Пікірлер
@OS-pf6op
@OS-pf6op 7 минут бұрын
Yanga inatisha..👏🏾👏🏾👏🏾
@davismuzahula907
@davismuzahula907 14 минут бұрын
Kwa hiyo mpira mmeacha mmeanza mitindo 😂😂😂
@OS-pf6op
@OS-pf6op 12 минут бұрын
Kila kitengo tuko bora!
@simonnjovu586
@simonnjovu586 18 минут бұрын
Watarudi, mbona tulirudi kutoka Algeria.
@ahmadSeif860
@ahmadSeif860 24 минут бұрын
Hapana SANDA hapo
@maliadii4829
@maliadii4829 Сағат бұрын
Bado hamjasema mpaka mseme yanga bingwa kila sehemu 😂😂
@ELIACHOMOLA
@ELIACHOMOLA 2 сағат бұрын
Ngoja tutaona kesho
@robertedward1992
@robertedward1992 2 сағат бұрын
Huyu amekuwa wakala wa GSM,hana rolote tena
@MusaStephano-s9c
@MusaStephano-s9c 2 сағат бұрын
Hivyo mmemleta simba B.
@BeniYaredy
@BeniYaredy 2 сағат бұрын
Wanalud kwenu au Kwa baba yako mjinga nn
@mussashoo916
@mussashoo916 3 сағат бұрын
Ahsante kaka Julio wambie hao
@AbdallahMohd-c5w
@AbdallahMohd-c5w 3 сағат бұрын
Mkifungwa musirudi huku
@hawamasanje9589
@hawamasanje9589 3 сағат бұрын
Jamani Yanga rahaaaaaaaa!!!!🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 msionyeshe timu yetu ikifanya mazoezi kuna wenye macho mabaya Madunduka
@KosovoNaiiem
@KosovoNaiiem 4 сағат бұрын
Mtoto mchawi huyo Toka aondoke kapombe katulia mbona wewe umchukui timu ya taifa
@FemidaYahaya
@FemidaYahaya 4 сағат бұрын
Wananchiiiiiiii🎉🎉🎉🎉
@EvelineKimwaga
@EvelineKimwaga 4 сағат бұрын
Kweli
@LucaiyaKyaka
@LucaiyaKyaka 5 сағат бұрын
Kilalakheir wanayanga
@GenelivaSylvester
@GenelivaSylvester 5 сағат бұрын
Kinachouma n kupokelewa hvo af mnafungwa huko huko jmn
@DaviesLaitayo
@DaviesLaitayo 6 сағат бұрын
Julio tuliza mkumdu unaongea sana tuachie Simba yeti Domo ka mkundu
@johnhamisi5692
@johnhamisi5692 7 сағат бұрын
wewe nani Simba na yanga ndio zao piga kelele kipindi ukikimaliza sepa
@Shu-w7f
@Shu-w7f 8 сағат бұрын
Mkafungwe In sha Allah tukiwa support mnatuombea mabaya
@Abuu-gs1yi
@Abuu-gs1yi 4 сағат бұрын
Nanyi pia mfungwe in Sha Allah
@Shu-w7f
@Shu-w7f 4 сағат бұрын
@Abuu-gs1yi utasubir sana nyie mtafungwa yakuhesahu tumewaombea siku tunacheza mkafurah aisee iliniuma mm daima michezo ya kimataifa huwa na support hata yanga
@IssaNammohe
@IssaNammohe 8 сағат бұрын
Huyu naye yanga B
@yusufufikiri5005
@yusufufikiri5005 10 сағат бұрын
HAMNA MCHEZAJI MULE. MPELEKE WEWE AKAMCHEZEE MAMA YAKO. FALA WEWE.
@yusufufikiri5005
@yusufufikiri5005 10 сағат бұрын
WE JULIO HUNA AKILI WEWE. MWANZO UMESEMA UGOMVI WAO UNAUJUWA. HAPOHAPO UNASEMA UGOVI WAO UHUJUI MSENGE WEWE. IMEKUUMA MWENDA KUFUKUZWA NA SIMBA MATAKO WEWE.
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 11 сағат бұрын
HV NA NYIE MNABAKIA KUMSEMA AZIZI KI KWANI AMEWAKOSEA NINI?WACHEZAJI WENGI WANA WAKE ZAO. NA WEWE HUPO KWENYE MAHUSIANO? JE NA WEWE WAKUJADILI? NA WOTE WANAOSHANGAA NI WASHAMBA SANA. ACHENI KUINGILIA MAMBO YA WATU. NA WEWE KIWANGO CHAKO CHA UTANGAZAJI KIMESHUKA NA WEWE WASEMEJE?MNAMCHAFUA SANA KIJANA WA WATU.
@EmmanuelMsangi-kb3vv
@EmmanuelMsangi-kb3vv 11 сағат бұрын
Jamaa akiamua kazungumzia mpira anajua sana
@AllyMasangaluka-bm5ib
@AllyMasangaluka-bm5ib 12 сағат бұрын
Wemgogo nani uji kiswalii sio tumeachananae sema tumeachananae ww kengewe
@AllyMasangaluka-bm5ib
@AllyMasangaluka-bm5ib 12 сағат бұрын
Boka ajitafakali anakimbia kufatakibendela badala aingie ndani kuleta madhala
@RoseManyama-j5u
@RoseManyama-j5u 12 сағат бұрын
Huyo Amed ally aachane na yanga asiingilie usajili wetu wala sis kufungwa haimuusu kuna wakati wa furaha na uzuni ndo maan kikawepo kicheko na kilio
@HusseinYusuphsimile
@HusseinYusuphsimile 12 сағат бұрын
Unaingilia ugomvi utaweza vumilia?
@HusseinYusuphsimile
@HusseinYusuphsimile 12 сағат бұрын
Julio wewaache wazodoane wenyewe. Au huwaunapenda kutukanwa?
@JJ-fb9jp
@JJ-fb9jp 12 сағат бұрын
Dr Julio nakukubali
@CareenTemba-j4l
@CareenTemba-j4l 13 сағат бұрын
😮sasa mbona kaenda singida kwanini hajaitwa kwenye hiyo timu ya taifa ? kila mtu asimame kwenye mipaka yake tusubiri kwani ligi si ipo atacheza na ataonekana
@simonndunguru1629
@simonndunguru1629 14 сағат бұрын
Ahmed Ally niwakumpuuza kaishiwa Maneno ndio maana ni Msemaji Mwenye Gundu Tangu ajiriwe na Simba hajafurahiwa Ubingwa ktk Timu ya Simba. Mwenda ni Mtz na YANGA ni TZ
@PascoNikolaus
@PascoNikolaus 15 сағат бұрын
Ww unaweza
@JosephChrisant
@JosephChrisant 15 сағат бұрын
Ahmed Ally ni debe tupu yule anaropoka ropoka tu.
@ChristopherK4
@ChristopherK4 17 сағат бұрын
Mwenda ni mkatili Sana bonge la beki
@HamisiMwimkuu
@HamisiMwimkuu Күн бұрын
Kweli
@AllyShaban-ms7ot
@AllyShaban-ms7ot Күн бұрын
Kama Ni mchezaj mzur mbna kakoxa namba ximba na xingida
@rashidmaulid7312
@rashidmaulid7312 Күн бұрын
Kiwelu ktk hili umeingiaje.
@AllyShaban-ms7ot
@AllyShaban-ms7ot Күн бұрын
We mzee Ni mkund unaangaika xna
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 Күн бұрын
Mwenda wakaida huwezi kumlinganisha na Kapombe. Hawezi kupanda na kushuka na hawezi kupiga cross.
@benardmagere-yu4pw
@benardmagere-yu4pw 12 сағат бұрын
Kwani timu ikitaka kusajili beki lazima ikamulinganishe na kapombe?
@Tiger-i8b6i
@Tiger-i8b6i Күн бұрын
Kila mtu ana haki ya kuheshimiwa
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 Күн бұрын
Huyu ni mzee wa maokoto sio wa kumsiliza sana, anaongea ili aokote
@shaameshaame2837
@shaameshaame2837 Күн бұрын
Ni mchezaji mwenye bahati ya kucheza tumu kubwa tu co kiwango. Wapo wengi wanamzidi kiwango lakn wapo kwenye timu ndogo. Mm ni Yanga lakn huyu ni mchezaji wa kawaida sna. Na kuingia Robo inawezekana kikubwa wachezaji wetu wakubali kutoa jasho jingi mazoezn ili wakapambane kikamilifu ktk mechi tushinde
@MarryIdabu
@MarryIdabu Күн бұрын
Wewe ukisema wa nini,wenzio wasema nitampata lini kama hana kiwango unamwongelea wa nini
@RoseManyama-j5u
@RoseManyama-j5u 12 сағат бұрын
Ndo maan walisema utupacho wew kwake ni dhahabu sis tunampokea
@JohnKapalamula-z9j
@JohnKapalamula-z9j Күн бұрын
Huyu jamaa mtu wampila sana
@davidmaida2192
@davidmaida2192 Күн бұрын
Mwenda karibu Yanga timu kubwa Africa achana na huyo mchawi Ahmed msemaji mwenye gundu uwepo wake simba ni matatizo endelevu....😂😂😂
@athumanmsuya2688
@athumanmsuya2688 Күн бұрын
Ushauri Kwa wachezaji wa Tanzania hasa wanaobahatika kucheza timu hizi kubwa mbili acheni maneno hayakusaidii,yanakuweka kwenye pressure be professional hata kama umesemwa
@AllyMilunda
@AllyMilunda Күн бұрын
Kwani kibabage ilikuaje alikuja yanga kwamkopo akapambana kiwaongo kimeonekana akapata mkataba na yeye ataweza kukaza akuna mchezaji yoyote akaitwa kwenye yanga au simba ukakataa kwenda