Watu waunguja fanyeni kazi musitegemee vikosi mukiona wenzenu wanafanya biashara munawaonea wivu mukiacha kuwafungia maduka wapemba mwaingia sekta nyingine acheni umwinyi
@mohamedisimai20 сағат бұрын
Tuachieni unguja yetu kwan mmeitwa na ubaguz wako uwo uvivu tu wa kulima mihogo na karafuu
@Bistwishs9 күн бұрын
Nakwanini avunje mwenyewe hiyo kazi ni ya manispaa
@HadiaIddi-p4k10 күн бұрын
Hongera sana muheshimiwa rais
@SaidShkel10 күн бұрын
Maisha yakupanga yametawaliwa Sana na uchoyo tu
@alinasor855311 күн бұрын
Nyumba zina vibla zote wamezidisha zidisha
@alinasor855311 күн бұрын
Izo chochoro zote washafanya fensi wtu wanatumia pamoja
@JandaalHaqeem12 күн бұрын
Sasa ,wenye nyumba watakunya wapi😢
@mohamedisimai20 сағат бұрын
Usiukize watakunya vip uliza watakunya wapi ukitaka kujua wanakunya vip iangalie ww unakunywa vipi kwa kulala kusi ama kwa kwenda au kupaa 😂😂😂😂
@hawrajehan239813 күн бұрын
Mh waziri huyo meya wa Mji hana maana hata kidogo,hafanyi jazi,hamsaidii Rais na ni mvivu,mitaro inatoa vinyesi Zanzibar anafatw meya anajibu ovyo kabisa wakati yye ndio mweny jukumu km serikali,mpuuzi huyu hafai
@MohdJumaa-q3l13 күн бұрын
Imekuwa dunia mbele kuliko akhera. Watoto hawasomi Quran. Dunia bila ya Allah. Ni kiza tu.
@ToroliLaparfum-tz5wm14 күн бұрын
Safi comrade
@fatmaahmed863714 күн бұрын
Hivi hadi hayoo mnayatoa mitandaoni Ulimwengu wote ujue!!!
@R10_Rajab14 күн бұрын
Tatizo Masheha hawafanyi kazi zao why mtu tokea yupo msingi Sheha anashindwa kumsimamisha bhana
@KhalidMohd-n4q14 күн бұрын
Hivyo kweli Zanzibar tumefikia hivyo jamani lakini tukome tunataka wenyewe na bado dou
@SaidShkel16 күн бұрын
Kwani simpeni elimu tu mpaka mumchkuwe hvo kwanguvu acheni kuwazalilisha wanyonge nyie,mtu pesa yakijio hana atawezaje kulipia gari lakunyonya taka.
@allymbarouk536216 күн бұрын
Ninavyo ijua Zanzibar hapo wahanga watapewa compensation million 2😂😂😂
@NassibuSaid-h9t16 күн бұрын
Mipango miji hamuifanyi kazi ipasavyo mnasubiri kujengwa ndio mnavunja wapimieni wananchi maeneo yao muwape muongozo mnasubiri ofisini 😅😮😢
@zuwenafakih334516 күн бұрын
Madhwalim wakubwa hawa .mm mpaka namba yangu nawapa waje niwape ushahidi .wanadhulumu nyumba nzima wanailipa milioni tisa je nani anweza kuvunja?
@IddiKhamis-u6c16 күн бұрын
Hicho walicholipwa kinakidhi mali zao? Au wamepewa tu ilichojisikia serikali ili itoe sababu kua imewalipa?
@AlfredNdeka13 күн бұрын
8h
@jumabonge857716 күн бұрын
aaa mjn nyee
@ussihussein926416 күн бұрын
Sio nne ni chache sana😊😊
@IsmailJuma-zb5ni17 күн бұрын
Aaaa jose weee
@jeremiaaugustino718717 күн бұрын
maji ya ziwa...mito tumeyashindwa sasa tunawaza ya mvua
@HanifaOman-oo4pl17 күн бұрын
Mbona ss hatujalipwa huko magomeni miaka kumi ss tunaxunguswatu
@FatimaAli-of4gh17 күн бұрын
Mbona kuna watu wa magomeni kuna watu wamelipwa pesa mzuri tu
@HanifaOman-oo4pl16 күн бұрын
@FatimaAli-of4gh magomeni sehem gani ss tupo magomeni. Suna kalibu na mosko kinondoni. Walioi0wa watu.viwanja mabwe pande sstuliyobaki bado mpaka leo
@Moc.khalfan16 күн бұрын
hio ni magomeni unguja Zanzibar@@HanifaOman-oo4pl
@FatimaAli-of4gh16 күн бұрын
@@HanifaOman-oo4pl Hii ni Magomeni ya zanzibar karibu na Sogea ndio naizungumzia wifi yangu anakaa huko kwao ilipita barabara watu walilipwa kwa dar sina aidia yoyote ndugu yangu
@HanifaOman-oo4pl16 күн бұрын
@FatimaAli-of4gh Aha kumbe nilizani Dr. Asante nduguyangu jazakrllah khaillah
@Lundege_Hips17 күн бұрын
Safi sana hapa Serekali mupo sahihi
@alirashid488719 күн бұрын
Roho mbaya tuu inawasumbua kudadeki
@FarhiyaMakame19 күн бұрын
wow kaz pambee❤
@tawakalmohammadsalum425220 күн бұрын
Duh hatri jii
@husseynomar952321 күн бұрын
Dooh....😢
@bindawood97822 күн бұрын
Domo jumba ya maneno
@ZalihaSalum22 күн бұрын
😮
@SitiKhamis-tj8qy26 күн бұрын
Kazi nzry inavutia kwakweli❤
@SitiKhamis-tj8qy26 күн бұрын
Mashaallah ❤
@MwanahawaAusi26 күн бұрын
Kazi nzri
@SATZ-news26 күн бұрын
Safi sana wewe ndo Rais hongera kwaa kuoendezesha mji... Sio hapa kwetu wanatumbua macho tyuu na wamekwamia kwenye miradi ya Magufuli tu!!!😊
@sabraomar727726 күн бұрын
Zanzibar today muko vizry mno
@AbdulrahmanMuhammad-g3x26 күн бұрын
mwakilishi hongrr
@AbdulrahmanMuhammad-g3x26 күн бұрын
big work
@NasmaMuhunzi26 күн бұрын
Wow ❤
@NasmaMuhunzi26 күн бұрын
❤
@NasmaMuhunzi26 күн бұрын
❤
@HamadKhamisi-g9x26 күн бұрын
Dah haya mmb KWELI mn hayasemeki yan hongereni kw kuyaona haya big up
@KhadijaSharf26 күн бұрын
Seif hii nikaz nzur sana hongera kwa kutumia vionjo natumbueni tunawafatlia sana nawape❤
@KhadijaSharf26 күн бұрын
Seif hii nikaz nzur sana hongera kwa kutumia vionjo natumbueni tunawafatlia sana nawape❤
@KhadijaSharf26 күн бұрын
Seif hii nikaz nzur sana hongera kwa kutumia vionjo natumbueni tunawafatlia sana nawape❤
@KhadijaSharf26 күн бұрын
Seif hii kaz nzur sana hongera kwa kutumia vionjo vya misemo pia kamera wenu Big up na kiongoz wenu.na pia twafatilia cn .nawap❤
@Gavi_25527 күн бұрын
Safi sana
@awenamuhammed28 күн бұрын
Kusema ukweli Rais mwinyi anahuruma Kwa wananchi wake