Na ambao jamani tuna maex kama wote 😢 jaman nachanganyikiwa mimi.sijui nani sasa hapo 😂
@MIRAWIVINNE2 күн бұрын
Ila mimi kuna mtu ambae alinipenda na mimi nikamupenda sasa mimi sikuonesha kama nampenda nika mkataa nayeye aka nichukia sana ila kua sasa namuhota sayote mimi nifanyeje kua sababu nakosa amani ya moyo
@MajabuHemedi4 күн бұрын
Mimi zote dada napitia maneno yako yananifariji sana na imani yangu ina nambia ataludi tu japo nna miez nae kama kumi hatuna mawasiliano na nnaendelea kujitunza😌
@maryamsuleiman63406 күн бұрын
Nikweli ila wengine ndoutamsubiri sana kukutafuta ,nachukia Mapenzi mana yanaumiza
@faustamumbee91607 күн бұрын
Mipango yangu yote itafanikiwa kwa kiasi kikubwa sanaaaa
@Rosemary-s4f11 күн бұрын
Asante kaa ushauli
@ElizaDidace11 күн бұрын
Nafanyaje sasa kumrudisha maana najua ananipenda na mimi nampenda nafanyaje basi turudiane maana mimi naumia na yeye pia ndg na marafiki zake wananmbia kuwa ananitaja sana na amaumia sana kuachana na mimi
@upendomaimu353915 күн бұрын
Nimekuelewa
@warriorcatherine11925 күн бұрын
Kuna binadam hawajali ata ukifany hvy ni saw nakumwambia tu aondoke mazima kabisa...kwnn tusikubal nakuacha waende japo ni ngumu mapenz yanatuumiza san bora yasingeumbwa
@ZenabAli9527 күн бұрын
Shukran dear.juu nimeforce hadi bado nilikuwa naedelea kuforce na wapi.
@prisho-rx5bb28 күн бұрын
Asanteeee me nitatumia njia ya barua 😢😢
@HusseinKikomeАй бұрын
Shuklani dada uko vizuli mungu akuzidishie
@FatmaMtangiАй бұрын
Asantee dada mimi nitazid kumuombea mungu naamin tutaludian Sina niambay nayeye naamini kua mungu ataludisha mapenz mimi naimani tutakaa sawa
@Eliyasanga97Ай бұрын
❤❤❤❤
@zeynabmohamedzeynab4753Ай бұрын
Nikimis tu nakuj kuskilz ap nikae sawa kidog
@ElizabethJeremiah-gq5prАй бұрын
Ukmaliza yote karatas una iweka wap??
@zeynabmohamedzeynab475322 күн бұрын
Chin y mto
@CatherineMwanjala-v8gАй бұрын
Yaan mim nafuta kabisa na namba yake lakini naisave tena
@SalmaHussein-g7fАй бұрын
Mie hataki kabisa kunisikia sauti yangu ila vijisms anajibu ukimpingia hapokei😂
@AbeilAbeil-h6hАй бұрын
Dada kama mahusiano changamoto kila siku ni kupgizana kelele na ex wako migogoro haiish nin nifanye naomba msaada kwako
@fathiyahmuzney7367Ай бұрын
Njoo tupendane na mm😂😂
@zeynabmohamedzeynab4753Ай бұрын
🤣🤣🤣@@fathiyahmuzney7367
@zeynabmohamedzeynab4753Ай бұрын
Sikia fany iyo njia y kuandk nakwambia week haaaiish anarud🤣
@fathiyahmuzney7367Ай бұрын
@@zeynabmohamedzeynab4753 ni kwel au
@FelisterMwende-g7cАй бұрын
Ni mwezi Moja ss bila mawasiliano ila Kila nikipanga kumtukana au kumuomba turudiane,,tuseme kama nilikua Kwa nyumba nikitoka nje mipango inaisha naaza Tena kukubali maumivu😢
@SalmaZuber-h5zАй бұрын
Dah siarudi tu 😭😭😭😭😭😭
@SikudhanBakariАй бұрын
Mm nna mpenz wangu 2Meachana juzi 2 hehe ney aliye niacha lakn najikut bad nampenda na moyo unaniuma sana kea kuchukuwa maamuz ya kuniacha 12:39 😢
@SalmaHussein-g7fАй бұрын
Mie nikikumbuka mema yake roho ndio inazidi kuniuma sana
@SalmaHussein-g7fАй бұрын
Ndio mimi sasa napitia wakati huu
@jamilaathumani5481Ай бұрын
Unajuwa sana kuelekeza nina...nakupenda sana❤️🥰nina
@jamilaathumani5481Ай бұрын
Iyo mlango wa sita wafaham nahisi hata maprojuza na wasanii inawasaidia sana ndomana unakuta mtu amekaa tu from no where mala anajikuta amepata biti ya wimbo au melody ya wimbo fulan ndo mala unakuta anaimba kama mwanamuziki au kama producer anajikuta anatunga biti amabayo haijawahi kuimbwa...kumbe mlango wasita wafaham ndo umemletea taarifa....izo habar ni zakwel kabisa da nina..nitaanza kujifuatilia zaid
@jamilaathumani5481Ай бұрын
Ata mim wakati mwingine nina izo hisia tofauti tofauti but since nimejuwa nitaanza kujifuatilia zaidi na kuufungua mlango wangu wa sita wafaham inshallah...ata mim napenda sana kupata muda wakujifikilia na kujitathimin
@jamilaathumani5481Ай бұрын
Ndio da nina ni jicho la tatu au wengine wanasema huyu mtu anamachale sana ...kumbe ndo izo taarifa zinakuja kwenye mlango wa faham wa sita
@jamilaathumani5481Ай бұрын
Nina yan unatufungua sana akili zetu...nataman sana nikuone nakuonaje?? Da nina
@jamilaathumani5481Ай бұрын
Kwaiyo tujifinze kuachilia vitu tusifos mambo safi
@jamilaathumani5481Ай бұрын
Yani wewe unajuwa sana kufundisha..kumbe matendo ndo majibu ya fikra
@jamilaathumani5481Ай бұрын
Yan nakuelewaga sana kipenzi changu..yan nakupenda sana♥️🥰 hakika wewe ni dawa
@ElizabethMasolaАй бұрын
Ur a super woman❤
@fathiyahmuzney7367Ай бұрын
Ila mapenz haya wote mlioachwa njoo tucheke kupoza machungu😂😂😂😂
@AbdulkarimKazunguАй бұрын
Jamani umechekesha comment
@fathiyahmuzney7367Ай бұрын
@@AbdulkarimKazungu na ww umeachwa?🤣🤣🤣
@MariamMgeni-w4dАй бұрын
Asante sana dada yngu nimependa sana faraja yako na ntafanya hivo na nna imani kwa uwezo wa MUNGU atarudi tuu kwangu siku1 Amen🙏
@JacklinePaul-p2z18 күн бұрын
Nipo katika wakati mgumu sana kwa sasa naelewa ulichopitia naumia sana niliishi nae na nimezaa nae ila kinachotokea ni kama ndoto
@jamilaathumani5481Ай бұрын
Yan dada umeongea ukwel mtupu yalinikuta mim hayo na hayo maneno ndomana alinichezea akili zangu nilimpenda nilivurugwa haswa mana alikuwa ananifanyia mambo hayohayo yan ndo mana nikampenda kwa spidi kumbe alikuwa ananivuruga kisaikolojia bwana sasa nimeelewa..ila kwasasa nishamuv on sina tena memories zake mana nimechoka na sitaki tena nishamuv on nishafuta meseji zake kumbukumbu zake zote ...sasa wakati nasikia aya maneno nimecheka tu na nimekumbuka mbali sana kumbe alikuwa ananipenda na yeye na alikuwa anacheza na akili yangu yani mapenzi ni ukichaa kabisa na alijuwa sana kunikaa kwenye ubongo wng...kuna siku alinitumia meseji ya happy Valentine's day eti hata kama hata kama hutaki kuongea na mim umeninunia ila siwez kuku ignore leo siku ya wapenda nao..nakupenda sana jamila muda wote nitazidi kukupenda....wakati anatuma meseji iyo tumegombana na nilimchunia kama wiki mbili ivi...basi upendo ukalipuka tena puu kwenye moyo wng sasa nikawa kama nipo on nikawa nikimpigia hapokei cm nikimbembeleza tuludiane na anisamehe akawa mgumu kunisamehe akajifanya kama hanipendi hanionyeshi kunipenda lakin tunachati mesej nikimtumia anajibu japo mda mwingine anachelewa yan nikawa nampenda mpaka nachanganyikiwa siwez kuishi bila yeye yan alijuwa kuniweza...hisia za upendo juu yale tu muda wote namuwaza yeye. Daaa nikikumbuka mmmh ila nishaamua kumuachilia nishamuv on simtaki tena ila najuwa yeye atakuja tu mana tulipendana sana japokuwa tulikuwa tunagombana Sana off and on mala zote...takriban miaka mitatu kwenye mahusiano full kupendana full kugombana full kuachana ila alijuwa sana kuniendesha...mala hanitak mala nikigombana nae anasema ananipenda
@JescaMwakapondaАй бұрын
Nami nitajaribu hii mbini nina mtu wangu amoenda mpaka nampenda tena sasa mpaka nimuanze mm kumtumia ujumbe au kumpigia
@jamilaathumani5481Ай бұрын
Unajua sana kuelekeza na nakuelewa sana kipenzi nitakupigia tuzungumze kidogo
@jamilaathumani5481Ай бұрын
Mim nilimpenda mtu sana alafu baadae akanizingua kiukwer nilimpendaga sana but now nishamsahau kabisa nasitaki tena kabisa..na nitafuata ushauli wako dear
@StellaOwdenАй бұрын
Me sijui kama ntaweza jamani
@zeynabmohamedzeynab4753Ай бұрын
Utaweza mpenz fany mblok kila sehem sawa alf muwazie mambo mazur@@StellaOwden
@ElizabethJeremiah-gq5prАй бұрын
Yan uyu dada namkubal,
@FzvvzChhxgdgdАй бұрын
Me wangu kanyamaza nmm nimenyamaza ii imekaaje nayo naumia ila acha tuh
@PhilipoMwita-b2x2 ай бұрын
Huyu mpuuzi nikikaa kimya analalamika balaa ila nikimchatisha anakaa kimya
@SelemanRashid-o9pАй бұрын
Same me
@SamueltajiriKivuyo-pl9db2 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@RachelKulanga2 ай бұрын
unatumia na pafyumu au kiaje
@hidayasalum90222 ай бұрын
❤❤❤❤
@nasmakhaji2 ай бұрын
mm nampenda sana ila yy kashapat mtu mwengn
@zeynabmohamedzeynab47532 ай бұрын
Kam mnaconection kubwa n mtu wako unayo nguv y kumrudish at km ana mtu
@RosemaryJoseph-p9n2 ай бұрын
Nisaidieni jamani namba ya huyu dada vinginevyo nahisi naangamia kwa kukosa maarifa.
@KATALINAMASS2 ай бұрын
Thanks
@NASSANI-b1w2 ай бұрын
Dada je mim ntafanyaje wakati mim ndio nilisababisha mpaka tuka achana
@ShaniaKing-o5d2 ай бұрын
Mi tumezaa mtoto siongeinaeemwaka wa 7 alinitelekeza na mtoto yani nikimuona nachukia najiskia vibaya kama nataka kutapika nisipomuona ninaamani kubwa simuwazi lakini nashangaa kunamuda namuota ananiambia unanitesa why, yani nachukia mpaka kumuota