Пікірлер
@Paulo-i9e
@Paulo-i9e 2 ай бұрын
Mafuriko katesh
@kiyumbijustine3434
@kiyumbijustine3434 6 ай бұрын
😭😭
@LaurenciaKitauli-or8rr
@LaurenciaKitauli-or8rr 9 ай бұрын
Mungu ailaze roho yake mahali pema . Tunakukumbuka .❤
@suleimanbalemba3348
@suleimanbalemba3348 9 ай бұрын
2023
@geraldmakalala6091
@geraldmakalala6091 Жыл бұрын
Rais wa Tanzania
@geraldmakalala6091
@geraldmakalala6091 Жыл бұрын
Hakika ulipendwa Sana na Watanzania hasa wanyonge
@andreabalintanzeko7011
@andreabalintanzeko7011 Жыл бұрын
Yess father I priciate
@fikirinijuma6158
@fikirinijuma6158 Жыл бұрын
Katesh ni wapi ama ni mkoa wa wapi
@WansolaLuther-tq8qm
@WansolaLuther-tq8qm Жыл бұрын
Mkoa wa Manyara
@muleimusyoka3883
@muleimusyoka3883 Жыл бұрын
This was a leader
@charlesmugisha6529
@charlesmugisha6529 Жыл бұрын
😭😭😭😭 🙏🌹🙏🙏🙏
@duahmasudy9803
@duahmasudy9803 Жыл бұрын
M
@chenzhensammuel662
@chenzhensammuel662 Жыл бұрын
Rais john pombe magufuli Joseph alikuwa mtu mwema sana tena sana na Nina imani atuulizi ufalme wa mbingu.
@chenzhensammuel662
@chenzhensammuel662 Жыл бұрын
Rais john pombe magufuli Joseph alikuwa mtu mwema sana tena sana na Nina imani atuulizi ufalme wa mbingu.
@chenzhensammuel662
@chenzhensammuel662 Жыл бұрын
Rais john pombe magufuli Joseph alikuwa mtu mwema sana tena sana na Nina imani ataulizi ufalme wa mbingu.
@dollokasuka8131
@dollokasuka8131 2 жыл бұрын
Nimekukumbuka sana Mzee!!
@laurentnkanga5449
@laurentnkanga5449 2 жыл бұрын
Naumia
@yusuphchankwa4759
@yusuphchankwa4759 2 жыл бұрын
Daaah R.I. P BABA
@chomasongidion6047
@chomasongidion6047 2 жыл бұрын
Bado namachungu nasimanzi.jamani mungu nisamehe sikufuru
@Bennymwangaza
@Bennymwangaza 3 жыл бұрын
Uncle Yetu Magu hoyee👍
@tanzanian8847
@tanzanian8847 3 жыл бұрын
Hakika we ulikua kiongozi bora. Kiongozi wa wananchi wa chini
@tanzanian8847
@tanzanian8847 3 жыл бұрын
Allah akulinde sana rais wangu Magufuri
@ashamwandu3781
@ashamwandu3781 4 жыл бұрын
Yaani home iz gold ,home raha sana MTU kwao.mcheza kwako hutunzwa,kina mama wanafuraha mno haijalishi .huyu ndie rais niliyekuwa namgonja kwa hamu sana.Rais natamani unipe ajira japo sijasoma ila kazi za utawala napenda mno.wazazi wangu walikosa ada tu miaka hiyo nilifauru ada ikokosekana.nasikia raha hotuba zako.nakupenda bure kwa umahiri wako.ukweli wako misimamo yako ulivo tu mashallah,Allah akutunze duniani na mbinguni.yaani unabusara Sana haki sijuwi tu nikubebe mgongoni kama mtoto.unanifurahisha mpaka nachanganyikiwa
@ashamwandu3781
@ashamwandu3781 4 жыл бұрын
Asante mungu, binafsi nilijuwa tu yaani magufuli akiwa rais atawakombowa watu ni muwazi mtenda haki hanamajivuno,hanadharau,Hongera baba angu. Kula yangu haikwenda pabaya haki ya mungu.love you my presented.
@ahdahmed8383
@ahdahmed8383 5 жыл бұрын
Mungu.mwema tumepataa rais M zuri apakazi tu
@mounbakko5871
@mounbakko5871 6 жыл бұрын
this is hands-on governing and personal-stake participation by citizens thru dialogue.
@daudnyagalu308
@daudnyagalu308 6 жыл бұрын
I need this spirit back please
@edwardedward2520
@edwardedward2520 6 жыл бұрын
Am so impressed by mr. President God bless you always.
@mamysalem8791
@mamysalem8791 7 жыл бұрын
tumbua tuu baba wewe ni rais wa mwendo kasiiiiiiiiii
@chachakorosso9410
@chachakorosso9410 7 жыл бұрын
mpaka machoz kwa hii huruma ya rais
@stevendaud4660
@stevendaud4660 7 жыл бұрын
ilove magufuli
@indasidungani
@indasidungani 8 жыл бұрын
god bless u sir
@yuniea2670
@yuniea2670 8 жыл бұрын
Very moving speech. God bless Tanzania and Prez JP Magufuli
@rahmashaban8693
@rahmashaban8693 8 жыл бұрын
duuuh Mheshimiwa watimue haina haja kuwaonea huruma hao viongoz hawafai kabisa
@rahmashaban8693
@rahmashaban8693 8 жыл бұрын
haina haja watanzania kufanya kampeni za kuchagua rais mwingine. Magufuli kidume cha Tanzania na watanzania woooote. maana ahad zake zoote alizoziahidi anazitekeleza.
@MrMucray
@MrMucray 8 жыл бұрын
Rais mwenye bidii.....jameni watanzania ingeni mfano wake...
@sahales9944
@sahales9944 8 жыл бұрын
nikweri francis muia mwenyezi mungu atie nguvu nahekima yakuongoza taifa hili
@nyanda427
@nyanda427 8 жыл бұрын
Long live Dr. John Pombe Magufuli
@sunyareh
@sunyareh 8 жыл бұрын
I cry tears of joy and happiness.. Asante Mh Rais ndugu Magufuli mungu akubariki
@alexmashimbaisululu6309
@alexmashimbaisululu6309 8 жыл бұрын
Good sana
@alexmashimbaisululu6309
@alexmashimbaisululu6309 8 жыл бұрын
Kubwa Mungu akupe afya njema
@banimulengwa7837
@banimulengwa7837 8 жыл бұрын
nasisi pia tungefika mbalisana
@banimulengwa7837
@banimulengwa7837 8 жыл бұрын
Congo DRC tunahitaji kiongozi kama huyu, tungefika mbalisana/ sasahatuna
@banimulengwa7837
@banimulengwa7837 8 жыл бұрын
Congo DRC tunahitaji kiongozi kamahuyu
@alloycedisheni232
@alloycedisheni232 8 жыл бұрын
Good idea Mhe. Rais nikweli sasa tutumie mifuko yetu ya jamii kujenga viwanda badala ya kujenga maghorofa tu,nchi nyingi duniani zilizoendelea viwanda vyake vingi vilijengwa na mifuko ya jamii kama Marekani,Canada,Brazili nk.
@ayubumisheli8119
@ayubumisheli8119 8 жыл бұрын
God has a plan for Tanzania that's why he gave his servant JPM to be our President. Shikamoo Magufuli
@christsflowe.r
@christsflowe.r 8 жыл бұрын
God bless u Rais wetu
@rosenamilia4140
@rosenamilia4140 8 жыл бұрын
Mh Raisi JP MAGUFULI wewe ndie Musa aliyepewa "FUNGUO NA MUNGU",Kwa maagizo kuwa utakayofunga duniani hata mbinguni yamefungwa. Na atakayofungua dunia hata mbinguni yamefunguliwa.Rais wetu tuko pamoja nawe ktk kukusaporti kwa kazi yako nzuri ya kupambana na mafisadi na walarushwa wote, funga kwa Makufuli yako yote na funguo mwachie Mungu. Tumeteswa sana na hao wachache Mh.
@leonardkisamba6700
@leonardkisamba6700 8 жыл бұрын
watanzania tumuunge mkono raid wetu.ana nia njema na nchi hii.
@tabukabilika4144
@tabukabilika4144 8 жыл бұрын
Na mkubali sn ma presda
@Sarah198066
@Sarah198066 8 жыл бұрын
Daaa! Your an Angle! Raisi wa Watu! May God be with you!❤️
@BBCFintl
@BBCFintl 8 жыл бұрын
In different circumstances this could be seen as excessive and invasive, and even tampering with supply demand economics. Then there is that "civil rights" issue... But these are unusual times in Tanzania. We are witnessing the birth of something generally unknown in Africa. We are watching a Presidency that is accountable to it's citizens for the very first time on the continent of Africa. JPMs tough stance is a must, because he needs to be believed, and be believed FAST. Then, and only then, will the lesson begin taking root. Africa, support this man! Zabde-Ezra Ayienga, Toronto, Ontario, Canada.