SHEIKH IZUDIN "- DARSA YA SAFARI YA ISRAA
1:12:36
Пікірлер
@harsoshelezi4658
@harsoshelezi4658 Сағат бұрын
Kakimbia swali Hoja, je ni katika nguzo za swala? MASHARTI ya swala? Vitenguzi vya swala? Badilisheni agenda tuinue ummah wa kiislam tuishi kwa mujibu wa sheria za Allah swt
@RashidKidungwe
@RashidKidungwe 8 сағат бұрын
Ustadhi nimeota ndoto napajuu huku nimemshika mwanamke
@AminaAthumani-gp8qy
@AminaAthumani-gp8qy 11 сағат бұрын
Nimemuota malehemu dadaangu ,anatusha nyama mishikaki mm na mwangu mdogo wa kike na nyingine nyama ikadondoka akatuotea maanake nini?
@MsimAli-w3d
@MsimAli-w3d 13 сағат бұрын
Maana izo namba za WhatsApp sijaziona
@MsimAli-w3d
@MsimAli-w3d 13 сағат бұрын
Naomba niungwwe kwenye group
@RukiaIma
@RukiaIma 17 сағат бұрын
Kwa kweli shukurn sheikh wetu ❤❤❤
@QaisqaisQais-s2z
@QaisqaisQais-s2z Күн бұрын
Tufaganulie shekh hapa
@WasokoMwanza
@WasokoMwanza Күн бұрын
masonic anafanyiwa dua
@MfizoCrypto
@MfizoCrypto 2 күн бұрын
Mijusi ndani y nyumba mm nmshudia kabisa akinipuliza na sii mara moja hakikisha mijusi hakuna ndani mijusi ya ndani ndio inayo tumiwa na masheywani
@Nasmasilivanus
@Nasmasilivanus 2 күн бұрын
Walayku msalam
@SANDEMANGUNYA
@SANDEMANGUNYA 3 күн бұрын
Jahili wew
@Tamtam-wd1dy
@Tamtam-wd1dy 3 күн бұрын
😅😅😅
@JamilaHussein-t4f
@JamilaHussein-t4f 4 күн бұрын
Kila nikilala namuota mudogo wangu aliyekufa namupa chakula ana anakkataa
@SostenesMabala-tt8pt
@SostenesMabala-tt8pt 4 күн бұрын
Nimegundua watanzania tunatakiwa kutawaliwa tena. Sisi bado niwachache tu tunaojua ukwer
@ZainabAllyKea
@ZainabAllyKea 5 күн бұрын
Mimi nimeota nilikuwa kwenye shughur tukalala nje vile kunataka pambazuka nikaona nyoka anakuja pale tulipo lala nikamka kumuua yule nyoka kila nikipiga jiwe anakwepa nikaana kusoma ikhila na ayatul kulsiyu yule nyoka akabadilika kuwa msichana halafu akatoeka ina maana gan shekhe
@yahyajuma9353
@yahyajuma9353 6 күн бұрын
Wale waliowahi tujuane
@ElyrehemaMartin
@ElyrehemaMartin 6 күн бұрын
Mimi nimeota mke wangu anatembea nawanaume wengine
@DorisLucas-zo2dk
@DorisLucas-zo2dk 7 күн бұрын
Nimeota nimefumaniwa na mme wangu jamani nn maana yake
@jamilashabani8580
@jamilashabani8580 7 күн бұрын
Maa Shaa Allah ❤ sheikh
@ASHAMRISHO-h8g
@ASHAMRISHO-h8g 8 күн бұрын
Naomba uniunge na gruppu ninashida na ndoto mbay mbay
@MWAMBAZanzibar
@MWAMBAZanzibar 9 күн бұрын
Wewe mbona hueleweki upo upande gani
@tinaagnes2301
@tinaagnes2301 10 күн бұрын
Nimeota kwa jirani Kuna harusi
@fadiahamza1467
@fadiahamza1467 10 күн бұрын
Asalamu alekum sheh nimeota nimepata ajali ya gari kisha nikafa ila najion nitembea na nafsi yangu yani kivuli kinatembea ila kiwiliwil kimekufa watu wanasoma hitma ikisha nasem nishakufa au nipo hai
@majalaworldwide
@majalaworldwide 11 күн бұрын
Nyimbo ni kali Nnazo zoteeeee .. kama ile unasema Dogo jisachi utoe chochote😂😂😂
@fatumaadinani293
@fatumaadinani293 12 күн бұрын
Ukiota mpenzi wako anataka kukuuwa manake nini
@joycemlay5762
@joycemlay5762 12 күн бұрын
Mbona hawatajag dawa??
@rebeccamapalala
@rebeccamapalala 13 күн бұрын
Ukiota unajaribu vazi la harusi na ujaolewa
@AvineyloveAvineylove
@AvineyloveAvineylove 13 күн бұрын
Mi nikiota mtu amby yupo hai amekufa ikipita siku lazima afe
@FatumaOmary-gk8zy
@FatumaOmary-gk8zy 14 күн бұрын
Tatizo amumalizi mbona amjasema ukiota unamuuwa nyoka mweupe
@suraiyaRashidi
@suraiyaRashidi 14 күн бұрын
Mimi nimemuona sura na nimempga sana
@abdallahomary9614
@abdallahomary9614 14 күн бұрын
Ma Sha Allah tabligh wanapambana kuzindua watu ktk dini na kuamsha waliojisahau
@geofreymatto6710
@geofreymatto6710 16 күн бұрын
Vipo 2025
@FatimaAbdulla-s4i
@FatimaAbdulla-s4i 20 күн бұрын
Nimeota nimekuwa msimamizi wa bibi harusi
@AmiriMwambi
@AmiriMwambi 20 күн бұрын
Nimeota mwanga kwenye mkono alafunimara kwa mara maan yake nini
@AmiriMwambi
@AmiriMwambi 20 күн бұрын
Asalm alekum naitwa saud bint amiri.nimemuota mwanangu anakunya kinyesi kingi san.baada yahapo namimi nikajisaidia pia.nikajikuta na mnawisha nakugusa kinyesi chamtoto
@JohainapMachalila
@JohainapMachalila 21 күн бұрын
Asalaam alaykum shekhee mi nimeota nipo sokoni kulikua na watoto mpacha nikapewa mtoto moja nikaondoka nae nikapewa ugali dagaa nikala na yule mtoto nikawa namlisha ila alikua mchanga nlivo mlishatu akaanza kula mwenye
@mariamuhassan
@mariamuhassan 21 күн бұрын
Nikweli kabisa
@mariamuhassan
@mariamuhassan 21 күн бұрын
Nikweli kabisa
@FatmaSadiki-w9x
@FatmaSadiki-w9x 22 күн бұрын
Mie nimeota nyoka mwekundu Ila nmemuua pia
@HamisiOmari-r8u
@HamisiOmari-r8u 24 күн бұрын
Assalaam alaykum. Shekh me nmeota nmenunua panga kwa ajiri ya kulima shamba nini maana yake
@firdaus7428
@firdaus7428 25 күн бұрын
‏اللهم صلي وسلم وبارك على سيدنا محمد
@AllyMsafiri-kw2ne
@AllyMsafiri-kw2ne 25 күн бұрын
Uislamu raha tena raha mpaka natamani kulia kwautamu wauislamu nashukuru mungu kuniongoza kwenye uislamu
@AllyMsafiri-kw2ne
@AllyMsafiri-kw2ne 25 күн бұрын
Doctor sule nitunu nazawad kwakizazihiki vinginevo wapotoshaji kama kina ndacha wangeipoteza jamii maana wanapewa hela ili kutetea dili zawatu kwakigezo cha kutetea ukweli wakati niwaongo nawazandiki sule ubarikiwe
@AllyMsafiri-kw2ne
@AllyMsafiri-kw2ne 25 күн бұрын
Sule nimwalimu tena anautulivu wakufundisha mungu akubariki doctor sule
@AllyMsafiri-kw2ne
@AllyMsafiri-kw2ne 25 күн бұрын
Wakristo mliocoment kumpongeza ndacha...toeni ushahid wa biblia nikitabu chamungu maana mnapongeza wakati ushahid hajatoa acheni uzuzu naujinga ahera kunakipigo ninyi
@QcMabdonour-b4j
@QcMabdonour-b4j 26 күн бұрын
Shekhe mi nimemalza 4m4 na nimeota nimepata div 3 ya 24..na matokeo bado..na ulikua saa 8 ucku na naikumbuka
@mpingo1000
@mpingo1000 26 күн бұрын
Ma shaa Allah
@halimaassanali2687
@halimaassanali2687 27 күн бұрын
Asalam waleykum warahmatullah wabarakatu shekhe nimeota haisi imepata ajali imetumbukia kwenye maji na mimi nikaenda kuwaokoa hawajafa hata mmoja lakini wameumia kidogo.Hebu niambie shehe inamaana gani hiyo ndoto
@lamatsnyamaishwa3896
@lamatsnyamaishwa3896 27 күн бұрын
Shekh nimeota nimejitwisha maiti kama sehem ya kusaidi kusafilisha maiti
@Oman-t7q
@Oman-t7q 28 күн бұрын
Assalam aleykum warahmatullah tahra wabara Katu shekhe mimi niliota kuna mtu anameniopigia sim ananiambia Salma zile pesa ulizonipa za biashara zote nimeibiwa zifatilie izo zile pesa alafu sum sikuwayi kumjibu sim yangu ikazima chaji na Akuna mtu nilie mpa biashara ina mana gan?