Hongera sana baba askofu na uongozi mzima wa dayosisi ya DKMS kwa kazi mnayoifanya hakika Mungu azidi kuweka mkono wake daima Amina🙏🙏🙏
@herikanama657329 күн бұрын
Kustaafu kwa heshima ndio kukoje huko?
@JoshuaHilgath29 күн бұрын
Amina Amina
@OswardGaudence-gn4lo29 күн бұрын
Amina Mungu Awabariki sana waimbaji nimebarikiwa sana
@robertamos3646Ай бұрын
Great work! Kila kada yahitaji msasa na kumbusho. Getting things done through people. Mungu na awafanikishe ktk malengo.
@johntanaki2922Ай бұрын
Hongera Baba Askofu kwa maneno ya Hekima na Busara katika ufunguzi wa Semina ya Wachungaji na Mashemasi wa DKMs. Umenikumbusha mahali hapo mwaka jana. Mahali hapo ni pazuri kama nini!!