BOAZ DANKEN NI TUNU YA TAIFA LETU
1:56
4 сағат бұрын
MASANJA AWA MBOGO KWA MANABII part two
5:37
MASANJA AWA MBOGO KWA MANABII part one
6:08
NITAENDA KUHUDUM KANISANI KWA IREEN UWOYA
11:56
WAKUMBATIE WANAO KUKATISHA TAMAA
7:06
TUZO YA NDOA BORA MWAKA 2024 - 2025.
5:05
YAISHI MAFUNDISHO YAKO
22:48
21 күн бұрын
RAIS SAMIA ANAZINDUA TRENI YA UMEME
3:29
Пікірлер
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 Минут бұрын
Safi sana Bishop Masanja Kwa Neno la kuokoa roho za watu Asante sana Kwa injili ya kuokoa
@johndavidi2582
@johndavidi2582 24 минут бұрын
Hilo libaunza linaonekana halina mango na wokovu litoe likae lipigwe nyundo libadilike
@Farasitz
@Farasitz 29 минут бұрын
kzbin.info/www/bejne/jHbIqoeogbaceLcsi=f34uHzOqsh2xpCj2
@Moteswa
@Moteswa 32 минут бұрын
Hao machawa kwenye Mic ni shida. Sasa hapo kuna tofauti gani na hao wanauza maji???
@OptionsLimited-l4s
@OptionsLimited-l4s 2 сағат бұрын
Motivation speeches
@OptionsLimited-l4s
@OptionsLimited-l4s 2 сағат бұрын
Ulishakula hela zao bro . Umeingia mtegoni wewe ni wale wale TU hapo unajikosha😮
@endrumtweve4559
@endrumtweve4559 5 сағат бұрын
mahubiri mazuri ila uyo anayepiga kelele na mic anaharibu
@GraceWilliam-d1w
@GraceWilliam-d1w 5 сағат бұрын
Masanja uko sawa lakini hayo makelele ya hao wanaitikia unapohibiri neno ondoa hiyo kitu hayo ni makelele usiige wenzio bhana watu tunasikia makelele tu
@mwambage972
@mwambage972 Сағат бұрын
Kweli kabisa nikama ushabiki fulani
@perpetuacastory
@perpetuacastory 13 сағат бұрын
Mungu anamipango yake Mungu awabariki sana
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 15 сағат бұрын
Wapige hatakama walikupa hera siku ile wape chuma hicho saaafi
@Kilele-Cha-Sifa
@Kilele-Cha-Sifa 17 сағат бұрын
Nimekupata #kilelechasifa
@MusaMsami-yh9cg
@MusaMsami-yh9cg Күн бұрын
Mbarikiwe watumishi
@TravisScort
@TravisScort Күн бұрын
E MUNGU nini hiki Tena,haya maigizo mpaka lini jamani
@GodlistenMariki
@GodlistenMariki Күн бұрын
Kaa mwagona
@iddimohammed7536
@iddimohammed7536 Күн бұрын
Nyakati zingine usanii haufai jamani
@GeraldMyuku
@GeraldMyuku 2 күн бұрын
Hapo true
@lilyrose7983
@lilyrose7983 2 күн бұрын
Sijui hata nacheks nn 😂😂
@lilyrose7983
@lilyrose7983 2 күн бұрын
Nafurahia sana mafundisho yako Mtumishi.Nikirudi Dar nitafika kanisani kwako nimependa sana wewe ni mkweli 🤣🤣🤣Barikiwa sana 🙏
@HelbethMlelwa
@HelbethMlelwa Күн бұрын
Mbona alimualika hao hao manabii kanisani kwake wampe pesa??
@lilyrose7983
@lilyrose7983 Күн бұрын
@@HelbethMlelwa Mbona kaongea kweli watu hawafati neno wanatafuta miujiza na ushuhuda.Sasa hivi tunaenda makanisa ya kinabii kama tunaenda Kwa mganga wa kienyeji
@lilyrose7983
@lilyrose7983 Күн бұрын
@@HelbethMlelwa Sidhani kama kawaalika wampe pesa hapo si naona kuna harusi?
@HelbethMlelwa
@HelbethMlelwa Күн бұрын
@@lilyrose7983 Sio leo dada fuatilia, kama mwezi uliopita hivi alichangisha hela kanisani kwake. Kuhusu kuongea kweli, unatakiwa kuongea kweli ambayo na wewe unaiishi na sio kweli ambayo wewe hauiishi, hiyo haiwi kweli tena.
@MasanjaTVgospel
@MasanjaTVgospel Күн бұрын
amina sana ubarikiwe
@graceyamado8578
@graceyamado8578 2 күн бұрын
😢😢😢
@veronicaassenga6500
@veronicaassenga6500 2 күн бұрын
AMINA BABA NAKUUNGA MKONO NYAKATI TUNAZOISHI TUNAHITAJI KUWA MAKINI SANA.TUKIWA WASOMAJI WA NENO HATUTAYUMBISHWA. KWA SABABU KATIKA KUJAZA NENO KWA WINGI MIOYONI MWETU NI RAHISI KUGUNDUA FEKI NA OREJINO JAMANI MUNGU ATUSAIDIE KANISA
@0689TAGT
@0689TAGT 2 күн бұрын
Amen baba nimekupata vyema
@Rmollelmichael
@Rmollelmichael 3 күн бұрын
Amen Bishop wangu
@VedastoKilembe-oe9rv
@VedastoKilembe-oe9rv 3 күн бұрын
Amen amen bishop
@agnesdeogratius7018
@agnesdeogratius7018 3 күн бұрын
Wote hao niwanachama
@paulmkaztv2866
@paulmkaztv2866 4 күн бұрын
Wachawi wote weko apa
@kelvinchaula
@kelvinchaula 4 күн бұрын
Mungu ni mvumilivu saaaana nyieeee
@hafidhali3020
@hafidhali3020 4 күн бұрын
Huyu ndio makristo halisi kabisa,hao wengine ni feki lakini huyu original kabisa,na hivi ndio mafundisho na inavyotakiwa ili uwe mkristo original
@afandechanel1507
@afandechanel1507 4 күн бұрын
Na sikia Sauti ya katibu
@Nyukiliabingwa
@Nyukiliabingwa 5 күн бұрын
Zile vifaa zao tu zinakutambulisha ya kwamba hawa ni nini kwa mtu aliyeokoka anafahamu kila kitu hapa
@subirawasia5180
@subirawasia5180 5 күн бұрын
Mungu naomba nifundishe kukaa kimya madhabau za kweli wazijua ww
@peterwayesu
@peterwayesu 5 күн бұрын
Huyu jamaa anajua kazii
@user-bx9jo2ul4x
@user-bx9jo2ul4x 7 күн бұрын
Mungu akailaze mahali pema peponi
@gloryleonard1563
@gloryleonard1563 7 күн бұрын
Jamani Mungu akuokoe utembee ktk njia zake zilizonyooka.
@gloryleonard1563
@gloryleonard1563 7 күн бұрын
Siku za mwisho Mwenyezi Mungu atakudai mke wa ujana walo kwenye Ukristo hakuna ndoa 2 ndoa ya kwanza ndiyo inayotambulika mrudie Mungu wako.
@DaudiLacta
@DaudiLacta 8 күн бұрын
Watu niwazush San kumusema bahat bukuku
@andreauisso3225
@andreauisso3225 8 күн бұрын
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa ndiyo hii yaani hizi ni nyakati za mwisho kweli
@HappyWilaganu
@HappyWilaganu 9 күн бұрын
Naona wawakilishi wa yusufa mnajitowa madhabahuni mwa shetani sisi tulie wa mungu hamtuwezi mungu tunae muabudu ni wakwer ila nyie fanyeni hivo ila siku yenu ipo mtowa hukumu yupo mungu atulehemu😮😮😮
@HappyWilaganu
@HappyWilaganu 9 күн бұрын
Masanja nae naona kashajiingiza kwenye kundi la kenge mamba hakos
@HappyWilaganu
@HappyWilaganu 9 күн бұрын
Mungu atulehem na atufumbuwe macho ya lohon kuyaona haya ya duniani juu ya watumishi wasaivi wapotoshaji mungu tusaidue😢😢
@user-wr3ho1ie9k
@user-wr3ho1ie9k 11 күн бұрын
washungagi niwambie. munafikili munapereka watu mbinguni alakini wuisho mutapata mambo hamutaweza kujua. wakristo tokeni hapo kwahayo makanisa. prophet ni yesu tu basi.
@costofamily4861
@costofamily4861 11 күн бұрын
Usihukumu pasipo kuhukumiwa, Ogopa neno hili, acha kujihesabia haki imagine ww ndo ungekuwa nabii hapo
@costofamily4861
@costofamily4861 11 күн бұрын
Wewe usemae hizi ni nyakati za mwisho hazijaanza leo zimeabza longtime tangu Yohana aliwahubiri waru akiwaambia tubuni kwa maana ufalme wa Mungu umekaribia so bado tupo kwa neema tu
@williamrite6049
@williamrite6049 12 күн бұрын
Asante YESU KRISTO kwakuwa ulishatuweka wazi juu ya watumishi kama hawa..mkristo kuwa makini hizi ni siku za mwisho..
@EstaDaffi-wg5cr
@EstaDaffi-wg5cr 12 күн бұрын
Adi roling ni wale wale piah
@user-sm7gj4mn5n
@user-sm7gj4mn5n 13 күн бұрын
Hapo maandiko yanatimia wakristo wenzangu ila tuombe sana hizi nyakati ni hatari kama una macho ya rohon ona hapo
@wilfredjohn4829
@wilfredjohn4829 13 күн бұрын
Barikiwa sana mtumishi Dr Ipyana
@GaudanceYasinta
@GaudanceYasinta 13 күн бұрын
Kifo ni kilekile 1 na mlango ni 1 sisi tu mavumbi ,pesa itakuheshimisha duniani na si mbele za mungu, Sio wote wanaosema bwana bwana watauona ufalme wa mbinguni
@joune
@joune 13 күн бұрын
Genge la wahuni watupu au na manabii wa kweli wamo?
@NefadSanga
@NefadSanga 14 күн бұрын
Hapo tumepigwa hakuna wachungaji hapo
@sandrangoma-jn9qw
@sandrangoma-jn9qw 14 күн бұрын
Wacongo ni watu wazuti sana tu tunaomba wamrudishe jamani yupo na mazuri wake pia