UJENZI WA SEKONDARI YA KASERA WAANZA
2:04
9 сағат бұрын
Пікірлер
@hamisisheshe9519
@hamisisheshe9519 2 күн бұрын
Huu mji bhana siyo hayo maji taka ukitokea kuanzia pongwe mji umejaa majani maeneo ya kange limeni vichaka mji uonekane
@jacksonmbamilwa2242
@jacksonmbamilwa2242 3 күн бұрын
Mbuyuni shule ya kihistoria
@MichaelVunja-c1m
@MichaelVunja-c1m 4 күн бұрын
Nyie bado amko vizuri kwenye uandaaji wa habari kwa sababu hakuna habri ya source mmoja labda iwe ni information hamjui nini mnakifanya hili lifanyieni kazi Hapo ingebidi muongee na wazazi walimu wanafunzi na huyo mbuge pengine ndio ingekuwa news kwa hapo hakuna stori
@AhmedAbdallah-r5i
@AhmedAbdallah-r5i 6 күн бұрын
Oh mzee toli poleni
@bakarikombo4039
@bakarikombo4039 8 күн бұрын
Mbona Tanga tv haipo hewani?
@tanzanite9944
@tanzanite9944 9 күн бұрын
Kwenye Kata ilitakiwa kujengwa Kitio cha Afya na sio Zahanati. Serkali kuu inasema Zahanati zijengwe kila Kijiji na Vituo vya Afya vijengwe kila Kata. Kwanini Msambweni ni Kata na mnataka kujenga Zahanati, kwanini?
@SensetionHotel-f1d
@SensetionHotel-f1d 10 күн бұрын
Tanga inabadilika kila kukicha
@bakarikombo4039
@bakarikombo4039 15 күн бұрын
Tanga tv mbona hamko hewani muda mrefu kulikoni?
@bakarikombo4039
@bakarikombo4039 15 күн бұрын
Mabanda ya papa mpaka maere kuwekwelami haraka kwasababu NI ndani yajiji
@hamisisheshe9519
@hamisisheshe9519 18 күн бұрын
siasa siasa tu maendeleo hakuna jengo hilo limekuwa gofu tu serikali imetumia bilioni 8.5 mnakazi ya kuonyesha wageni tu kama makumbusho ya taifa viongozi wanashindwa kushawishi wawekezaji uvivu tu.
@mohamedyahya1677
@mohamedyahya1677 17 күн бұрын
Naunga mkono hoja.
@shimadawson8026
@shimadawson8026 24 күн бұрын
Hongera sana Mr Omary Mtunguja Kombo. Umeitendea haki taaluma
@mwalimungoda
@mwalimungoda 25 күн бұрын
LEO MAMA UMENIFURAHISHA NA NINACHOFURAHI ZAIDI UNASUPPORT VYOMBO VYA HABARI VYA TANGA
@hamisisheshe9519
@hamisisheshe9519 25 күн бұрын
mkurugenzi anafanya nini mama tuma jicho la mwewe tanga likakague halmashauri ya jiji na kabla jicho la mwewe halijafika halmashauri ya jiji lishuke kituo cha mabasi kange lione ubabaishaji jengo lina miaka 6 limekaa tu anatakiwa kiongozi mwenye kushawishi ili vizimba vijae
@hamisisheshe9519
@hamisisheshe9519 25 күн бұрын
Nahao hao ndio wanao kwamisha jengo la kitega uchumi pale kange jengo limeisha wanaona uvivu kulitangaza subirini mh raisi aje apo haiwezekani serikali itumie bilioni 8.5 halafu jengo limekaa tu mnashindwa hata kwenda kuzishawishi benki zije ziweke ATM mana hapo kuna vyuo na taasisi nyingi za serikali
@100farmersvillage
@100farmersvillage 27 күн бұрын
@justardzelphine6526
@justardzelphine6526 Ай бұрын
Akili ndogo sana huyu!, kutokuwepo upinzazi unaona ni ufahari?
@justardzelphine6526
@justardzelphine6526 Ай бұрын
Tumeona mmeiba na upuuzi went wa ovyo!
@FundiFk
@FundiFk Ай бұрын
Ulivyokuja tanga ukasema utarudi watuwalipwe hatuja kuonatena
@theodoramtejeta7901
@theodoramtejeta7901 Ай бұрын
Naipongeza Serikali kwa mikakati hii ya mikopo kwa makundi.
@lucasmunaku1483
@lucasmunaku1483 Ай бұрын
Kazi nzuri
@Mauya23
@Mauya23 2 ай бұрын
Future tenses always hard to believe until happens, i reserve my commendations until the real happens...
@theteacherchance6750
@theteacherchance6750 2 ай бұрын
S. E. S Talieh Mega Speed Liners Butterfly
@NyangeSempindu
@NyangeSempindu 2 ай бұрын
Good
@floragaye7666
@floragaye7666 2 ай бұрын
Kongore sana Tuli wetu
@sakinaomary7207
@sakinaomary7207 2 ай бұрын
Way to go, keep going mama
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 2 ай бұрын
Mashallah bado mama ana sauti nzuri mashallah ❤❤❤❤
@nganzimwaliza8191
@nganzimwaliza8191 2 ай бұрын
@athumanishabani1143
@athumanishabani1143 2 ай бұрын
Ni aibu kubwa kwa mkoa wa Tanga hasa Tanga Jiji kukosa chuo kikuu wezentu wa huko Bara wanatucheka Sana tubadilike kuiga vitu vizur sio dhambi tukubar kujisahihisha!!
@hamisisheshe9519
@hamisisheshe9519 2 ай бұрын
Mbona vipo viwili kuna kinachojengwa mkinga cha sua na kingine tawi la TIA kange stendi pale.
@athumanishabani1143
@athumanishabani1143 2 ай бұрын
Jengeni chuo kikuuu kinachokusanya wanafunzi 40000 kwani chuo kikuu ni kama kiwanda mtakusanya mapato mpaka mtakinai ,Halafu nyie madiwani wa Tanga Jiji hivi mnajua Tanga ni Jiji ila halina hata chuo kikuu tangu kuumbwa kwake, Hebu jengeni chuo kikuu vijana wa mkoa wa Tanga nao wasome ili wazione fursa za mkoa wao!!!!
@DavidSemu-gu6wp
@DavidSemu-gu6wp 2 ай бұрын
Masikini Tanga yetu tunapata matumaini angalau tunapo sikia mafanikio bandarini, bado mkonge haujarudi kwenye nafasi yake, siasa zili tuulia Tanga toka mkoa wa pili kwa maendeleo baada ya uhuru leo sijui ni wa ngapi chini ya Mwanza, Arusha, Dodoma, Mungu atujalie kheri.
@mrafm7285
@mrafm7285 2 ай бұрын
Safi sana mkuu tumekuelewa
@beaugosseadam6831
@beaugosseadam6831 2 ай бұрын
Na miwani ya kuchovya, wanaongea kipropaganda na hawana Taaluma!!
@Mauya23
@Mauya23 2 ай бұрын
Hapo kwenye maji hebu rudia research yako tena kitaa, itakuwa umeona vibaya odo...
@AdamSabugo-t2p
@AdamSabugo-t2p 2 ай бұрын
Gari Japan mil 5,likifika bandarin apo ushuru mil 4.5
@AdamSabugo-t2p
@AdamSabugo-t2p 2 ай бұрын
Unabandar lakini magari ya watu iT
@tanzanite9944
@tanzanite9944 2 ай бұрын
Halafu wewe na Wenzako muiuwe tena Bandari ya Tanga kama Walivyoiua wale MAfisadi wakina Bandawe miaka ya 80-90-2000 alihakikisha Bandari ni yake mpaka alikuwa akinunulia wanawake Magari kwa pesa za Bandari naMatokeo yake ilikufa. Sasa Wewe tunaona Umeshaanza Kuvimba mwili, ila ujue tuu safari hii hatuvumilia kuona Bandari inaliwa tena na Wachahce na kufa. Tutawafuatilieni usiku na Mchana kubaini ufisadi.
@nganzimwaliza8191
@nganzimwaliza8191 2 ай бұрын
..
@jumarajabu2137
@jumarajabu2137 3 ай бұрын
Hongera Sana Dr
@agabakamugisha
@agabakamugisha 3 ай бұрын
Hongera sana boss 🤝🤝
@UmmiMohammad-q9m
@UmmiMohammad-q9m 3 ай бұрын
Hongera sana doctor 🎉🎉
@FnunNassoro
@FnunNassoro 3 ай бұрын
Kwa anayetaka huduma ya kuhudumia cunteen
@jumarajabu2137
@jumarajabu2137 3 ай бұрын
Hongera sana Dr
@KSI_TV1
@KSI_TV1 3 ай бұрын
Hongera sana 🎉
@hopedonny5845
@hopedonny5845 3 ай бұрын
I learnt something 🤝👍 na kinywa ni Muhimu kwa rika zote. Tunaungana na wewe kuelimisha watu zaidi 😊
@johnmjata2675
@johnmjata2675 3 ай бұрын
Piga kazi dada sisi vijana tupo nawewe Batilda Burian ukojuu🎉
@justardzelphine6526
@justardzelphine6526 3 ай бұрын
Mmpewa sh ngapi?
@MohammedAwadh-gq9si
@MohammedAwadh-gq9si 3 ай бұрын
Chadema jitafakarini na mienendo yenu ,Itilima imebatizwa yooote imekuwa ya kijani ! Sasa endeleeni na vibwagizo vya kununuliwa !
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc 3 ай бұрын
Hiki ni kiini macho kwa anaejitambua ataamini ni kweli
@DavidTuya-n8p
@DavidTuya-n8p 3 ай бұрын
Hizo kadi tulisha toka msidanganye umaa
@DavidTuya-n8p
@DavidTuya-n8p 3 ай бұрын
Niwakumbumbushe hatuna kadi kama hizo mnadanganyana wenyewe