Asante Sana, mtukumbuke na wenye njozi Za viwanda. Background yangu ni muuza karanga Za Kukaanga tangu nikiwa mdogo, nina uzoefu nazo kiasi ninaweza kuzalisha ajira nyingi kupitia ubunifu wangu naomba niwezeshwe kuanzisha kiwanda kikubwa hapa mjini
@JEANS-TZ3 ай бұрын
Ime jegwa vizuri
@dorcasassenga20054 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@dorcasassenga20054 ай бұрын
Hakika inapendeza sana
@rehemashabaniameen4 ай бұрын
Waooo
@AmisseMwenetombwe4 ай бұрын
Naomba NR zako ndugu.
@emanuelamosi90085 ай бұрын
Powerfull
@davidlelo61925 ай бұрын
Safi sana
@Baraka5545 ай бұрын
Naomba no yako sim nikitaka vifaranga vya samaki
@beatricebethod21275 ай бұрын
Hongera sana Mkurugenzi Kwa kukaa na watumishi hongera sana..
@amanijampion30455 ай бұрын
Hongera kwake kwa uthubutu
@kenanimaliga87426 ай бұрын
Hongeren sana timu habar NTC
@jonathanmlinda2580 Жыл бұрын
Dah RC Mtaka anapiga kazi asee, Mungu amsimamie
@comedyhanje640 Жыл бұрын
Karibu UDOM kwetu njombe!
@jonathanmlinda2580 Жыл бұрын
Mkuu wa mkoa ameamua kuingia site yeye mwenyewe, kongole sana mkuu, kiokoe hiki kizazi, bibi na bwana afya wapo ofisini wanaenjoy tu mshahara