Naendelea kubarikiwa zaidi kwa maneno na sauti za nyimbo hizi nzuri za sauti jangwani.🙏🇰🇪
@thomaskimuyu14268 күн бұрын
Baraka tupu kutoka kwa Hawa waimbaji Thomas kimuyu kutoka kenya
@luckymsomba481812 күн бұрын
wapiga vyombo n mafundi
@luckymsomba481812 күн бұрын
blessing
@EfraimjonathanNdono-py6bk12 күн бұрын
Amani bila Yesu haipo. Ujumbe from Efraim jj Ndono
@EfraimjonathanNdono-py6bk12 күн бұрын
Wafanikiwe wote wapatao ujumbe kutoka kwaya ya sauti ya Jangwani SDA CHURCH.
@Amospius-r3y2 ай бұрын
jamani albani ya wimbo huu wapi,? kuna wimbo unasema mpumbafu asema moyoni mwake yakua ni hakika hakuna mungu!
@HakikaFlowers2 ай бұрын
Mbarikiwe jamani kwa uimbaji mzuri
@kulwanaftali86582 ай бұрын
Tangu nikiwa mtoto nawasikiliza,sasa nina zaid ya myaka 28,mungu na awatie nguvu
@HafashimanaLevis-rp5ru3 ай бұрын
NNawafuatilia100% Burundian in South Africa 🇿🇦
@Amospius-r3y3 ай бұрын
masikini nikiwa na miaka mitatu! mungu awahuishe jamani
@Amospius-r3y3 ай бұрын
usinitumie chochote nitumie nyimbo hizi!
@Amospius-r3y3 ай бұрын
albam ya huu wimbo utafikiri ilitoka mbinguni, ni miaka mingi sasa,mungu uwalinde waliopo na waliotutangulia uwasamehe kwani nao ni binadam hawakukosa mapungufu!mungu u mwema ahsante wabariki jangwani hunipa furaha,hunifariji,amina!
@NeemaMagesa-s2g3 ай бұрын
Dah wimbo huu unanikumbusha mbali Sana kiukweli ni mzur mungu awabariki Sana
@LeahMahizi3 ай бұрын
Nipokee yesu wangu🙏
@danielmagigita93563 ай бұрын
"walikuwa kama wakita ndoto hawakutegemea" ♥️♥️♥️♥️ yaani ni kamsitari kanakogusa balaa na kanasisimua na kutia matuamaini sana...mungu awabariki sana nyinyi watu🙏🙏
@robertcheluget90345 ай бұрын
Great message. Be blessed.
@danielkoomekinyua77845 ай бұрын
Love this music am blessed with your songs
@bugotatumain31535 ай бұрын
hiki kikosi kilkua cha kipekee sana,, Mungu azidi kuwabariki
@joaskisas77656 ай бұрын
Aaaaamina
@rehemasima-um9pn6 ай бұрын
Pia sana
@NgoroNgaki6 ай бұрын
Mungu abariki Saudi zenu
@PhilemonLYANABOHA6 ай бұрын
ce très génial vraiment allé de l'avant
@KimilaSayi7 ай бұрын
Amen
@imitekererezeihabanye86817 ай бұрын
Amina. Barikiweni sana wambaji wa jangwani. Yesu anakaribia sana kurudi ili awapatie uzima wa milele.
@sephaniapius7 ай бұрын
Amina
@StevenHinjo7 ай бұрын
Nimebarikiwa
@TonneyAbiero7 ай бұрын
Nimebarikiwa sana tangu 2004.
@EdwardKapongo-f2y8 ай бұрын
Barikiwa sana
@SamsonNalumio8 ай бұрын
Ukweli huo ,kila siku tunatembea tukitafuta kaburi mahali ilifichwa .
@PriscaMaige8 ай бұрын
Amen
@dorcasmasinde73498 ай бұрын
Mungu awazidishie
@dorcasmasinde73498 ай бұрын
Mungu awabariki na kuwazishia,ninapousikiliza huu wimbo ninapata faraja tele moyoni mwangu
@cosmassamon97238 ай бұрын
Hii kwaya iko vzr kwa uimbaji na mwonekano M'balikiwe
@PeterKasia-e6s9 ай бұрын
Shikilieni papo hapo wenye Imani,
@kimilasayi26269 ай бұрын
Amina kwaya ya jangwani Mungu awabariki sana mmenena maneno ya kweli
@BarakaMkwabi9 ай бұрын
Amen
@patrickmokua30399 ай бұрын
TUSIJE TUKASIFU SIKU KULIKO MUNGU MWENYE MAMLAKA JUU YA KILA KIUMBE.
@kimilasayi26269 ай бұрын
Jangwani haki Mungu awabariki sana ujumbe umetufikia wahusika wote kilichobaki ni utekelezaji
@dorcasmasinde734910 ай бұрын
Mwenyezi mungu awabariki Hawa waimbaji wa Tanzania kwa ujumbe mkuu kama huu.
@JumaMhondejo-ce4ne10 ай бұрын
Jaman nawakumbuka sana lakin mungu yupo
@JumaMhondejo-ce4ne10 ай бұрын
.mungu kwanza
@kidayikiteleja335310 ай бұрын
Hakika Ni wimbo wenye funzo na matumaini kwa wanaomtegemea Yesu Kristi. Mungu awabariki Sana Wana Jangwani
@dicksonakyoo401910 ай бұрын
Mwambie yesu bwana nimetubu,nimesumbuka bwana nipokee🙏🙏🙏
@DanielSimon-x3r11 ай бұрын
Nyimbo zenu hazichoshi kusikiliza zinanibarik sana mungu awakumbuke ktk ufarme wake Amen by mr Daniel simon Mozambique
@DanielSimon-x3r11 ай бұрын
Mbarikiwe na nyimbo zenu zinatangaza uku wa mungu mr Daniel simon maputo mozambique
@bahatiFaustian11 ай бұрын
Mumm
@neemaernest9922 Жыл бұрын
Nabarikiwa tena 2023 mwezi huu wa 11 sabato ya tarehe 4