@mjenziwanyumbatz
@mjenziwanyumbatz Ай бұрын
Jaribu tena na tena
@patrickwasesa4495
@patrickwasesa4495 2 ай бұрын
kweli mwalimu, nyinyi mnaita ring sisitunait etrier
@mjenziwanyumbatz
@mjenziwanyumbatz 2 ай бұрын
Sawa sawa Kila sehemu kuna majina yao
@tegarmusabaron6979
@tegarmusabaron6979 2 ай бұрын
Blue + Yellow = Green Blue + Red = Purple Yellow + Red = Orange Blue + Green + Red = White White + Blue = Sky Blue White + Red = Pink Blue + Yellow + Red = Black Black + White = Grey Red + Green = Brown
@mjenziwanyumbatz
@mjenziwanyumbatz 2 ай бұрын
Thank you
@tegarmusabaron6979
@tegarmusabaron6979 2 ай бұрын
@@mjenziwanyumbatz Your welcome
@tegarmusabaron6979
@tegarmusabaron6979 2 ай бұрын
@@mjenziwanyumbatz Your welcome
@Saidy-eu1hc
@Saidy-eu1hc 2 ай бұрын
Nice
@mjenziwanyumbatz
@mjenziwanyumbatz 2 ай бұрын
Asante sana
@patrickwasesa4495
@patrickwasesa4495 2 ай бұрын
mwalimu,mbona nyumbakubwahii? ni ospitali ao?
@mjenziwanyumbatz
@mjenziwanyumbatz 2 ай бұрын
Hilo ni jengo la kulala wanafunzi
@AnnaNeri-q3h
@AnnaNeri-q3h 2 ай бұрын
Habari fundi unapatikana kwa namba gani
@mjenziwanyumbatz
@mjenziwanyumbatz 2 ай бұрын
Salama Simu 0712937090 WhatsApp 0765937090
@Sabratheboss-gd6ie
@Sabratheboss-gd6ie 2 ай бұрын
Nikiitaji ramanj
@mjenziwanyumbatz
@mjenziwanyumbatz 2 ай бұрын
Maelezo yapo kwenye hiyo video
@gracekunambi7438
@gracekunambi7438 2 ай бұрын
Umeeleweka sana na vip zile nyumba zinazojengwa kwenye miinuko mana zenyewe tayari zitakuwa na msingi mrefu ukiongeza kozi hizo si itakuwa ndefu sana, haitaleta shida kwa mfano upepo
@mjenziwanyumbatz
@mjenziwanyumbatz 2 ай бұрын
@@gracekunambi7438 msingi mrefu hujengwa bondeni ili kukabiliana na mafuliko na kwenye mwinuko hatujengi msingi mrefu kwakuwa hakuna mafuriko
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا Ай бұрын
​@@mjenziwanyumbatznamba ya simu
@ManswetKimario
@ManswetKimario 2 ай бұрын
Asante nimejifunza kitu. Nina swali je, ni sawa kuweka moramu badala ya mawe kutengeneza jamvi?
@mjenziwanyumbatz
@mjenziwanyumbatz 2 ай бұрын
Moramu ninayo ifanamu mimi ni aina ya kokoto ndogo ndogo nyeusi ikiwa ndiyo unazo maanisha jibu ni hapana hizo ikiwa inamaanisha udongo wa kawaida wa kuchimba mashambani au kifusi chote mawe mawe jibu ni ndiyo
@bientismail5117
@bientismail5117 2 ай бұрын
Fundi unapatikana Tz mkoa gani?
@mjenziwanyumbatz
@mjenziwanyumbatz 2 ай бұрын
Nipo Dar Karibu sana tuweze kufanya kazi pamoja
@mjenziwanyumbatz
@mjenziwanyumbatz 2 ай бұрын
Hapo inategemea sana sehemu unayo jenga na ni matirio gani utakayo yatumia kati ya mawe, block au tofali za kuchoma. Maana hivyo ndio namba moja
@kijanamwepesi6997
@kijanamwepesi6997 2 ай бұрын
Je hio futi mbili ni nyumba ya aina gani
@mjenziwanyumbatz
@mjenziwanyumbatz 2 ай бұрын
Nyumba yeyote isipokuwa ya ghorofa
@kijanamwepesi6997
@kijanamwepesi6997 2 ай бұрын
@@mjenziwanyumbatz safi sana mkuu ila npo na swali unapo taka kuanzisha ujenzi wa pole pole ni material gani ya muhimu unayo takiwa kuanza kuinunua ndio zengne zifuate?
@viatorykashabizi2538
@viatorykashabizi2538 2 ай бұрын
Unamaanisha pamoja na finishing?
@mjenziwanyumbatz
@mjenziwanyumbatz 2 ай бұрын
Msingi hadi paa na ufundi pamoja na matirio. Finishing haijajumlishwa
@deogratiuslimu1393
@deogratiuslimu1393 2 ай бұрын
Nice
@mjenziwanyumbatz
@mjenziwanyumbatz 2 ай бұрын
Asante sana
@bientismail5117
@bientismail5117 2 ай бұрын
Kenya unaweza kuja kujenga
@mjenziwanyumbatz
@mjenziwanyumbatz 2 ай бұрын
Ndiyo
@mkamaproducer
@mkamaproducer 2 ай бұрын
Vip kuhusu kokoto broo
@mjenziwanyumbatz
@mjenziwanyumbatz 2 ай бұрын
kokoto nimezifundisha vizuri kwenye somo linalo jitegemea
@ngumuyamtaa3562
@ngumuyamtaa3562 2 ай бұрын
Tuko pamoja kaka
@mjenziwanyumbatz
@mjenziwanyumbatz 2 ай бұрын
Shukran sana
@RobertLyimo-vj3up
@RobertLyimo-vj3up 2 ай бұрын
Bei zake shi ngap
@mjenziwanyumbatz
@mjenziwanyumbatz 2 ай бұрын
Bei hutofautiana kati ya mkoa na mkoa pia duka na duka ila ni kati ya Elfu 19 hadi 23 elfu.
@ruvinaanold5983
@ruvinaanold5983 3 ай бұрын
Unyama
@mjenziwanyumbatz
@mjenziwanyumbatz 3 ай бұрын
Asante sana karibu tena