HISTORIA FUPI YA YUSUPH MANJI
5:23
Пікірлер
@MatayoLekitonyi
@MatayoLekitonyi 16 сағат бұрын
Pole sana ndugu yetu mtanzania mseto 😂
@MohamedMrija
@MohamedMrija Күн бұрын
Saluti makonda
@charlesmakuri792
@charlesmakuri792 Күн бұрын
Angekufa magu akiwepo wangesema magu kamuuwa
@komuhsengo9796
@komuhsengo9796 3 күн бұрын
Manji pumzika kwa amani😊
@jalinachilala8465
@jalinachilala8465 3 күн бұрын
Haki we ni kiazi kitamu kabisa😂😂
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l 3 күн бұрын
Wewe ni mwehu. Kwanza Huna nyota . Nenda kafanye maombi kwanza kabla yakuanza kazi yakumsema makonda. Hii nchi imejengwa kwa nguvu na ina misingi yake. Katiba ya nchi hii haiwezi kubadilishwa kwa sasa kwa sababu wananchi wenyewe hatuijui. Mpaka liwekwe somo kwa vizazi vitano vijavyo ndio katiba itabadilishwa maana hao watakuwa wanaiielewa katiba
@ElizabethMungo
@ElizabethMungo 3 күн бұрын
Jambo jema sana
@DativaMbowe
@DativaMbowe 3 күн бұрын
😂😂😂😂 nyie humu ndani nisaidien kwani ninan?? Mbona usoni simwelewi??😂😂😂
@magaigwa4204
@magaigwa4204 4 күн бұрын
Mkono mtupu haulambwi
@froma3732
@froma3732 4 күн бұрын
Hao Kuna watu Wanawasimamia
@kesterkanyala7718
@kesterkanyala7718 4 күн бұрын
SASA WEWE,IBA TU TSHS. 50,000...NI, SUKUMA NDANI MIAKA 30 -KWA MILIONI 500...NI RUDISHA TU MHESHIMIWA..
@mbondelotv8380
@mbondelotv8380 5 күн бұрын
Jamani nini tena
@godfreychitanda2031
@godfreychitanda2031 5 күн бұрын
Kipindii cha manji yanga ilitamba ndani tu wala sio kimataifa, usidanganye tafadhali,
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 2 күн бұрын
Wakati"wakati sahihi ulikua bado!kila kitu ni wakati
@user-qu1mq2ik2e
@user-qu1mq2ik2e 6 күн бұрын
Mtetezi wa wanyonge makonda barikiwa sana
@user-qz2cs5wm5u
@user-qz2cs5wm5u 6 күн бұрын
Atamtume muhamad alikimbia kutoka maka kwenda nadina kukimbia ni sunna
@elidadi1351
@elidadi1351 6 күн бұрын
Pumzika kwa amani
@AiserAli-mq6sz
@AiserAli-mq6sz 7 күн бұрын
Watu sio kama wanapenda chadema watu wanampenda lisu kiongozi ni mkweli napia mtetea haki za raia Tz hilo ujue angalia mikutano ya lisu na yako ww mwenye chama cha milele na uenyekiti wa maisha chadema
@cosmasymaseko4153
@cosmasymaseko4153 7 күн бұрын
Pamoja sana
@user-hd5bg8qw1b
@user-hd5bg8qw1b 7 күн бұрын
MUNGU AKULINDE,AKULIPE KWA HAYA UNAYOWAFANYIA WANANCHI HASA WA HALI YA CHINI ZETU DUA MUNGU AKULINDE NA MAADUI,HUSUDA MUNGU AKULIPE NA UWE MFANO WA KUPIGWA
@machoguhameri7757
@machoguhameri7757 7 күн бұрын
Tatizo maafisa wa DAWASA wana magari ya kuuza maji pia wanapokea kamisheni kwa wauza maji kwa hiyo ili biashara yao ifanikiwe ni kutengeneza tatizo la uhaba wa maji au kukatakata maji ili liwepo tatizo la uhaba wa maji wao wauze maji yao kisha wanakumbambikia bill ili waonekane watu wanapata maji na seriksli inapata pesa kumbe pesa haramu za kubambikiwa Bill
@HawaKingodi
@HawaKingodi 9 күн бұрын
Naipenda sana hii kapu
@kokukarokola4974
@kokukarokola4974 9 күн бұрын
Bora tu afanye hivyo manake ulichoongea bungeni maji week end hata hayaonekani. Muheza mwenge umezindua matanki maji hakuna tulikua tunapata Mara mbili kwa wiki saizi hata hiyo moja mgogoro.
@MrishoMtika-ir1xv
@MrishoMtika-ir1xv 9 күн бұрын
Ivi malipo ya maji ukitaka uletewe hadi nyumbani kwako ni 1200000
@saxannjo6173
@saxannjo6173 11 күн бұрын
Mtu mmoja anatumia lita 135 kwa siku. Mahitaji ya maji (174,650 × 135) kwa siku
@zefamange7281
@zefamange7281 11 күн бұрын
Raisi POLL CRISTIAN MAKONDA 🙏🙏🙏
@teddyjohn4109
@teddyjohn4109 12 күн бұрын
mungu. akulinde kilaunapo. kanyaga. mungu yuponawe
@aloycelomitu9630
@aloycelomitu9630 12 күн бұрын
Muheshimiwa ktk viongozi ww ni kiongozi bora mwenye uchungu na watanzania pamoja na raisi wetu daktari samia yaani tunatamani mwakani uwe hata makam wa raisi ili ukawanyooshe uko Sawa cna ww mungu akulinde cna makonda
@user-hd5bg8qw1b
@user-hd5bg8qw1b 13 күн бұрын
MAKONDA MUNGU AKUPE UMRI MREFU HAKIKA WW NI JEMEDARI.TUNAOMBA URUDI TENA DAR
@leonardmhagama5828
@leonardmhagama5828 15 күн бұрын
Shukrani Doctor
@noushaddammam8805
@noushaddammam8805 16 күн бұрын
sijapata kuona raisi wa kenya fala na mbwa kama uyu ruto
@truphosamunala7731
@truphosamunala7731 16 күн бұрын
😢
@sebamahenda5833
@sebamahenda5833 17 күн бұрын
Makonda tunakutaka mwanza kwa mkopo usajili tutalipa wenyewe njoo
@DarVon-z3b
@DarVon-z3b 17 күн бұрын
Mwili wa marehemu
@shabandamas1759
@shabandamas1759 17 күн бұрын
UKISHA PITA UCHAGUZI MKUU MADAKTARI BIMBGWA WATAENDELEA KUHUDUMIA WATU KWA UTARATIBU HUU AU HII NIKWAMSIMU HUU WA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU..?
@piusjuma7384
@piusjuma7384 19 күн бұрын
Tatizo si wasomi tatizo ni wabunge wanaotunga Sheria....hivyo Sheria iwe Haina maadili au haifai inabidi ufuatwe..kama wabunge wataona Sheria inatakiwa kubadlisha ili kukidhi hitaji la kisheria kazi kwao...kwani Kuna Sheria nyingi zimepitwa na wakati lakini tatizo aina za wabunge tuowapeleka bungeni
@jacklinekirera2980
@jacklinekirera2980 20 күн бұрын
That's true 👌💪💪
@ashapearubart2624
@ashapearubart2624 20 күн бұрын
❤❤❤ nampenda sana. Jamani niko wa kwanza
@laurentmkolea522
@laurentmkolea522 21 күн бұрын
Mungu akupe Maisha marefu Mpina
@MapenziMalanda
@MapenziMalanda 21 күн бұрын
Shika hi__! Ziara ya Karatu nvua kumbwa inaenda kutokea huko, na nvua hiyo ndio Inaenda kukata waya wa mawasiliano kati ya viongozi wawaili Hawa. Mbw na Ls Sipingi uwepo wa upinzani nchini lakini na Pinga upinzani bandia.......
@atetadahylan
@atetadahylan 22 күн бұрын
😂😂
@SeverinMagwaya
@SeverinMagwaya 22 күн бұрын
pua jamani puaaaa!!
@gaspercharles2244
@gaspercharles2244 22 күн бұрын
Halafu inaonyesha uwezo wako wa kufikiri ni mdogo Sana msaka tongue natafuta cheo yaani ww hata akili ya kumbukumbu huna hizo tafsiri zako ww unamwakilisha Nani ww acha kutaja wananchi hayo ni maeazo yako na mkeo ss tulikutuma lini na kikao chs kutuwakilisha ss wananchi kilikuwa wapi wasomi njaa acheni kujipendeleza cheo kinatoka kwa Mungu sio uchawa
@gaspercharles2244
@gaspercharles2244 22 күн бұрын
Wasomi wa Tanzania wengi wachumia tumbo yaani ww msomi wa wapi avunje sheria kwa kuwa Sukari hakuna Na kama ni hivyo hata Marehemu Lowasa alikuwa anaitoa nchi gizani lkn aliwajibishwa acha upumbavu ww msomi wa kimka....tu huna lolote
@MasterPetro-oj1fd
@MasterPetro-oj1fd 23 күн бұрын
Kama mtampa adhabu namimi njooni mkanipea adhabupia.
@victorkisenha5933
@victorkisenha5933 23 күн бұрын
Wew ni MJINGA,
@victorkisenha5933
@victorkisenha5933 23 күн бұрын
Spika wa bunge, tuna taka hatima ya waziri, wew sidhani km ww umetafakar vizur, spika alitakiwa kuunda kamati, wew huna lolote,
@victorkisenha5933
@victorkisenha5933 23 күн бұрын
Mpina ni mwakilishi wa wananchi, kamati nyingi zilishaidwa uchunguzi wa mambo mbalimbali lakin, hakuni utatuzi na mzahaha, ki ufupi ni kwamba , mpina ni kimbilio letu na ni kioo cha jamiii, tumechoka kuteswa,
@matiredms917
@matiredms917 23 күн бұрын
Yup ni urasimu wa kipumbavu. Maslahi ya Wananchi kwanza. Nyie ni wasomi njaa chura na wajinga.
@athumanhassani805
@athumanhassani805 23 күн бұрын
Brother mpina ni mbunge sio waziri mpina yupo kwaajili ya watanzania sasa yeye kapeleka hoja ngoja wenye kuijuia sharia wakae jwanini ujibu wewe sio serikali
@SaugoNdemo-tx4le
@SaugoNdemo-tx4le 23 күн бұрын
Aliye jikoni ndiye anayejua kuni inayotoa moshi...! Kama ushahidi ameleta sasa hoja iko wapi..! Nawe msomi uliitisha wana habari kuhusu swala hili!?