Kaka kinanda kinachukuwa usikivu asilimia 50 wa unacho zungumza
@rainerymwinuka4102Ай бұрын
great
@sein632Ай бұрын
Nimejifunza kitu, ubarikiwe
@RaelNdiema-b9oАй бұрын
Amen thanks for the advice,be blessed
@jifunzekituhapa2 ай бұрын
❤
@jifunzekituhapa2 ай бұрын
Asante kwa darasa
@ramlatomary25362 ай бұрын
Shukran
@RuthFrimin2 ай бұрын
Thank you 😊
@sfiniyussur44602 ай бұрын
Kaka sauti haiko sawa samahani.content nzuri lakini vinanda vimezidi sauti.
@RuthFrimin2 ай бұрын
Mhmm 🙄mbona Iko poa jamon
@erastomalila32212 ай бұрын
Nimejifunza mengi ktk somo hili
@EliasMwinuka2 ай бұрын
Karibu sana
@agnesignas43982 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏
@Ibnroja3 ай бұрын
Good talent
@BERTHABERTHASTEVEN3 ай бұрын
Ubarikiwe
@BERTHABERTHASTEVEN3 ай бұрын
Nimeipenda hiyo umenena lakni house kipper hawezi akawa amemaliza na akubali kufanya hiyo kaz maboss wao hua wanafanya makusudi na kuwadharau
@happypaulo79543 ай бұрын
Mungu akutunze kaka elias
@happypaulo79543 ай бұрын
Kweli kabisaaaa huwa tunamhitaji mtu mmoja tu katika maisha .... Nakumbuka kuna kipindi nilikata tamaa kuwa sitaweza kwenda chuo kikuu lakini alikwepo mtu mmoja ambaye ni wewe aliyetambua thamani yangu na kutoa order kwa mkurugenzi wa kituo fulani hadi sasa niko hapa nilipo ....ulikuwa upo ofisi za CIT)... Mungu akuhifadhi milele kwa ajili ya kuwavusha watu wenye maono
@happypaulo79543 ай бұрын
Hii ni kweli kabisa na nimelishuhudia
@happypaulo79543 ай бұрын
Mungu azidi kukuinua mr Elias
@henerikokasiani77263 ай бұрын
❤
@happypaulo79543 ай бұрын
Kaka Elias Mungu akutunze milele
@magretmwinukafarijala3 ай бұрын
Nguruvi atutangage mwee😊
@magretmwinukafarijala3 ай бұрын
Ndiwenda nene😅
@BrendaJoseph-n3z4 ай бұрын
Nshapitiuko mpakasasa sinahamu yakuwa na mke nifanyajetena
@EliasMwinuka3 ай бұрын
Wasiliana nami kupitia namba zilizo kwenye video tukusaidie
@ThomasNghwani-nw6rx4 ай бұрын
somo zuri sana
@holomwangi28064 ай бұрын
❤
@henerikokasiani77264 ай бұрын
Safi 🎉
@stanslausntatiye56214 ай бұрын
Kila apendaye mafundisho hupenda maarifa.!
@Ibnroja4 ай бұрын
Sauti IPO chini sana kak
@hassankamosi75164 ай бұрын
Uko vizuri. Oni langu naomba uangalie chumba kipindi una record mana hapa nimepata shida kusikiza
@aishaabdallah45604 ай бұрын
Nimeichukua hii kaka ❤
@motivationskill_4 ай бұрын
Napenda san upo kisayansi zaid
@motivationskill_4 ай бұрын
Napenda sana unatoa critical mind
@motivationskill_4 ай бұрын
Hongera endelea kutupa chakula cha ubongi
@josephshiyo83564 ай бұрын
sawa kaka nimekuelewa
@BERTHABERTHASTEVEN4 ай бұрын
Kwasabbu mtoto atapata changamoto kwenye ulaji hata namazingira pia yakichangia kua magumu je mzazi huyo utamshaulije
@BERTHABERTHASTEVEN4 ай бұрын
Je Unamshauri vip mzazi Alieharakia kuzaa kwenye wakati mgumu kwamfano hana uwezo wakutumia lishe kwaajiil yamtoto amlee vivyohivyo au afanyaj
@BERTHABERTHASTEVEN4 ай бұрын
Real sir ahsanteh kwa elimu nzur
@FurahaRuwa4 ай бұрын
Acha nijipende mwenyewe sababu Sina bahati katika mahusiano kabisa
@hamidahamidu164 ай бұрын
❤
@GyanMjema-vo2jq2 ай бұрын
Pole😢
@happnesskitumbo57134 ай бұрын
Kuanzia Leo nitaanza kukufuatilia maana unaongea fact Sana zinazonisaidia.