True from this song I get understand more about our strength amen
@ridhbahati357014 күн бұрын
Hakika sitasumbuka peke yangu, nitamwambia Yesu mokozi 🙏🙏
@teresaArwa14 күн бұрын
Lord Jesus please give me hope. 🙏
@ImuseNakali14 күн бұрын
Best song ever
@kevinkipkorir975816 күн бұрын
Wow this song uplifts my spirit each and every other time i listen,be blessed
@ruthkwamboka-sh8dh17 күн бұрын
It is really praising song..be praised
@HappynessHongela18 күн бұрын
Ameni
@dipporahmogoi149618 күн бұрын
God always listens to us let's keep trusting upon his promises 🙏🙏
@josephinedulu148222 күн бұрын
Nionapo amani kama shwari, Ama nionapo shida; Kwa mambo yote umenijulisha, Ni salama rohoni mwangu. Salama, Salama, Rohoni, Rohoni, Ni salama rohoni mwangu. Ingawa Shetani atanitesa, Nitajipa moyo kwani; Kristo ameona unyonge wangu, Amekufa kwa roho yangu. Salama, Salama, Rohoni, Rohoni, Ni salama rohoni mwangu. Dhambi zangu zote, wala si nusu, Zimewekwa Msalabani; Wala sichukui laana yake, Ni salama rohoni mwangu. Salama, Salama, Rohoni, Rohoni, Ni salama rohoni mwangu. Ee Bwana himiza siku ya kuja, Panda itakapolia; Utakaposhuka sitaogopa, Ni salama rohoni mwangu. Salama, Salama, Rohoni, Rohoni, Ni salama rohoni mwangu.
@JacksonKatembo-d2z22 күн бұрын
Très bon
@elizabethkatumbi899223 күн бұрын
Nice song
@zedekiahnyangira657023 күн бұрын
Kazi iendelee wapendwa. I am happy to see Nyamaganda there. Bidii wapendwa
@TimotheoKisambo23 күн бұрын
Lakini mbona hamtoi ile nyimbo “ unapolia machozi kumbuka Mungu yupo”???????😢😢
@TimotheoKisambo23 күн бұрын
Barikiweni
@dorankerubo887823 күн бұрын
Beautiful watu wa Mungu
@estherabiner367823 күн бұрын
Amen ❤❤❤kazi ya mungu tufanye kwa bidii tueneze upendo
@catherineapudo504623 күн бұрын
Tuhubiri injili... Kwa tabia yetu Amen amen
@jeriahsagwe252623 күн бұрын
Mungu nifunze kuhesabu siku zangu
@ZynnahNyabs23 күн бұрын
Utakapoiaga Dunia hii utakumbukwa vipi?more blessings wanaEchoes❤
@hazakirusengafabien538824 күн бұрын
Turabakunda cyane hano Rwanda
@jeremy_masira25 күн бұрын
Ananizikiliza
@johnstoneshiwani12726 күн бұрын
A great song ❤ where is Nick and Princess
@esthersimiyu227627 күн бұрын
❤❤
@DelvineMoraa-i8y29 күн бұрын
Amen
@CarolAnuteАй бұрын
Amen
@RoseOtungaАй бұрын
Amen, nisikilize Mungu..
@evahm.gachanja1076Ай бұрын
Nitamwambia Yesu Mwokozi Shida zangu sitanyamaza Kwenye shida tanisaidia Ananipenda Anijali NITAMWAMBIA YESU MWOKOZI SITASUMBUKA PEKEE YANGU NITAMWAMBIA YESU MWOKOZI YESU ATANISAIDIA Nitamwambia yanayokera Ni mwenye Pendo Na Rafiki Nikimwambia taniokooa Atamaliza shida zangu Dunia inaponishawishi Nikuache nifanye dhambi Nitamwambia Anisaidie Mimi ni mshindi ziku zote
@marcellakerosi5975Ай бұрын
Tell Him all your problems...such an uplifting song❤❤
@AbiaWilliam-s1sАй бұрын
Kunasiku nitakutana na baba yangu na dada zangu ameni kule juu mbinguni
@brianmuuo8304Ай бұрын
Thank you lord for giving me this life. Even though I'm going through this tough pain loosing my grandpa you kept me safe. Thank you lord. Amen 😭😭🙏🙏
@SarahNamwila-ec7elАй бұрын
Amen amen 🙏🙏
@SarahNamwila-ec7elАй бұрын
Naipenda sana 🙏🙏🙏
@liydasang-t8pАй бұрын
Amen its actually God grace may the lord bless you abundantly
@kaogajk2043Ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@Criminology101Ай бұрын
Blessed song. How can I get the swahili lyrics?
@rosewanjiku8610Ай бұрын
Am always anticipating for sabbath 😊
@JohnMatunda-g3pАй бұрын
Touching song,, God bless u abandantly
@MosesOloo-p9jАй бұрын
It's by GRACE alone
@ogadowilmah6353Ай бұрын
❤❤
@dorankerubo8878Ай бұрын
Sufficient grace. Baraka tele fam
@marywanjiru6066Ай бұрын
Wapi princess linah
@everlyneodhiambo9211Ай бұрын
Indeed His grace is sufficient
@Dickens-ys1ssАй бұрын
Kwa nehema io tutavishwa taji! God bless the work of his people 🙏🙏🙏
@ZynnahNyabsАй бұрын
Ni Neema ya ajabu tumekirimiwa🙏 Amen blessed Sabbath ❤
@catherineapudo5046Ай бұрын
Ni neeema.... Kwa neema we've got strength to soldier on