Mashallah shukuran sana Allah akuzidishie palipo punguka
@amyna2024Ай бұрын
Allahuma Amiin
@oldchild35172 ай бұрын
I have been looking for this sound..hii ni Ile husomwa radio rahma kika magharibi...nimefurahi Kwa kuipata
@user-xh1ff7zf6p2 ай бұрын
Yaramola nisubra kati moyo wang
@user-lt2mw6zm2n2 ай бұрын
Allahu Akbar! Nilikuwa na CD ya hii tawasul ikapotea so nimefurahi Sheikh. Allah awafanyie wepesi mazito yenu na wanafumzii wako.
@khamisabdulkarim88122 ай бұрын
Amin ya Rabb...
@BarikaSaid2 ай бұрын
Aa naomba kwa Allah kwa Quran hii yarab nikidhie hajazangu,unipe subra naimani yamoyo unipe khema na busara na Dua hii iwe nusra kutokana na shari za viumbe wako iwe Kinga na inijaalie KHER ya Dunia na akher