SHILOLE ALIKUWA PISI SANA BILLNASS ALIKUWA BWEGE ANACHEKA CHEKA TU😂😂
@Peterchila-un2lx7 күн бұрын
Alikuwa bwege mshamba kama wewe kengeeeeee
@spartachize12214 күн бұрын
Yaani nenga bdo ndio anajitafuta apa😂😂😂mnyonge kama nn
@atenionesmo_A1016 күн бұрын
wasani watapewa lakilaki2
@user-wr7io8lh6j16 күн бұрын
Alafu huyu jamaa anahojiwa juzi kati na wasafi anasema ana miaka 38......unataka kuniambia apo alikuwa ana miaka 30..?????huyu jamaa kwenye miaka 45 uko na kuendelea dadeki
@happynkya97707 күн бұрын
Miaka yake itakusaidia nn aseme 60 aseme mia aseme 20,, wooi watu bhna
@stn487317 күн бұрын
Shilole body ilikua kinanda....kala mivyakula hovyo na mipombe sasa hivi yupo kama KIBOKO
@khamisrubea508315 күн бұрын
😂😂😂
@kulyafx-c9h20 күн бұрын
Baba levo kuchekesha ajaanza Leo kwaiyo mtakaaa mwijaku haukiwez hiki kichwa
@abednego387626 күн бұрын
Eti ss ivi ni bilionea
@abednego387626 күн бұрын
Dah kweli mungu hamuachi mja wake
@atenionesmo_A1016 күн бұрын
kweli
@imanuelmwakalilaАй бұрын
Le 2024
@veryboyplatnumz35062 ай бұрын
Billnass anatakiwa ahmeshimu baba levo😅
@abdallavictory67237 ай бұрын
Vitabu vyake vinapatikana wapi? Nlivipenda sana.
@patelmpene3650 Жыл бұрын
Shish na baba levo wametoka maal
@dinyoabeli90283 жыл бұрын
Baba level another level
@mwambafamily4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/bZjMoWWNZbWcaqs
@jafarykhamis29554 жыл бұрын
Like Kama unamkubal baba levo twende sawa.
@jafarykhamis29554 жыл бұрын
Diwan wa mwanga kaskazin Ni.🔥🔥🔥🔥🔥..
@babuufadhili17594 жыл бұрын
Hahahaha. Baba levo atariii
@emelicknchimbi14114 жыл бұрын
yupo good napenda sana fx zake
@eliyudbilala94145 жыл бұрын
baba revo
@maryamhassan63415 жыл бұрын
weeeeee
@adilinanduguze24645 жыл бұрын
Mh D1 nakukubali sana
@eliyudbilala94145 жыл бұрын
kigoma noma
@ngugimmoro49885 жыл бұрын
Mr Diwani
@amanirajabu92625 жыл бұрын
Amka mrembo... Ikwap mzee iboreshe hujawah kufanya ngoma kamahio
@Zenjentertaiment5 жыл бұрын
n
@dksportsboxing7685 жыл бұрын
No talent ass bitches
@princeuzieri45486 жыл бұрын
Hahahhaha baba levo nakubali mahojiano yako sio yaubweke
@sonson92826 жыл бұрын
Gifted
@stephenmalilo98337 жыл бұрын
Huwezi choka kumsikiliza huyu jamaa......
@jeffreymwandepu31657 жыл бұрын
Actually huwa naenjoy sana kampani ya baba levo na shishi na vilevile babalevo na msechu kampani zao bomba sana!