KASIMU MAFUTA UJE UTOE MAELEZO KWA NINI UMEPIGA PICHA TENA UNACHEKA WAKATI UMETUFUNDISHA MIAKA YOOOTE KUWA PICHA NI HARAAMU KABISA HAIFAI...LEO UMEKULA MATAPISHI YAKO MWONGO MKUBWA WEWE
@UmmulhabibaFarajАй бұрын
Nyie acheni kutenganisha ukweli maswahaba hawakufanya hivyo hata walivyokhitilafiana Kwa mambo madogo waliendelea kuxhikamana ninyi mwatoa wapi hivyo vitu Muogope allah
@abulfidaaassalafy2518Ай бұрын
Sauti kuiwekea mwangwi mkubwa au effect ya echo inaleta tabu kwenye kuskiliza, ushauri wangu mtafute uzoefu kwenye kuedit sauti ikae vizuri kwa vijana wanaohusika na sauti kwenye markaz kubwa, baarakallahu fiykum.
@ahmadmzoa746 ай бұрын
That's..
@ahmadmzoa746 ай бұрын
Total approved failure Daawa. Matamanio ya nafsi hana mashiko Qasim. Angeacha khusuma, hasadi na malumbano angekuwa Daai' mzuri. Lakini pia wanaokuzunguka hawakusaidii zaidi ya ushabiki.
@ahmadmzoa746 ай бұрын
Total approved failure Daawa.
@AbdulIssa-o7e8 ай бұрын
Sasa hizi nguvu mngekuwa mnazielekeza watu wa sunna wote kwa makhurafi na mashia ingekuwa jihadi kubwa sana na mngezivunja vunja bidaa na shirki, lakini muda mwengine mnashambliana wenyewe kwa wenyewe ahlsunna tofauti ndogo ndogo mpk mnatoana kwenye sunna, shikamaneni ahlsuna kwa ahlsunna msiwape nguvu ahlu bidaa ingekuwa vzr sana
@ahmedabdulwahab544411 ай бұрын
Your not addressing issues but personality. Hio ni upuzy. Will not give you any millage on your popularity your looking for. It's only Barking.
@ahmedabdulwahab544411 ай бұрын
Challenge with Dr Islam on Hiwar or Niqash without any barking?
@ahmedabdulwahab544411 ай бұрын
Usless repeatation by Kassim Mafuta and his groups without any reference to Quran and Sunna.
@twahaabrahman-ev8co Жыл бұрын
ALLAH ilinde hii ngome
@JUMARAJABUKACHEPA-jp3nc Жыл бұрын
Mashaallaah
@mussakhamis-g8c Жыл бұрын
HASANAT WA QABIHAT AMESEMA IMAM NAWAWI HIZO NI AINA ZA BIDAA
@mussakhamis-g8c Жыл бұрын
MNATUCHANGANYA HATUWAELEWIIIIIIIIIIII!!!! Mbona Imam Nawawi mnasema kazigawa bidaa nzuri na mbaya au sijamsikia vizuri pale dakika ya 31??
@JabirHaji-vj2nf Жыл бұрын
Njoo tumbatu jongowe tukufahamishe historia ya msikitini huo usijisemee tu mambo ambayo huyajui
@shahabdallah9407 Жыл бұрын
Nlichofuatilia hyu sheikh anaupinga kwa vile Madheheb anayofuata yy hayafanan na madheheb y wtu wnaoushughlkia huo mckiti
@Ummy891 Жыл бұрын
حفظك الله يا شيخنا
@kadiraliigaya444 Жыл бұрын
اجعل هذا الدرس في telegram يا شيخنا بفضلك
@abuualbany Жыл бұрын
بَارَكَ اللّٰهُ فِيْكَ شَيْخَنَا
@AbdallahSalim-fs6ti Жыл бұрын
ALLAH akuhifadhi sheikh Abul Fadhli unaeleweka kabisa maneno ambayo hata mtoto anaelewa.
@abuumuslim3601 Жыл бұрын
❤ ما شاء الله
@maryamhamad46822 жыл бұрын
Jazakallah khayr, tunaomba Darsa la 14-20
@seifngane52622 жыл бұрын
Assalam alaykukum warahmatullah, mbona darasa hii haziendelei tena
@ilhamb12872 жыл бұрын
Tunawashuku mno tunafuatilia darsa
@abuuuyaynah6982 жыл бұрын
جزاك الله خيرا
@aminirashid28332 жыл бұрын
Jazakawallahu khaira
@aminirashid28332 жыл бұрын
Jazakawallahu khaira sheikh
@yussufhamad37212 жыл бұрын
Hogera sana shekh Allah akuhifadhi
@saidisalum15142 жыл бұрын
جزاك الله خيرا
@ilhamb12872 жыл бұрын
Allah awalipe
@ilhamb12872 жыл бұрын
Maa shaa Allah
@amourmakame97952 жыл бұрын
Masha Allah
@hanifatanzania72582 жыл бұрын
Jazakallah khaillah shehewetu kwa ukumbusho
@HashimAli-uh6bo2 жыл бұрын
MashaAllah sheikh wetu Allah akuhifadhi
@selemanismail2472 жыл бұрын
BarakAllahu feekum
@jamilaawaz77982 жыл бұрын
Allah muhifadhi sheikh wetu
@saidkhamisi95922 жыл бұрын
Jazakallahu khaira yaa abal Faadhil Allah akuhifadhi na akubarikie katika Elmu yako
@ahmadmzoa742 жыл бұрын
Waharibifu wa Dini.Vijana wanaojinasbisha na Usalafi wanatoa matusi kutoka vinywani mwao.Msiba mkubwa.
@ahmadmzoa742 жыл бұрын
Hivi ule muhadhara mmoja tu ndo unazaa raddi zote hizi ???!!!Au kuna jambo jingine. Waislamu wa kweli huwa hata kama wamegombana huchunga mipaka ili wasije ingia ktk aina ya nne ya unafiki "Na pindi wanapogombana hupitukia mipaka "Fortunately enough hapa hakuna ugomvi. Swali kuhusu Manhaj Assalafi lilijibiwa na Dr.Islam kwa mujibu wa kauli ya mwanachuoni mkubwa Shaykh Uthaymin Rahimahu LLAH.
@ahmadmzoa742 жыл бұрын
Akiacha Hasadi na maneno ya kejeli atakuwa Dai anaefuta mienendo ya wema waliotangulia. Lakini kwa mwenendo huu ameprove failure.
@ahmadmzoa742 жыл бұрын
Hata ziwe raddi Mia moja kwa muhadhara mmoja. Inaonesha namna gani hupendi haki ìzungumzwe na mwingine, uwe wewe tu shekhe wetu. Mche MOLA.
@ilyasabdul-malik45718 ай бұрын
Kaka bc ata hoja huzisikii bac au hujasikiliza mwanzo mwisho kaka, au just ndo unamchukia shekh kassim tu ata kama anazungumza haqqi??
@ahmadmzoa748 ай бұрын
@@ilyasabdul-malik4571 Mimi nina flash niliyoipata Dodoma miaka kadhaa ni msikilizaji wa darsa zake na ninampenda kwa ajili ya ALLAH SUBHANAHU WATAALA.Na WALILLAHIL HAMDU chuki si tabia yangu.Tunafaidika na darsa zake. Lakini tutambue yeye kama binadamu wengine sio (Maasumiin) anapatia na anakosea.Na kama sisi tunampenda ki LILLAHI tumsadie. Kuamini hakosei hayo ni mapungufu ktk Aqida sahihi. Tuwe wakweli tuache mihemuko.
@ahmadmzoa742 жыл бұрын
Tuache kujitukuza. Dr. Islam amenukulu. Au wewe unamradi kiana almarhum al a'lama Shaykh Uthaymin Rahimahu LLAH. Manake jamii inawalewa nidhamu zenu.Ittaqi sheikh wetu .
@ahmadmzoa742 жыл бұрын
Tuache Hasad.Kababaisha nini?!Acha Hasad shekhe. Kwani wewe una hati milking ya huo Usalafi??!!!
@hayfsrajnah2222 жыл бұрын
Mashaallah, Allah amuhifadhi sheikh wetu. Allahumma amin......
@mwantumsaleh19912 жыл бұрын
Allah akuongeze mafuta baramika
@ekishaschool1632 жыл бұрын
Baaraka llaahu fiyka wajazaaka llaahu khayraa
@ekishaschool1632 жыл бұрын
Baaraka llaahu fiyka wajazaaka llaahu khayraa
@مبغضالبدع-ع9ص2 жыл бұрын
Haya ametangaza Islam kuwa yuko tayari kwa mjadala, ameambiwa watu wako tayari! Aseme wapi na lini afuatwe! Anacheza na usalafy! Ataporomoka asipo rudi nyuma.
@ilyasabdul-malik45717 ай бұрын
Dini sio ligi sio masindano au ushabiki ndugu yangu Angalia na kusikiza kinacho zungumzwa
@مبغضالبدع-ع9ص2 жыл бұрын
شكر الله سعيكم وثبتكم الله على الحق.
@worldresearcher74232 жыл бұрын
Mwambieni sheih mafuta awaradd mahajaawira..,
@allyjaffar70722 жыл бұрын
Allaah amtie nguvu Shaykh letu Abuwlfadhwl Qaasim Mafuta...