Kila mtu ako na point but kuna dance moves zingine huezi control, kuna zingine utakua unamove miguu tu but unapata vile miguu inasonga kiuno pia kinasonga....let's not judge people aisee
@bellatvonline2 күн бұрын
@@faitheliud9403 Hahahaha
@faitheliud94032 күн бұрын
@@bellatvonline ukweli
@AtughanileSholla5 күн бұрын
Mungu akutunze mtumishi ubarikiwe kwaujumbe mzito .
@WiselightOfficial5 күн бұрын
Ubarikiwe na Mungu mama nakufurahia🙏❤️
@Ininahazwechristella-e1j5 күн бұрын
❤❤❤
@pasteurstephanoakilimalifr44166 күн бұрын
N'a mimi tayari huku ninapanga wa ombanji haraka kwa kumuombeya baba yetu kabisa
@pasteurstephanoakilimalifr44166 күн бұрын
Muda wahuu niwakuleta maono hayo yanje huku Congo
@AmanaJoo6 күн бұрын
Usiogope mungu yupo
@IsmailMaberi6 күн бұрын
IZI SIKU ZA NYONGEZA TUNAZOZIISHI NDIO WATU WENGI WAMEIBUKA, NA MAHUBIRI YAKUCHAMBANA TUNATUNGA UJUMBE WA NENO LA MUNGU ALFU NDANI YA UJUMBE NI MASENGENYO NA TUNAPOST MITANDAON ILI KUWAINGIZA WAKRISTO ROHO ZA CHUKI NA MASENGENYO IVI LEO UTAKATIFU UKO WAPI NA UPENDDO UKO WAPI MUNGU ATUHURUMIE SANA , NAUMIA KUONA YESU AKIJA TUSIJE KUBAKI WENGI , TENA HAKUNA ALIE SAHIHI MBELE ZA MACHO YA BWANA SOTE TUTAOKOLEWA KWA NEEMA NA MACHOZ MENGI UKU TUKIJILINDA NA DUNIA BILA MAWAA
@IsmailMaberi6 күн бұрын
WATU WENGI HAWAJAFAHAM MADHARA YA MITANDAO , JINSI INAVYOINGIZA ROHO ZA MASENGENYO UTAKUTA MTU ADI ANATUKANA NA YALE TUNAYOCOMEMT NDIO YATAKAYOFUNULIWA NA MUNGU KWENYE HUKUMU WENGINE WATAMSENGENYA , MWAKASEGE , WENGINE MBARIKIWA ,WENGINE KAKOBE , MUWE MAKINI NAWATOA POST IZI MSIJE KUKOSA MBINGU , TAMBUENI HILA ZA SHETANI
@markojames78557 күн бұрын
Waislam wakike wanafunzi wanavaa suruali duh
@kilimanjarotv25510 күн бұрын
Someni Timotheo 1 mlango 2 mstari 8 mpk 15 maelekezo yote MUNGU alishatoa kwa TIMOTHEO kuhusu mavazi
@FELISTUSMUENDO-o5q13 күн бұрын
Rose mungu akulinde siku zote ❤️❤️❤️🤍🤍🤍,,nyimbo zako zilinilea toka nikiwa mdogo sasa mtu mzima 💗💗💗,, yesu akubariki
@jeanbosconkurunziza389314 күн бұрын
Like ❤U Israel mbonye
@kashiririrkaasongwisye948714 күн бұрын
Mi namwelewa huyu ni mwamba ila watu wanapenda kunyonya sasa hii kichwa hainyonyeki hapo kweli lazima utaona hana utulivu
@rahimsadru-ct4ot14 күн бұрын
Na yy anakondoo huyu
@EFRAZIAMGOYE15 күн бұрын
Duh!!
@Brother_kuku15 күн бұрын
Doooh
@rophencemwasi910315 күн бұрын
Mungu atamtetea na kumpigania.
@AladimGapa-j4o15 күн бұрын
The Bass is killer
@MahatmanMalcom17 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@DamarisChacha-c8d19 күн бұрын
Saburi 35,1
@DamarisChacha-c8d19 күн бұрын
Mungu nikumbuke
@DjumahMogase19 күн бұрын
Jambon pasteur uni obeye mungu anirudichiye makuta nilituma bani uziye chakoshi yangu aifike n'a pendant mungu anipe île Pesa mimi DJUMAH mogase
@leutnatmisana516419 күн бұрын
We glorify God in Jesus Christ!❤
@Benson-ri8qj19 күн бұрын
God is great 👍
@JeanMuzaliwa-bs6qh19 күн бұрын
mchana ila bado anavaa suali😂
@estershadrack510920 күн бұрын
Asante dada yangu umenifungua macho
@Melisacr114720 күн бұрын
Pouleeee San
@miriamraymondOfficial21 күн бұрын
Mungu hamumuhitaji mwanadam ili awe Mungu ila mwanadam anamuhitaji Mungu ili awe mwanadam Barikiwa Sana Mungu aendelee kumtumia zaidi
@bellatvonline20 күн бұрын
Kabisa Yaaani Mungu Ni Mwema Sana
@uwezawamungumkuu.amaniafrika23 күн бұрын
wanaume wengine wanashida gani?. wewe mwanaume unashindana na wanawake kwa jili gani?. Bado nawashauri wanaume jiepusheni na kulumbana na kusozazans na wanawake . Hao viumbe wameumbiwa kusema na uwezi shindana naye kwa maneno wala kumdibiti wala kumridhisha kwa lolote kamwe. Mwisho utakudhalilisha na kukudhalilisha kwa maneno yake maana ndiyo silaha yake kubwa ,tofauti na mwanaume ambaye silaha yake na nguvu zake.ukimpiga jela inakuusu.Ili uwe salama kaa mbali nao ata kama ni kazini.( Kumbukeni wanaume, wanawake ni chokochoko tu ata ukinyamaza anatafuta sababu useme). Hawafai kwa mboga wala ugali,wala masika,wala kiangazi.. Nishida tupu.. utajiaribia mwenyewe.tafakari ndugu. Asante. Amani iwe nanyi nyote. Amen.
@RechoMshina23 күн бұрын
Uko vzr kijana watu hawapendi maonyo
@NimphaSabas23 күн бұрын
Hujui Hata kutafsiri maandiko wewe Yesu hakumaanisha hivyo kwahiyo wa k.k.k.t wanao chukua majikwenye chombo naku paka watu maji pia na kupaka watoto nakuita kitendo hicho niubatizo wataenda mbinguni?na Yesu alisema kipofu akimongoza kipofu wote wawili watatumbukia shimoni huoni wanegeuza maana ya halisi ya ubatizo? na Yesu anasena watakaoingia mbinguni niwale wanao fanya nimapenzi ya Mungu kutumia maji machache nimapenzi ya Mungu? au mapenzi ya shetani na ya mwanadsmuu? Kwahiyo wa k.k.k.t tusiwahubiri injili yakweli maana tunatakiwa kuyashika yote walio amuriwa mitume wa Yesu mbona wao hawashiki yotee nawewe bado unamichanganyo Mungu akussidie saaana Tena umemtafsiri mzee magembe vibaya
@NimphaSabas23 күн бұрын
Kwakweli huo niupuuzi mtupu unaouongea Mungu akusamehe
@EverlyneMwikali-z2h24 күн бұрын
Hello nabii,,kwa majina naitwa everlyne mwikali nataka uniombee katika maisha yngu nimezungukwa na maadui
@LeahKerubo-z4j24 күн бұрын
Napenda Sana nyimbo zake
@IsaacLameck-nz8yr27 күн бұрын
Ngoma haieleweki Iko kidigitali Nyimbo ya wahuni Inatetewa na wahuni lkn Meaningless eti afu diamond ndo ana mshauli jinsi ya kuimba
@JosephNyigu-q3m27 күн бұрын
Mungu akiwa upande wako nan Alie juu yako Uwe mzima sana
@joyceyusuph197228 күн бұрын
Mungu akubariki kaka na Mungu amlinde baba yangu na maadui niko Zanzibar ila nampenda sana na nitamuombea
@NehemiaAmani-q4t28 күн бұрын
Amen God bless
@DavivanceeАй бұрын
alizingua sana huyo jamaa mm namkubali alikiba kama nishabiki yako sikufagilii tena
@gracemutiso7705Ай бұрын
Don't worry.dont mind my bro.stand for Jesus.
@JanethShayo-b9dАй бұрын
Ndo nini sasa
@SaraMbilinyi-j9wАй бұрын
Ubarikiwe kakaangu
@kudzaishedhobhi9595Ай бұрын
Good song indeed. When is the full video coming out?
@aikamichael5945Ай бұрын
👏👏👏
@SheyoZumbaАй бұрын
Bado mtoto kwakiloho
@SheyoZumbaАй бұрын
Ila ukweli kila unalo sema baya kwa wengine ufichue mabaya yako kwanza usipo fanya hivyo hujapona kabisa maana ubaya wako unauficha ujue hujaokoka upo kwa masilai yako wara siyo yaufarume wamungu
@SheyoZumbaАй бұрын
Ibilisi anakutumia acha hayo unayoyasema huyo ni ibilisi muache mungu afamye kazi
@JoyceTheonas-bt7glАй бұрын
Jamani mimi kwa binafsi namfahamu baba yangu wa kiroho magembe tangu tunaanza majumbasita kule chini Kanisa dogo namna anapambana mpaka Tunapata kanisaa jipyaa lile godown jamanii tunalisafisha jamanii anajenga shuleee hakuna kitu alikua anapambania Kama kuwa transparent yeyote Aliyekua anaona anafanya ubadilifu alikua Tayari hata kumfukuzaaa kanisaniii kwa miaka zaidi ya 20 nitasimama hata kusema hili that is in acceptable