Natamani kujua kusuka mwanandani na asantee kwa somo la leo
@FridahChaka-q7w6 күн бұрын
Mm nataka kujua bandika za Tano tano
@Kabwelayasini10 күн бұрын
Tunashukulu sana kwamafundisho naamini nitaweza mungu akubariki sanat
@AnnaKaali12 күн бұрын
Nilikua natafuta jinsi ya kuweka rasta km unasuka mbinjuo, Asante sana
@ZainaYusufu13 күн бұрын
❤❤
@marthampalanzi88715 күн бұрын
Mwalimu mzuri.... ur blessed
@mariethabeautyschool14 күн бұрын
@@marthampalanzi887 Ameen dia
@YalalaAmisi16 күн бұрын
Mimi kuongeza rast ndo nashindwa nielekeze kawezaje ili nijuw plz
@africanchild452516 күн бұрын
Ninajifunza kusuka ni muda mrefu sasa. Nilinunua kichwa cha kujifunzia kusuka ila shida yangu ipo kwenye kuokota nywele. Yaani nasuka nikimaliza nywele zinakua kama zimemaliza miezi minne kichwani. Naomba somo la jinsi ya kuchota nywele tafadhali. Sehemu nayoishi wasusi hakuna hivyo nalazimika kujisuka mwenyewe.
@mariethabeautyschool16 күн бұрын
@@africanchild4525 sawa mumy nitaleta somo hilo
@GiftSimba-r8x18 күн бұрын
Minilikiawa natumia vidole vyoete nashukuru
@mariethabeautyschool16 күн бұрын
@@GiftSimba-r8x sasa umejua
@GiftSimba-r8x18 күн бұрын
Unafundisha vizur naimani nitaelewa ,hivo vifaa vya make up ni shngapi madam
@jennifermwongeli380020 күн бұрын
Asante kwa mafundisho,,And I'm interested to know better
@mariethabeautyschool20 күн бұрын
@@jennifermwongeli3800 ok karbu san
@neemakalinga968221 күн бұрын
Asante kwa somo zuri la make-up
@PelangiaMassawe22 күн бұрын
Asantee Dada naamini nitajua
@mariethabeautyschool22 күн бұрын
@@PelangiaMassawe kabisa karbu
@GiftSimba-r8x23 күн бұрын
Nilikuwa nimekata tamaa ila nimepata matumani😊
@mariethabeautyschool23 күн бұрын
@@GiftSimba-r8x 😂😂😂 karibu sana
@GiftSimba-r8x23 күн бұрын
@mariethabeautyschool asntey 🙏🏻
@nyarayako37425 күн бұрын
Asanti sana dada ❤
@NourNassor26 күн бұрын
huna group watsap tuwe hata tunalipa ada kwa ss wa mbali
@QueenMayravideos27 күн бұрын
Asante dada, ningependa kujua umetumia simu/camera gani kurekodi video zako?
@RehemaKasim-c3rАй бұрын
Nimekwelewa kabisa vp auna group
@LoishiyeLaizer-c9uАй бұрын
Dada naomba usuke kwa nyuma
@mariethabeautyschoolАй бұрын
@@LoishiyeLaizer-c9u sawa usijali
@MasoudHaji-q2kАй бұрын
Honger kw kaz nzr
@DeborahChenza-x4mАй бұрын
Yan mm hat sijui lakin nataman sana kusuka
@mariethabeautyschoolАй бұрын
@@DeborahChenza-x4m hiyo haina shida wewe njoo utaweza kabisa
@martinetshila8701Ай бұрын
Asante sisiter
@SalestinaProtasАй бұрын
Madam mbona nimesuka notles lakni jinsi ya kuweka lasta panaonekana
@Terresia96Ай бұрын
Asante sna dda
@NairatSeifАй бұрын
Naomb unielekezeee kusuk upandeee wa kushotoo nashindwa San
@ScolasticaMsosaАй бұрын
Baaada ya kuosha hauwezi kuweka pink loshen?
@mariethabeautyschoolАй бұрын
@@ScolasticaMsosa usiweke haina ulazima
@ReshmitaAyisiАй бұрын
Na kama unatumia mkono was kushoto je inawezekana
@ReshmitaAyisiАй бұрын
Unafunza vizuri sana mm n mgeni lakini Nina imani nitajuwa