Mimi sijaweka sukar ila chini ilikataa kubadilika langi nimekosea wap
@gloriapaul610310 күн бұрын
Kwa nini zagu hutoka na mafuta nyingi
@BelsFarmKitchenSwahili9 күн бұрын
Pole...mara nyingi kalimati hunyonya mafuta kama unga umezidiwa na maji au kabla ya kuchota na kuweka kwenye mafuta hukupiga unga vizuri kutoa hewa yote iliyojikusanya wakati wa kuumuka au Moto ulikuwa wa chini sana au mafuta hayakupata Moto wa kutosha wakati ulipoweka.....lakini sababu hizo mbili za mwanzo ndo chanzo kikubwa zaidi.
@zaitunijuma871011 күн бұрын
Nzuri wallah
@BelsFarmKitchenSwahili11 күн бұрын
Asante dear 💕💕
@Leaalinanuswe14 күн бұрын
❤
@BelsFarmKitchenSwahili11 күн бұрын
💕💕
@SUZANEAFUWA17 күн бұрын
Muzuri
@BelsFarmKitchenSwahili16 күн бұрын
Asante dear 💕💕
@OswarldMushi20 күн бұрын
Good Week
@BelsFarmKitchenSwahili16 күн бұрын
🙏
@AminaMohammed-k7q20 күн бұрын
Nauliza unga niukande mpaka ukandike ila ubaki hali ya ugumu? Au nachanganya tu vitu vyote vishanganyike vzur inatosha?
Ndio...unga ni wa ngano. Sio lazima maziwa waweza weka maji au tui la nazi. Tofauti itakuwa kwenye ladha tu.
@LydiaMhomi-i2q26 күн бұрын
Ubalikiwe sana
@BelsFarmKitchenSwahili16 күн бұрын
Asante dear... karibu sana 💕💕
@Abduli-n7j27 күн бұрын
nimeipenda dada❤❤
@BelsFarmKitchenSwahili16 күн бұрын
Asante... karibu 💕💕
@JoslineKavugho29 күн бұрын
Dada ujajuwa kuelewecha vizuri nimeku miss
@BelsFarmKitchenSwahili16 күн бұрын
😃😃😃 Asante dear.... karibu 💕
@RamadhaniLwasaАй бұрын
Nyama ya mbuzi ni tamu sana
@BelsFarmKitchenSwahili16 күн бұрын
😃
@JoyceMatekelaАй бұрын
Karumati ndo nin
@BelsFarmKitchenSwahili16 күн бұрын
Ni snacks zenye asili ya kiarabu....tamu sana
@GladnessSamson-xk2iiАй бұрын
Nmetengeneza nam aiseee traaaaam
@BelsFarmKitchenSwahili16 күн бұрын
😃😃😃 karibu 💕
@Brightness-f5lАй бұрын
samahan dada iyo iliki unaisagaje?
@BelsFarmKitchenSwahili16 күн бұрын
Unazitoa punje zake kwenye maganda Kisha unazitwanga kwenye kiuri au kwa sababu unasaga juice utazitoa tu kwenye maganda Kisha utachanganya na matunda visagike pamoja
@JanethMbogela-k7iАй бұрын
Asante kwa somo zurii
@BelsFarmKitchenSwahili16 күн бұрын
Asante dear.... karibu 💕💕
@ITIKAGIDEONАй бұрын
Njegere zimechemshwa?
@BelsFarmKitchenSwahili16 күн бұрын
Zimepashwa kidogo ili ziive vizuri pamoja na wali
@ChristineGerezaАй бұрын
Ñyc daa
@BelsFarmKitchenSwahili16 күн бұрын
💕💕
@MagdalenaChabongaАй бұрын
❤
@BelsFarmKitchenSwahili16 күн бұрын
💕💕
@JacklinKamugishaАй бұрын
Mnafundisha🎉
@BelsFarmKitchenSwahili11 күн бұрын
Ndio... karibu 💕
@hedayamohammed2781Ай бұрын
Asante sana
@BelsFarmKitchenSwahili16 күн бұрын
Karibu sana 💕💕
@DeborahMganga-p9yАй бұрын
I like the lemon cake
@DeborahMganga-p9yАй бұрын
Thanks debbie😮😮😮❤
@BelsFarmKitchenSwahili11 күн бұрын
It's very delicious 😋😋
@FakikhKiguduАй бұрын
Limao linasaidia nn
@BelsFarmKitchenSwahili16 күн бұрын
Kuongeza ladha
@WinfridaMhinaАй бұрын
Njengere lazima zichemshwe
@BelsFarmKitchenSwahili16 күн бұрын
Sio lazima zichemshwe....unaweza zipika mwanzoni na viungo kidogo ili kuhakikisha zinaiva vizuri ukichanganya na wali coz wali unawahi kuiva kabla ya njegere
@lengaingaleson4873Ай бұрын
Asante sana
@BelsFarmKitchenSwahili16 күн бұрын
💕💕
@SheilaGeogerАй бұрын
❤nimeipenda chanel
@BelsFarmKitchenSwahili16 күн бұрын
Asante dear... karibu 💕💕
@LatifAli-bj2ru2 ай бұрын
Asante nimeelewa sana
@BelsFarmKitchenSwahili11 күн бұрын
Asante... karibu 💕
@RoseKaberege2 ай бұрын
Asnte sana nimejifunza kitu
@BelsFarmKitchenSwahili11 күн бұрын
Asante dear... Karibu 💕
@IssaMakuti2 ай бұрын
Asnte kwa mapishi mazur
@BelsFarmKitchenSwahili11 күн бұрын
Asante... karibu 💕
@AshliQueen-v5c2 ай бұрын
Nimependa
@BelsFarmKitchenSwahili11 күн бұрын
Asante.... karibu 💕
@FrederickBahandwa2 ай бұрын
Nimependa
@BelsFarmKitchenSwahili11 күн бұрын
Asante... karibu 💕
@godfreyobadiah78922 ай бұрын
Asante mama listen bora
@BelsFarmKitchenSwahili11 күн бұрын
😃😃😃 Asante... karibu 💕
@ambokilemussa35182 ай бұрын
Asante sama kuna jamaa alikuwa ananificha
@BelsFarmKitchenSwahili11 күн бұрын
😃😃😃pole... karibu 💕
@gingercashcat2 ай бұрын
tam sana😍😍
@BelsFarmKitchenSwahili11 күн бұрын
Sanaa😃😃
@ModesterStephano2 ай бұрын
❤nimependa
@BelsFarmKitchenSwahili11 күн бұрын
Asante.... karibu 💕
@PetroYovenary2 ай бұрын
🎉 very nice
@BelsFarmKitchenSwahili2 ай бұрын
Thanks 😊
@graceambrose87572 ай бұрын
Hujawekaaa mafuta kabisaa?
@BelsFarmKitchenSwahili2 ай бұрын
Ndio dear....sijaweka
@glorycosmas57622 ай бұрын
Ni lazima kuweka limao
@BelsFarmKitchenSwahili2 ай бұрын
Sio lazima.....ila limao linaongeza ladha.
@rogersabisai99702 ай бұрын
Sukari nyingi sana
@BelsFarmKitchenSwahili2 ай бұрын
Unaweza punguza kwa kadri upendavyo....
@mariamshah3712 ай бұрын
Ninzuri sana
@BelsFarmKitchenSwahili2 ай бұрын
Asante dear 💕💕
@akwirinaagustino2 ай бұрын
Kwani lazima kutumia maziwa???
@BelsFarmKitchenSwahili2 ай бұрын
Sio lazima.....waweza tumia maji tu ila ukiweka maziwa ladha yake inakuwa tofauti kidogo
@DoriceMtindo2 ай бұрын
Naweza wek limao na tangawiz kweny mchanganyoko wangu